SPECIAL: Game of Thrones (A song of ice and fire)

Night King Nilimuelewa Sana Tena Kwenye Hii Battle Ya Mwisho Alikuwa Tayari Kamaliza Kazi.
 
Wakuu! Chanel 101 ya Dstv ambayo inaonyesha GOT sambamba na muda ambao GOT inarushwa USA hapa bongo wameitoa au ? (Kwa wanao jua)
IMG_2438.JPG
IMG_2439.JPG
 
kwa wale tulioangalia s08ep04 kinachofuata ni moto tu maana kauli ya mwisho kuitoa missandei ni Dracarys kabla mountain haja mkata kichwa.
 
Nilihisi hii episode ya 4 itaishia kwa kusubiri atleast wapoe lakini haikua hivi kabisa. Yaani dragon mmoja amekufa, euron ni mtu mbaya sana. Na missandei ameaga dunia. Can't wait episode 5
 
kuna decisions anazfanya daenerys ztamponza baadae, sansa ametoa siri karibia wengi washaanza kujua ukweli kuhusu Jon snow, hii itapelekea Jon achukue Iron throne kirahisi ingawa yeye hataki. Naona Varys anataka kumuu Daenerys.
 
Ni kweli halafu daenery haambiliki. Hawezi kuzuwia hasira zake. Inamkost sana ana hamu ya iron thrones. Anafikiri hasira zake zitamfanya ashinde. Hasira hazishindi vita. Vita ya bastard jon alifikia kushindwa kwa sababu ya hasira, vita ya white walker aliingia hasira akazidi kuicost vita, nlikua nampenda sana king stanis lakini kilichomuua ni hicho hicho kulazimisha. Quyburn ni mtu mwenye akili sana. Daenery akiendelea kua hivi nae atakufa. Tutegemee arya ataenda kumuua cersie
 
Varys: It's no longer a secret, it's information.
 
Ni kweli halafu daenery haambiliki. Hawezi kuzuwia hasira zake. Inamkost sana ana hamu ya iron thrones. Anafikiri hasira zake zitamfanya ashinde. Hasira hazishindi vita. Vita ya bastard jon alifikia kushindwa kwa sababu ya hasira, vita ya white walker aliingia hasira akazidi kuicost vita, nlikua nampenda sana king stanis lakini kilichomuua ni hicho hicho kulazimisha. Quyburn ni mtu mwenye akili sana. Daenery akiendelea kua hivi nae atakufa. Tutegemee arya ataenda kumuua cersie
Na ndo anachotaka Cersie...anajua akimuua Missandei Dany atakua na hasira ashndwe kuchkua maamuzi ya maana
Atampoteza na Drogon saivi akiendleza mambo yake
 
Duu, kwa hizi comment hebu ngoja Kwanza nisubiri epsode 5 labda upepo utabadilika.
 
Wakuu cjamwelewa Jaime...anamrudia Cersie au anaenda kumuua
Kuna theory inasema mdogo wake ndio atakae muua. Yani Jaime atamuua Cersie.
Na wanasuggest because "they came together, they will die together"
 
Wakuu cjamwelewa Jaime...anamrudia Cersie au anaenda kumuua
Anaenda kingslanding baada ya kusikia kwamba atauliwa. Jaime anampenda cersie. Wengi wetu tunamchukia cersie lakini kwa upande mwengine tukiangalia kosa alilofanya cersie ni lipi hatulioni. Cersie hakuamuru lord stark auliwe, ni kweli cersie alikua anatembea na kaka ake lakini mnauona uovu aliokua akiufanya robert, kuingiza wanawake ndani ya chumbani mnacholala mke na mume halafu mke anakuona sio fair kabisa. Mimi binafsi sijauona uovu alioufanya cersie. Labda wenzangu nielezeni.
Cersie hakumrusha bran kwenye window
Cersie hakumuua lord stark
Cersie hajamtesa sansa wala arya
Cersie hajamuua baba ake
Cersie hajamsentence tyrion kuuliwa. Anachofanya ni kulinda ufalme wake tu
 
Back
Top Bottom