mtafuta-maisha
JF-Expert Member
- Nov 5, 2016
- 1,982
- 2,934
hatari sana....... the enemy fell never to rise. Got itaisha poa siyo kama spartacusHalafu nilihisi yule mjomba ni baba yake deny....maana hakuungua yule,unburnt
hatari sana....... the enemy fell never to rise. Got itaisha poa siyo kama spartacusHalafu nilihisi yule mjomba ni baba yake deny....maana hakuungua yule,unburnt
Episode hii kauwawa bwana .Arya Arya kafanya mamboGoT ina historia ya suprises ngumu kumeza, Yule Night King naona in the end anashinda na kukalia kiti bcuz ni nae ni Targaryen anaride Dragon lake, haungui na moto, ana uwezo wa kuua dragons, kubadili walio hai na kuamsha chochote kilichokufa. Au basi Jon Snow nae atapata powers za Night king amalize kazi za baba zake.
Wengi watakufa wachache watakaobaki watamalizwa pole pole na mazombie yale.
Twende kaziiii
Ile series kila kitu. Kina umuhimu wakeInavyosemekana kwenye ile song alioimba podrick( the song of jenny) mwishoni mwa s08e02 ina ujumbe ndani yake. Ambao ni kwamba mmoja kati ya Jon snow au Daenearys Targeryan lazima afe kama sio kufa basi mmoja wao atauacha ufalme(Iron Throne) kwa sababu ya mapenzi. Hii ni song inayoumuusu Duncan Targeryan (mjomba ake na Daenearys Targeryan) ambae aliukataa ufalme (Iron Throne), na akaamua kua na mpnz wake Jenny.
Hakufa Bwana wote wapo.Angalia mwishoni wapo woteYule aliekua anaendeshwa na john snow.Sina hakika kama yuko hai
Poor sam maana sio kwa uoga ule ila angalau ame survive
Umedownload site IPI bossHii episode nimedownload quality ya 720p
Kabisa
Mida ya jioni nikiwa nimetulia nipate kushuhudia hii battle
Umedownload site IPI boss
Hii scene asee[emoji119]View attachment 1084110
Mwamba kafa daah nimeumia mno..huyu Bwana alikuwa amsha amsha mno....Alionekana mara chache ila habari yake hahahaaha.
Knight king 👑 kwisha habari!View attachment 1084110
Mwamba kafa daah nimeumia mno..huyu Bwana alikuwa amsha amsha mno....Alionekana mara chache ila habari yake hahahaaha.
Pale alipowaamsha wale waliokufa nikajua kazi imeisha... no way the living wangeweza kuwashinda!!!View attachment 1084110
Mwamba kafa daah nimeumia mno..huyu Bwana alikuwa amsha amsha mno....Alionekana mara chache ila habari yake hahahaaha.