leonardo da vinc
JF-Expert Member
- Apr 25, 2014
- 1,108
- 735
Kwa mantiki ipi maana imebakiza episode 3 tu
Hii series inafata nyayo za isidingo.
Hii series inafata nyayo za isidingo.
Acha tu Mkuu...wacha tupige kimya tusije waharibia uhondo wadau.mambo sio mambo jamani [emoji16][emoji16][emoji16]
Usiangaliewhat is it about ndo nianze kuangalia
[emoji23][emoji23][emoji23]ile scene nilicheka sanawatu wanagongwa mpaka clegane anaogopa anajificha [emoji16][emoji16]
Nilikua najiuliza walikutana wapi na yule lady of light, sasa nimekumbuka. Sergio Farel naye ni faceless man.
Mkuu usiseme hakuna alichofanya......Night King alikua anamtafuta amuue so alikua kama Bait.Nimependa episode 3. Ingawa Brian hakuna alichokifanya. Arya she is the best the way alivyomuua night king. Yaani un expected
Theon na Lady Mormot wameniuma sanaDah!tumepoteza majemedari kama wote
Its the best episode ever kwanguAisee hii episode ni kiboko....Game of thrones [emoji119]
Hata ile ya The Battle of the Bastards haioni ndaniAisee hii episode ni kiboko....Game of thrones [emoji119]
HAPANA! Sergio hakua faceless man,ila Arya walikutana na Melissandre,ilikua season 3 episode 6.Nilikua najiuliza walikutana wapi na yule lady of light, sasa nimekumbuka. Sergio Farel naye ni faceless man.