lonewolf ranger
JF-Expert Member
- Feb 22, 2013
- 476
- 149
- Thread starter
- #101
mkuu C.T.U nimekuelewa sana,asante.ila sijajua kwa nini tuna special force moja(maritime) kama tofauti na walivyo jirani zetu?na hii huwa inashughulika na nini?
kaka hatuna special force moja! mbona tunazo nyingi?
anyway..all in all,hao hao unao wadharau,their tireless works wanazozifanya ndio zinakufanya na wewe leo hii upate muda kwa kukaa nyuma ya pc yako na kutype hayo madharau yako.
Kwenye red siyo sawa usije ukadhani wanaovaa bawa kama hili ni makomandooView attachment 89680
Hao ni watu wa miamvuri na Barret zao ni rangi ya damu ya mzee!
Hapo kwenye red, hilo ni moja wapo ya mapungufu yao na ndi maana wana kua half bawa, na ili wawe kamili ya full bawa ni lazima wakamilishe mafunzo yote, na ndipo hupelekwa katika nchi zingine kukamilisha hayo mafunzo.
naomba majibu, paratrooper wa tanzania anavaa bawa full au nusu? na je ile ni special force au la??
commando unit 92KJ sio infantry special force?? au pia wamefanya mafunzo ya paratrooper?(ingawa mafunzo ya commando na paratrooper ni almost the same)
maana ya kuvaa tag ya nusu bawa ni kwamba ni commando nusu au ni paratrooper?
hadi private force(mercenaries) zipo, sijawahi kusikia!labda private weapon industries!
Swat : unapotosha ukweli unaposema mission hazifanywi na mossad bali shayetet 13.. Uelewe kwanza unlike TISS, Mossad imepewa majukumu ya kufanya overseas espionage activies ikiwemo covert operations em ingia kwnye website yao na usome moja ya shuguli zao.. Hao sayetet 13 unaowazungumzia ni kikosi maalum cha makomandoo wa majini. IDF ( israel defence force ) ina vikosi vitatu vya special operations
1. Sayeret Matkal hawa ndio maarufu sna ni ground invasion commandos kutoka infantry watu maarufu waliopitia hapa ni Ehud barak, B. Netanyahu na wengineo
2. The Shaldag.. Hawa ni makomandoo kutoka IAF (israel air forace) refer operation Green Island kule Misri
3. Sayetet 13 hawa ndio makomandoo kutoka jeshi la majini hata operation green island walishiriki pia.
Mossad ina idara mbali mbali lakini wakienda kwwnye covert operation wanakua na team tatu tu.. 1. Surveilance Team
2. Communication team
3. Assault team (kidon)
Ili uchaguliwe kwenye team ya kidon lazima uwe umepitia mafunzo maalum ya ukomandoo na hapa ndo wanaangalia best candidates kutoka vikosi maalum hasa sayeret matkal refer (Michael kumche interview with aljazeera) lakini kuna wakat Mossad hawawez kufanya baadhi ya operations kutokana na nature na requirements za operation hizo refer operation Spring of youth pale Lebanon ambapo target yao ilikua inalindwa na askar wa kilebanon na ilikua deep sna kias kwamba kw nature ya operations za ambazo haziko violent wasingeweza hivyo wakawasilisha plann yao IDF na Sayeret Matkal wakachukua jukumu la operation wakiongozwa na ehud barak kama kamanda wa kikos wakat huo. Lakini operation ya kumuua kiongozi wa sasa wa hamas kule jordan 1998 ilifanywa na kidon tho ilishindikana so Mossad wanakitengo cha Assasination na kaz yao kubwa ilikua baada ya Munich Massacre 1973 na ikitokea Ujasusi inabidi ufanyike ndan ya Israel au palestina bas jukumu hukabidhiwa sna kwa Yamaam au Shin bet hawa ni sawa na MI5 kw kule Uingereza au FBI kw Marekani. Tuchangie vitu kw vivid facts ila shalow zinapotosha.
mkuu upo deep mbaya big up kwa darasa zuri
Aisee mbona hiyo shayetet ni special forces ya Israel. .au labda ulikuwa unamaanisha nini?
Na ile ya kung'oa kucha na meno inaitwaje?
Kama kweli umeuliza kwa nia uko juu sana keep it up! Kitendo cha kuwaza jambo ulilouliza ni kupevuka kwa hali ya juu! Majibu unayopata nafikiri umeona tofauti ya pumba na mchele! Vitu hivyo vipo kila nchi sema kuna kuzidiana baina ya nchi na nchi! "SAYERET MATKAL"