special forces!

special forces!

asanteni wadau(md25,manoah and mungo park etc)0 nemewaelewa mmenipa chachu ya kutafuta baandhi ya taarifa kuusu hizi special force hapa afrika mashariki,nimegundua kuwa tunazo(moja) ambayo nazani inatutosha kwa hali ya sasa tofauti na wenzetu..!4b
Kenya Defence Forces
*. Kenya army special operations forces(KSOF)
*. 40th Ranger Strike Force battalion
*. 30th special operations battalion
*. 20th parachute battalion
*. Clearance Diving Unit(CDU)
Tanzania
*. Maritime Special Forces
Uganda
*. "Black Cobra" Commando Squad(CT platoon)
*. Anti Terror Crack Unit
*. Paratroop Unit(400 men)
*. UPDF Marines
source:wikipedia (list of special force units).gb
 
Mkuu, hapa bongo secret service unaweza kuifananisha na TISS kitengo kinachomlinda JK. Ila tofauti kati ya hao SS na hawa TISS wetu ni kubwa mno. (1) Secret Service ni wanajeshi from US Forces, wanakua either in active combat duties or not. Yani ni lazima uwe umeshapitia uaskari. (2) TISS wa bongo wengi wao ni watoto wa mjomba au shangazi... "KAMLETE". Ndio maana JK alikuwa na kashfa ya kujaza ndugu zake huko. (3) SS ni taasisi inayojitegemea, ikiwa na kazi ya KUMLINDA RAIS ili aweze kutekeleza majukumu yake kikatiba (4) TISS wao kazi yao ni kama yule mbwa wako pale nyumbani, ukimwambia bweka... anabweka. wao hawako kusimamia katiba, wao ndio matapeli hapa mjini, wezi, majambazi na kila aina ya uchafu unaoujua wewe.

100% hapa bongo hakuna haoSEALs (Sio navy seals). kwa nini nasema hivyo. unapozungumzia SEALs solders, hao ni makomando/experts in Marines, Air and Land. wanaweza kupigana kwa hali yoyote ile. Pia, SEALs wengi wanachukuliwa wengine wakiwa even below 18s, wanaandaliwa muda mrefu hadi hufikia huo u-commando (SEALs). SEALs wengine wanachaguliwa tokea wakiwa wadogo kabisa, "wanatengenezwa" kwa special assignments, kwa mfano kumlinda US president. Pia, kutokana na ugumu wa majukumu yao au uhitaji wa majukumu ya SEALs wengi wanawai kustafu from active combat duties. pia wanakuwa na nidhamu ya hali ya juu. Sasa turudi hapa tz. (1) Kuna mapungufu mengi wakati wa kuchagua vijana kwenda jeshini. (2) Wengi wa vijana wanaokwenda jeshini utasikia, mkubwa flan alimsaidia kupata jeshi. (3) Kamlete zimekuwa nyingi sana. Mwisho hawa itatupasa tutambue commandos wanaandaliwa, ni kama tunavyosema ili uwe na timu bora ya taifa, lazima vijana uwaanda kwa muda mrefu, sasa hili swala lipo hata huko....

Mkuu hapo kwenye red mbona kama unatuokota kweupe ?
hilo moja pili unavyosema kuwa sio Navy Seals kuwa ni SEALs unajua maana yake kwanza

Navy SEALs ni team ambazo ziko chini ya us Navy but zimegawanyika katika sehemu kuu tatu kuna SE inasimama badala ya neno Sea hawa ni askari ambao kazi yao ni ku attack kwenye maji tu wako chini ya us navy

they never reach nchi kavu kama hawa

US_Navy_SEALs_SEAL_jumps_over_side_boat.jpg

A kwenye neno SEALs inasimama badala ya neno Air hawa ni askari wanao attack angani tu mara nyingi hawa ni marubani ambao hao marubani wa ndege wanapata go ahead kutoka kwa NAVY AUTHORITIES ndio utakuta kuwa bdege inatoka kwenye meli inaenda kupiga na info zote na mission zote zinachorwa kwenye meli

kama hivi

IndianNavySeaHarrier.jpg

4029222511_6c38d3a763.jpg

sasa kuna land team na hawa ile L ina simama kuwapresent wao wao they attack from The sea mpaka kwenye land

kama hawa

navy-seal-photos-sea-assault__16_.jpg

navy-seal-4.jpg

so kama unavyoona hapa ni kuwa NAVY SEALs attack zao zote zinaanzia kwenye maji either kwenye maji kwenda angani au kwenye maji kwenda ardhini au kwenye maji kwenda kwenye maji huwezi kusema SEALs bila kuweka navy maana utapata maana nyingine kabisa ila unaweza kusema NAVY bila kusema SEALs kwani Navy inaconsists watu wengi

na kamwe Navy SEALs hawamlindi U.S president
U.S president analindwa na
Secret Service na kamwe Secret Service sio special forces, secret service ni kitengo cha C.I.A

special forces ni jeshi
C.I.A ni intelligence agency
yaani raisi alindwe na wanajeshi boss its not possible kwa U.S.A haiwezekani

ila wanajeshi wanakuwepo sana pale kwenye msafara wa raisi wa marekani na sio kuwa wanamlinda raisi la hasha ila wanailinda ile briefcase yenye kodi za nuclear inayoitwa THE FOOTBALL ambayo Rais anakwenda nayo popote alipo

nuclear-football-inside.jpg

story.bush.football.jpg

HIYO HAPO PEMBENI MWA BUSH

pict2.jpg

Inshu yako ya Tiss mimi naomba nisiiongelee maana dogo alitaka kujua masuala ya Navy seals, Green barret na AMy ranges
Green barrent wao ni ma counter terrorist ,hostage rescue, vile vile ni mi counter narcostics,
amy rangher ndio sasa bwana MD25 alikuwa anawachanganya na NAVY SEALs
hawa
mtu akiitwa Amy Ranger ni yule ambaye kapita RANGERS SCHOOLS

ranger schools ni kama skauti za huku kwetu ila wao inakuwa ni ntense 61-day combat leadership course oriented toward small-unit tactics

na kunakuwa kuna phase ya wanaoendelea na ukiendelea sasa ndio unakutana na phases mbali mbali na mazoezi yanakuwa makali siku hadi siku

753px-Water_confidence_test%2C_Ranger_Challenge_2006.jpg

220px-Soldier_negotiates_the_Darby_Queen_Obstacle_Course_during_the_2007_Best_Ranger_Competition.jpg

Mkuu C.T.U unaweza kutoa maelezo zaidi juu ya kazi za hawa AMY RANGER je ni kama askari wa miguu bongo au ni makomadoo?
 
Last edited by a moderator:
Nimekuelewa ndugu MD25 , maana hiyo tanzani inazalisha makondo ambao ni HALF BAWA ambao sio makomando kamili, basi hii ni hatari maana hata teknolojia yetu kiusalama ipo chini.

MD25 acha kudanganya wenzako,nimesoma maelezo yako na inaonyesha unaongea kitu usicho kijua.Kuwa Comando Half bawa haina maana ni makomamdo nusu,lahasha bali ni kwamba wamemaliza mafunzo yote ila tu wanasubiria kuruka na miavuli(parachuty)ni hilo tu basi!na wakat mwngine mtu anapenda kuvaa half cuz ile ndio basic na ndio phase ngumu kuliko nzote!
 
Last edited by a moderator:
Mkuu C.T.U unaweza kutoa maelezo zaidi juu ya kazi za hawa AMY RANGER je ni kama askari wa miguu bongo au ni makomadoo?

Exactly ni wamiguu kama hawa wetu na wametumka sana kwenye afghan war, iraq war, vietnam war na civil war
 
Last edited by a moderator:
Nimekukubali sana CTU,nimesoma na nimefurahishwa na maelezo yako,ningependa kujua hiyo briefcase wanayoilinda inakuwa na nini na umuhimu wake.Naomba unieleweshe ndugu CTU.
 
Mkuu ile brifcase inaitwa THE FOOTBALL ni case ambayo inatunza code zote za ku launch nyuklia ambazo ziko chini ya serikali ya marekani
Codes hata raisi mwenyewe hazijui na anazijua pale tu akitaka ku launch nyuklia hiyo

Halafu wakati wa ku launch anatakiwa awasiliane na mkuu wa kitengo cha nyuklia president na mtu mwingine mkubwa katika serikali ya marekani kama sio vice president ni secretary of defence sina uhakika sana hapa ndio wanaohusika ku launch

Pili sheria nyingine ya ku lauch hii kitu kama code inasema T hutakiwi kusema Tunatakiwa useme Tango or Tomato
Like TZC
TANGO, ZULU, CANADA

Na code yake au pasword ni jicho la raisi na huyo jamaa mwingine ambaye ni secretary of defence au vice president sina uhakika hapa

ikitokea raisi katekwa hawamuokoi yeye kwanza wana i secure FootBall kwanza kwani wamarekani wanaamini hata raisi akifa sio janga kubwa kuliko adui kumiliki football yao wanaweza waka launch nyuklia ku target all major cities yeyote duniani na kusababisha uhasama baina ya wamarekani na taifa lingine kitu ambacho kinawezankusababisha ww3

Au magaidi wakaamua kuipiga marekani yenyewe to all major cities za u.s kwa kutumia nyuklia zao wenyewe

Football inalindwa kuliko hata raisi na huo ndio ukweli kwani ile ndio roho ya taifa la marekani, nguvu yao iko pale ubabe wao wote uko pale...

Ndani ya hiyo briefcase ni just a laptop ambayo iko designed kwa ajili hiyo tu so itamuomba aingize eye varification password, then anaendelea na mambo mengine

I recomend uangalie movie ya salt ya angeline jolie kidogo wametoa idea kuhusu football

Au 24 nafikiri ya jack buer
 
ok kaka CTU nimekusoma,ila nina swali kidogo,ina maana ni lazima hiyo brifkes atembee nayo kokote anakokwenda rais?
 
Anakuwa nayo popote anapotembea akiwa kama rais wa nchi kwa maana nyingine akiwa katika safari za kikazi

Sio hata akiwa anakwenda kanisani anakuwa nayo
La hasha ni kwenye shughuli za kiserikali mara nyingi anakuwa nayo
 
inawezekana kweli au ideas za movie maana imekaa kaa kimovie movie hiyo ya kutotaja maneno niliiona hata kwenye 24.
anyway....
 
wakuu hivi tz hakuna special force kama green beret,army rangers & navy seals.
Zipo hata Lugalo ipo....all though mimi nilishatumikia special force inaitwa ANTI TERRORISM UNIT FORCE-TAZARA Au kwa jina lingine kiliitwa KMT-Kikosi maalumu Tazara hiki kikosi kilikuwa ni kwaajili ya kuzuia ugaidi uliokuwa ukiendeshwa na makaburu wa afrika kusini wakipinga nchi za kusini mwa afrika kutumia reli ya tazara!!
 
MD25 acha kudanganya wenzako,nimesoma maelezo yako na inaonyesha unaongea kitu usicho kijua.Kuwa Comando Half bawa haina maana ni makomamdo nusu,lahasha bali ni kwamba wamemaliza mafunzo yote ila tu wanasubiria kuruka na miavuli(parachuty)ni hilo tu basi!na wakat mwngine mtu anapenda kuvaa half cuz ile ndio basic na ndio phase ngumu kuliko nzote!

Hapo kwenye red, hilo ni moja wapo ya mapungufu yao na ndi maana wana kua half bawa, na ili wawe kamili ya full bawa ni lazima wakamilishe mafunzo yote, na ndipo hupelekwa katika nchi zingine kukamilisha hayo mafunzo.
 
Special forces Tanzania zipo. Tatizo watanzania wengi ni wavivu kutafuta Facts.Kama ungekuwa umetembelea banda la JWTZ kwenye maonyesho ya sabasaba 2012,kilikuwepo kitengo kinachoelezea special forces ya JWTZ wanapatikanaje,mazoezi yao kazi zao na mambo mbalimbali wanayofanya. Nilipata kuongea nao. Afisa mmoja alisema wao kiujuzi na mafunzo wapo sawa karibia dunia nzima. Hii ina maana komandoo wa TZ ana ujuzi sawa na komandoo wa US,China,France,Russia etc. Hii ni kwa sababu makomandoo karibia wote wanafundishwa mbinu za SEAL's. Komandoo lazima afundishwe upambanaji toka angani,nchi kavu ikiwamo msituni na majini.Wengi wa makomandoo sare zao huwa zina alama ya bawa la ndege kifuani kushoto. Alisema ki uwezo makomandoo wanne tu wanauwezo wa kushambulia na kuharibu kijiji kizima kinacholindwa na jeshi.Alisema mafunzo mengi ya komandoo wa TZ waliyapata Russia,China,Israel,Cuba na Canada na miaka ya karibuni wengine wameyapata US.Alifafanua kiujuzi makomandoo karibu wote wanafanana ila wanazidiana technics ndogondogo na sare watakazovaa. Aidha alisema wakati wa mafunzo huwa kuna kadhaa ambao huwa wanakufa.Alitufafanulia mengi zaidi ya haya lakini mwisho alikataa kabisa kutueleza kwa sasa TZ wapo wangapi na kambi zao zipo wapi. Mwezi wa saba tembelea banda la JWTZ pale sabasaba -Dar utapata mengi zaidi ya haya ikiwemo ulinzi wetu wa anga na majini unafanyikaje kwa kutumia mitambo ya kisasa!. Utaelezwa historia nzima ya Jeshi letu la JWTZ na pia utaona Mama Maria Nyerere alipokuwa akichukua mafunzo ya mgambo,usije ukamdharau unapomuona sasa!
Kwenye red siyo sawa usije ukadhani wanaovaa bawa kama hili ni makomandoo parachute.jpg
Hao ni watu wa miamvuri na Barret zao ni rangi ya damu ya mzee!
 
Mkuu ile brifcase inaitwa THE FOOTBALL ni case ambayo inatunza code zote za ku launch nyuklia ambazo ziko chini ya serikali ya marekani
Codes hata raisi mwenyewe hazijui na anazijua pale tu akitaka ku launch nyuklia hiyo

Halafu wakati wa ku launch anatakiwa awasiliane na mkuu wa kitengo cha nyuklia president na mtu mwingine mkubwa katika serikali ya marekani kama sio vice president ni secretary of defence sina uhakika sana hapa ndio wanaohusika ku launch

Pili sheria nyingine ya ku lauch hii kitu kama code inasema T hutakiwi kusema Tunatakiwa useme Tango or Tomato
Like TZC
TANGO, ZULU, CANADA

Na code yake au pasword ni jicho la raisi na huyo jamaa mwingine ambaye ni secretary of defence au vice president sina uhakika hapa

ikitokea raisi katekwa hawamuokoi yeye kwanza wana i secure FootBall kwanza kwani wamarekani wanaamini hata raisi akifa sio janga kubwa kuliko adui kumiliki football yao wanaweza waka launch nyuklia ku target all major cities yeyote duniani na kusababisha uhasama baina ya wamarekani na taifa lingine kitu ambacho kinawezankusababisha ww3

Au magaidi wakaamua kuipiga marekani yenyewe to all major cities za u.s kwa kutumia nyuklia zao wenyewe

Football inalindwa kuliko hata raisi na huo ndio ukweli kwani ile ndio roho ya taifa la marekani, nguvu yao iko pale ubabe wao wote uko pale...

Ndani ya hiyo briefcase ni just a laptop ambayo iko designed kwa ajili hiyo tu so itamuomba aingize eye varification password, then anaendelea na mambo mengine

I recomend uangalie movie ya salt ya angeline jolie kidogo wametoa idea kuhusu football

Au 24 nafikiri ya jack buer

Mkuu naomba nikurekebishe kidogo, hii kitu inaitwa nuclear football, au the football kama ulivyosema au president emergence satchel au the black box au the button.
Hii ni briefcase iliyona vifaa vinavyomwezesha raisi ku launch atomic/nuclear bomb pale atakapokuwa mbali na nuclear launching station.
Yani hii ni kama remote, anaitumia tu pale akiwa mbali na fixed command station. Mfano wa fixed command station ni white house situation room. Hiki ni chumba maalum ndani ya ikulu ya marekani kinachohusika na kulaunch na kumonitor nuclear weapons.
Kama alivyosema C.T.U hii the football rais uwa anaenda nayo kila mahali kwani ni kama remote yake itakayomwezesha kuendelea kuwa na uwezo wa kulaunch nuclear hata akiwa mbali na white house.
Katika kitabu cha Breaking Cover kilichoandikwa na Bill Gulley ambaye alikuwa afisa usalama ndani ya white house anasema the football ina vitu vinne ndani yake.
1. Kuna Black book njia za kuchukua ikiwa USA itashambuliwa kwa Nuclear.
2. Halafu kuna kitabu kikionyesha list ya sehemu zote ndani ya USA zilipo nuclear missiles
3. Karatasi 8 mpaka 10 za manila zikiwa zimeungwa pamoja zikielezea njia za kumwezesha rais wa USA kutumia emergence broadcast system. Hii ni njia inayomwezesha rais wa marekani kuwasiliana na raia endapo kutakuwa na hatari ya vita ama jambo kubwa linalohatarisha nchi.
4. Halafu kuna card yenye codes za kulaunch hizo nuclear missiles.

Hiyo briefcase yenyewe ni mtambo tosha wa kufanya hiyo shughuli ukiwa na antena kwa ajili ya mawasiliano na fixed command center.
 
Uko sawa kabisa mkui..
 
Uko sawa kabisa mkuu.
 
Mheshimiwa CTU nimependa sana ufafanuzi wako. Mara nyingi watu wanapouliza maswali humu wanahitaji majibu si siasa au ukosoaji wa jingine kama wengi wetu tunavyofanya leo umetubadilisha sana HEKO ndugu UDUMU.
 
NAKUPENDA sana muheshimiwa CTU yan umenifungua vyakutosha sana ,Aksante sana mkuu
 
Back
Top Bottom