SPECIAL: Game of Thrones (A song of ice and fire)

SPECIAL: Game of Thrones (A song of ice and fire)

Hivi season ya mwisho kabla hii ya 8 iliyotoka mwaka juzi ni ya 6 au ya 7 maana hata sikumbuki niliishia ya ngapi kwa jinsi hao majamaa wanavyochelewesha kuzitoa ...

Msaada tafadhali
 
Pia kumbuka Theone amelelewa na Nerd Stark baada ya kuchukuliwa akiwa mdogo wakati wa vita ya War of the kings kama kielelezo kwamba House Greyjoy wapo chini ya Nerd na Robert

Ingawa kutokana na Nerd kuwa ni mtu muadilifu alimlea kama mtoto wake hata Jon akupata nafasi kama aliyopata Theone katika malezi, Catelyn Stark alimpenda sana mwanae Rob akifatiwa na Theone ila Jon alionekana ni mtoto haramu bastard

So Theone na Sansa wamelelewa nyumba moja hivyo ni vigumu sana kuingia katika mapenzi na huo ndio utamaduni wa watu wa North
Sawa, ila unadhani Sansa after mambo ya Bolton ana hamu ya sex sasa hv? Anataka tu mtu wa kumfanya happy bila “kumgusa” na theon angefaa.
 
Sawa, ila unadhani Sansa after mambo ya Bolton ana hamu ya sex sasa hv? Anataka tu mtu wa kumfanya happy bila “kumgusa” na theon angefaa.
Ramsey amkata mashine theon, alafu akawa anamlazimsha amuangalia[emoji15] anavyomla sansa
 
Bado najiuliza nani ataendeleza uzao wa starks.
Au hata watoto wa kike wanaweza kuendeleza?
 
Picha halisi ya Night King!
Screenshot_20190502-134508.jpg
 
Sawa, ila unadhani Sansa after mambo ya Bolton ana hamu ya sex sasa hv? Anataka tu mtu wa kumfanya happy bila “kumgusa” na theon angefaa.
Nadhani hichi no kupengele wangeweka iki movie inoge zaidi. Maana jinsi walivyokutmbatiana kwa hisia, Theon angeomba kitu chochote kwa Sansa asingenyimwa
 
Nimeangalaia wanahojiwa one episode wame act kwa siku 55 wenzetu wapo serious na kazi zao. Zaidi ya mwezi kwa episode 1.dah
 
Nimeangalaia wanahojiwa one episode wame act kwa siku 55 wenzetu wapo serious na kazi zao. Zaidi ya mwezi kwa episode 1.dah
Kama hiyo episode ya 3 unaambiwa imehusisha watu zaidi ya 750 kwenye utengenezaji wake..
 
it's an addictive series... The more u watch.. The more ur addicted to it

Mara ya kwanza nili iona ya kawaida tu.. The second time nikaanza kui elewa.. Third time nika ielewa zaid mpka majina ya Character wake.. Nao nime iangalia sijui mara 12 na ngap sijui.... Leo tu nime tizaman S08Ep1 mara tano..

I think i need help
[emoji23][emoji23][emoji23]. Sio poaa mkuu
 
Hiyo hawawezi shinda maana jeshi limepungua sana!
Kweli mzee,wahuni wa kidothraki sithani kama kuna aliye bakia[emoji21][emoji21][emoji21][emoji21]
Nawakubali sanaa jamaa,kwao vita ni kama mchezoo kama michezo mingine
 
Back
Top Bottom