SPECIAL: Game of Thrones (A song of ice and fire)

The night king has been deafted now it is time to take kings land. Ila GOT naipenda kusuprise sikutegemea kama arya ndiye ataua the night king.
Arya ni nomaa mkuu...hata akienda one on one na mtaalam john snow,snow anakaa vizuri tu..mwepesi sana mtoto yule
 
Episode 2 ni moja kati ya episode nzuri na bora.
Ngoja niangalie ya 3 sasa
 
Arya ni nomaa mkuu...hata akienda one on one na mtaalam john snow,snow anakaa vizuri tu..mwepesi sana mtoto yule
ila wametendea haki ile battle maana the night king hakuwa defeated easily yani kuna kipindi niliona huyu jamaa ashashinda na nkaanza kuamini hawa wameamua kutusuprise kwa westeros nzima kuanguka huyu night king ataendelea mpka kings land.
 
Halafu nilihisi yule mjomba ni baba yake deny....maana hakuungua yule,unburnt
 
Back
Top Bottom