mossad007
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 1,165
- 852
asante mkuu mossad007 post nmeielewa na imejitosheleza!
shukran mkuu!
asante mkuu mossad007 post nmeielewa na imejitosheleza!
Swat : unapotosha ukweli unaposema mission hazifanywi na mossad bali shayetet 13.. Uelewe kwanza unlike TISS, Mossad imepewa majukumu ya kufanya overseas espionage activies ikiwemo covert operations em ingia kwnye website yao na usome moja ya shuguli zao.. Hao sayetet 13 unaowazungumzia ni kikosi maalum cha makomandoo wa majini. IDF ( israel defence force ) ina vikosi vitatu vya special operations
1. Sayeret Matkal hawa ndio maarufu sna ni ground invasion commandos kutoka infantry watu maarufu waliopitia hapa ni Ehud barak, B. Netanyahu na wengineo
2. The Shaldag.. Hawa ni makomandoo kutoka IAF (israel air forace) refer operation Green Island kule Misri
3. Sayetet 13 hawa ndio makomandoo kutoka jeshi la majini hata operation green island walishiriki pia.
Mossad ina idara mbali mbali lakini wakienda kwwnye covert operation wanakua na team tatu tu.. 1. Surveilance Team
2. Communication team
3. Assault team (kidon)
Ili uchaguliwe kwenye team ya kidon lazima uwe umepitia mafunzo maalum ya ukomandoo na hapa ndo wanaangalia best candidates kutoka vikosi maalum hasa sayeret matkal refer (Michael kumche interview with aljazeera) lakini kuna wakat Mossad hawawez kufanya baadhi ya operations kutokana na nature na requirements za operation hizo refer operation Spring of youth pale Lebanon ambapo target yao ilikua inalindwa na askar wa kilebanon na ilikua deep sna kias kwamba kw nature ya operations za ambazo haziko violent wasingeweza hivyo wakawasilisha plann yao IDF na Sayeret Matkal wakachukua jukumu la operation wakiongozwa na ehud barak kama kamanda wa kikos wakat huo. Lakini operation ya kumuua kiongozi wa sasa wa hamas kule jordan 1998 ilifanywa na kidon tho ilishindikana so Mossad wanakitengo cha Assasination na kaz yao kubwa ilikua baada ya Munich Massacre 1973 na ikitokea Ujasusi inabidi ufanyike ndan ya Israel au palestina bas jukumu hukabidhiwa sna kwa Yamaam au Shin bet hawa ni sawa na MI5 kw kule Uingereza au FBI kw Marekani. Tuchangie vitu kw vivid facts ila shalow zinapotosha.
naomba majibu, paratrooper wa tanzania anavaa bawa full au nusu? na je ile ni special force au la??
commando unit 92KJ sio infantry special force?? au pia wamefanya mafunzo ya paratrooper?(ingawa mafunzo ya commando na paratrooper ni almost the same)
maana ya kuvaa tag ya nusu bawa ni kwamba ni commando nusu au ni paratrooper?[/QUOT
Moshe Dayan:
Kwanza kbsa niwie radhi sikuwa nimeyaona maswali yako kitambo ningekua nimeshakupa majibu mda mrefu tu.
Mosi uelewe kua ili askari yoyote anayesoma kozi maalum ya ukomandoo (Special Tactics & Comandoo Course) aweze kuhitimu na kutunukiwa bawa ( comandoo badge) lazima ahitimu course ya paratrooping hapa lazima afanye vitu vifuatavyo
1. Afaulu HALO ( High altitude Low Opening ) hapa unarushwa na ndege futi takriban 40,000 halafu unaruka na parachute bila kulifungua mpka unapokaribia umbali mfupi kutua ardhini hii husaidia low detection na kufika kwa kas ardhini binaadam wa kawaida akifanya hivi atakufa hata kabla hajaigusa ardhi
2. Afaulu LAHO ( Low Altitude High Opening ) Hapa ataruka na parachute katika umbali mfupi sna kutoka kat ya ndege ya ndege na ardhi na hulifungua ghafla tu anaporuka toka kwenye ndege kuna baadhi ya missions huitaj ndege ipite chini sna kua avoid radar detection na komando lazima aweze kuji aclamatise na mazingira na aruke vzur.
Hivyo bas unapomzungumzia paratrooper unamzungumzia komando na unapomzungumzia komando unamaanisha ni paratrooper ingawa kwa nchi za wenzetu zilizoendelea siku hizi kua paratrooper si lazima sna uwe commando hata askar wa kawaida mfano USA ukiwa kwenye Unit ya Airbone either ruban au air technician kuruka na mwamvuli lazima ila course yako itakua less death row tofauti na hawa elite units.
Mwisho unapoona kijana kavaa nusu bawa basi ujue katika zile course huyu hajafuzu zote na hapa hasa ni hii ya Paratrooping mana hii huwaga ya mwisho kama vile unapofanya degree yako halaf mwishoni unaandika research na maelezo yake huwa " partial fullfilment for the requirement of .." bas na kwenye commando course kuruka na mwamvuli ni sawa na kufanya research baada ya course nyingne nying ngumu sna! Na pia commando na special force ni kitu kile kile ingawa hapa kwetu wale wa Ngerengere ( maroon berets ) hujiita commandos na wale wa Navy ( green berets ) hujiita special force ni utamaduni tu!
shalom
meir dagan hajambo?
subiri uking'olewa meno na kucha ndo utajua TZ tuko juu hatutangazi tu.wakuu hivi tz hakuna special force kama green beret,army rangers & navy seals.
Mkuu Mossad007 nashukuru kwa kutanua comment yangu na kwa ufafanuzi zaidi.Ndio uzuri waJF!
100% hapa bongo hakuna hao SEALs (Sio navy seals). kwa nini nasema hivyo. unapozungumzia SEALs solders, hao ni makomando/experts in Marines, Air and Land. wanaweza kupigana kwa hali yoyote ile. Pia, SEALs wengi wanachukuliwa wengine wakiwa even below 18s, wanaandaliwa muda mrefu hadi hufikia huo u-commando (SEALs). SEALs wengine wanachaguliwa tokea wakiwa wadogo kabisa, "wanatengenezwa" kwa special assignments, kwa mfano kumlinda US president. Pia, kutokana na ugumu wa majukumu yao au uhitaji wa majukumu ya SEALs wengi wanawai kustafu from active combat duties. pia wanakuwa na nidhamu ya hali ya juu. Sasa turudi hapa tz. (1) Kuna mapungufu mengi wakati wa kuchagua vijana kwenda jeshini. (2) Wengi wa vijana wanaokwenda jeshini utasikia, mkubwa flan alimsaidia kupata jeshi. (3) Kamlete zimekuwa nyingi sana. Mwisho hawa itatupasa tutambue commandos wanaandaliwa, ni kama tunavyosema ili uwe na timu bora ya taifa, lazima vijana uwaanda kwa muda mrefu, sasa hili swala lipo hata huko....
100% hapa bongo hakuna hao SEALs (Sio navy seals). kwa nini nasema hivyo. unapozungumzia SEALs solders, hao ni makomando/experts in Marines, Air and Land. wanaweza kupigana kwa hali yoyote ile. Pia, SEALs wengi wanachukuliwa wengine wakiwa even below 18s, wanaandaliwa muda mrefu hadi hufikia huo u-commando (SEALs). SEALs wengine wanachaguliwa tokea wakiwa wadogo kabisa, "wanatengenezwa" kwa special assignments, kwa mfano kumlinda US president. Pia, kutokana na ugumu wa majukumu yao au uhitaji wa majukumu ya SEALs wengi wanawai kustafu from active combat duties. pia wanakuwa na nidhamu ya hali ya juu. Sasa turudi hapa tz. (1) Kuna mapungufu mengi wakati wa kuchagua vijana kwenda jeshini. (2) Wengi wa vijana wanaokwenda jeshini utasikia, mkubwa flan alimsaidia kupata jeshi. (3) Kamlete zimekuwa nyingi sana. Mwisho hawa itatupasa tutambue commandos wanaandaliwa, ni kama tunavyosema ili uwe na timu bora ya taifa, lazima vijana uwaanda kwa muda mrefu, sasa hili swala lipo hata huko....
MD25: Commandos JWTZ wapo, walitoa demo kwenye shrerehe fulani uwanja wa Taifa last year. Kuna vikosi vyao kadhaa, kimoja kipo Ngerengere. Commando mmoja aliruka kwenye ile ajali ya treni some years ago,, aliruka treni ikiwa ina rudi nyuma kwa kasi almost 80kmh pale Salanda akiwa amembeba kijana begani. Huyo commando namfahamu, ila ameshastaafu kwa sasa!!! Hapa kwetu siyo lazima tuwape majina kama ya nchi za magharibi
'Special Forces' wapo katika majeshi yetu.Katika Polisi-Kikosi cha Kutuliza Ghasia(FFU) kuna 'Crisis Response Team (CRT) ambao ni askari waliopewa mafunzo ya juu ya kupambana na ugaidi,utekaji ndege na shughuli nyingine za hatari zinazohitaji uokozi wa maisha ya watu.Hawa ni 'wakali' wa kulenga shabaha na kutumia silaha ndogondogo mbalimbali. Baadhi walipata mafunzo yao Marekani.Tunaweza kuwafananisha na S.W.A.T kule Marekani. Wengine wamepewa mafunzo hapa nchini na wanajulikana maarufu zaidi kama askari wa 'TIGO'.
Katika JWTZ kuna vikosi nyeti vya makomando ambao wanahusika zaidi wakati wa vita pale kunapohitajika kuendesha vita ya askari wachache,mazingira magumu na kwa ustadi wa hali ya juu.Wanafunzwa mbinu mbalimbali za kupigana kwa silaha mbalimbali,visu,karate,utegaji mabomu n.k.Hufundishwa pia mbinu za kutambua adui,kuepa maadui, utorokaji,ushambulizi, kujiweka salama na kupita kwenye maji. Pia wanakuwa na shabaha bora.
Tatizo kubwa ni kuingiza siasa na ubabaishaji kwenye mambo ya msingi.Pia kutokuwa na vipaumbele vichache vyenye ukomo.Pale tutakapoweza kutenganisha uwaziri na ubunge,hapo ndiyo tutaanza kusonga mbele.. Haiingii akilini kutumia baadhi ya vikosi vyetu vya majeshi kuwadhibiti CUF wakati wa uchaguzi huko nyuma kule Visiwani.Polisi hali kadhalika.Pia tumeachia nchi 'ikatekwa' na kikundi kidogo cha watu wanaoona kwamba bila wao hakuna Tanzania,baadhi yao wanadai wakiondoka madarakani 'hamuwezi kupata Waziri kama mimi' n.k. Tatizo jingine uwajibikaji uko chini na baadhi ya mawaziri hawataki mifumo halali ifanye kazi mfano Waziri Mwakyembe yeye ndiyo Bodi ya Bandari, yeye ndiyo menejimenti, yeye ndiyo mlinzi wa bandarini n.k Baadhi ya wananchi kwa kutokujua wanamwona kama anafanya kazi lakini hiyo si kazi yake. Kuna watu wanalipwa kwa kazi hizo. Yeye anafanya hivyo kwa malengo binafsi tu.Inamaana akitoka katika hiyo Wizara kila kitu kinasimama.Park;
Mimi siku zote huwa najiuliza Tanzania tunakosa nini, hasa kwa kipindi hiki nashindwa kuelewa. Well trained and intelligent human resources tunao, non human resources za muhimu kv madin, gas n.k. tunavyo, universities and colleges sasa hivi za kumwaga. Hivi tunakosa nini? Maelezo yako hapo juu yanaweza kusababisha mtu asiamini kuwa ni kweli lakini ninajua unachoongea una zaidi ya uhakika nacho! Ahsante sana.
yani mzee baba bora ukasomee psychology maana ulimjua before kama ni dogoPunguza kuangalia mikanda dogo.... Homework zako zote ushamaliza?