special forces!

special forces!

I salute md25,wwe ni noma umetoa darasa lakutosha kuhusu mambo ya special force.Hivi bongo hamuijui nni?md25 ni kweli ssi bongo ni full usani kila mahali kuanzia kwenye elimu mpaka kwenye vyombo vya ulinzi ni bomu2

Kifupi Tz hatuko kwenye level za kuwa na special forces kwa kuwa kiteknolojia bado tuko chini sana kuwa train hawa jamaa inahitaji fungu la kutosha sana. So ukiangalia kwa bongo tuna rank za kawaida tu kama ambavyo majeshi yanatakiwa kuwa nayo.
 
Special force zipo na zinafanya kazi zake kutokana na matokwa ya watu flani flani na hapo ndipo wanapo haribu maana yake harisi.
Upande wa mafunzo, ni kweli wanapata mafunzo lakini yapo nyuma ya teknolojia na hata ukiangalia Makomandoo wanao zalishwa humu wengi ni half bawa ina maana hawajawa makomandoo kamili hadi pale watapo maliza mafunzo rasmi ambapo huenda katika nchi kama China na kwingineko, tatizo linakuja wanaporudi na ujuzi wa dunia ya kwanza hapa kwetu tanzania wanajikuta wapo kwenye mfumo mmbovu ambao hauwaruhusu wao kufanya kama yale walio fundishwa.
 
Kifupi Tz hatuko kwenye
level za kuwa na special forces kwa kuwa kiteknolojia bado tuko chini
sana kuwa train hawa jamaa inahitaji fungu la kutosha sana. So
ukiangalia kwa bongo tuna rank za kawaida tu kama ambavyo majeshi
yanatakiwa kuwa nayo.

Mkuu umeongea sahihi kabisa. Hizo SFs kwa hapa BONGO HAKUNA, kama zipo ni JUST kutimiza matakwa tu ya kimuundo au kisheria.
Kwa mfano, TZ ili adopt ile terrorism Act kama sehemu ya matakwa ya US na UN, lakini adoption ya sheria ni swala moja, operationalization ni swala lingine. Ndio maana, ilipotokea ishu ya ZNZ JK fasta akawaita FBI, si kwamba hajui PT au JW hawana Terrorism units, wanazo, ila sema they are NOT operational entities.

Kuna ishu ya msingi sana. Kwenye jeshi letu la PT kumejaa vilaza tu, wale watu waliofeli either form 4 au 6 ndio wamejazana humu. Sasa katika dunia ya leo ya uhalifu, hawa vilaza watatusaidia nini. haya mambo lazima tuyaangalie kwa mapana yake. ndio maana PT wao wanachojua ni kula rushwa tu, na maisha yanavyozidi kuwa magumu, wameamua kuingia front na kuwa majambazi/wezi, the same to JW tena huko ma-hopeless ndio wamejazana....
 
Special force zipo na
zinafanya kazi zake kutokana na matokwa ya watu flani flani na hapo
ndipo wanapo haribu maana yake harisi.
Upande wa mafunzo, ni kweli wanapata mafunzo lakini yapo nyuma ya
teknolojia na hata ukiangalia Makomandoo wanao zalishwa humu wengi ni
half bawa ina maana hawajawa makomandoo kamili hadi pale watapo maliza
mafunzo rasmi ambapo huenda katika nchi kama China na kwingineko, tatizo
linakuja wanaporudi na ujuzi wa dunia ya kwanza hapa kwetu tanzania
wanajikuta wapo kwenye mfumo mmbovu ambao hauwaruhusu wao kufanya kama
yale walio fundishwa.

Mkuu hizo hadithi za kwamba makomandoo wetu wanaenda Cuba, Israel, China etc, hayo mambo yalikuwa zamani na sio sasa. Sasa hivi wanafundishana humu humu.

Serikali hii haina fedha tena ya kubeba hilo jukumu, serikali hiko hoi. Unapoona kila idara ya serikali kunawaka moto, watu wanalia njaa, usifikiri wale jamaa wa ngerengere kwao hali ni swali, HAPANA, na wao njaa inawapiga kama kawa.

Sasa hivi weredi umepotea kabisa JW, high ranking officers wanapiga ile mbaya, si ulisikia ile ishu ya SUMA JKT hadi Kanali alifukuzwa kwa tuuma za kula fedha za miradi. Sasa jiuliza, Kanali wa jeshi anapelekwa kwenye court marshall na kufukuzwa kazi, kisa ni mwizi, sasa hapo kuna jeshi?
 
Nimekuelewa ndugu MD25 , maana hiyo tanzani inazalisha makondo ambao ni HALF BAWA ambao sio makomando kamili, basi hii ni hatari maana hata teknolojia yetu kiusalama ipo chini.
Mkuu hizo hadithi za kwamba makomandoo wetu wanaenda Cuba, Israel, China etc, hayo mambo yalikuwa zamani na sio sasa. Sasa hivi wanafundishana humu humu.

Serikali hii haina fedha tena ya kubeba hilo jukumu, serikali hiko hoi. Unapoona kila idara ya serikali kunawaka moto, watu wanalia njaa, usifikiri wale jamaa wa ngerengere kwao hali ni swali, HAPANA, na wao njaa inawapiga kama kawa.

Sasa hivi weredi umepotea kabisa JW, high ranking officers wanapiga ile mbaya, si ulisikia ile ishu ya SUMA JKT hadi Kanali alifukuzwa kwa tuuma za kula fedha za miradi. Sasa jiuliza, Kanali wa jeshi anapelekwa kwenye court marshall na kufukuzwa kazi, kisa ni mwizi, sasa hapo kuna jeshi?
 
Last edited by a moderator:
kupikwa sawa acha wapikwe na tunataka wapikwe vizuri ili waje wafanye kazi vizuri zaidi, lakini mbona hatuon application ya kile wanachofundishwa? Inamaana hawajui au wamesahau majukumu yao? Ni vipi tuseme ni wazuri wakati hatuoni walicho/wanachokifanya? Tunataka kuona kazi bana na sio maneno

wanaonyesha kwa kuwauwa waandishi wa habari na kuwapiga virungu wanachama wa vyama pinzani.
 
Nimekuelewa ndugu
MD25 , maana hiyo tanzani inazalisha makondo
ambao ni HALF BAWA ambao sio makomando kamili, basi hii ni hatari maana
hata teknolojia yetu kiusalama ipo chini.

Kweli kabisa mkuu. Makomandoo walikuwepo enzi hizo, kipindi hicho tukiwa KWELI na JW, lakini sio sasa.

Mkuu, ukiona system ya nchi ime fail, namaanisha Ikulu imefail, usifikiri kuna idara itabaki salama, tena unaweza kuta huku kwa hawa mabaunsa wetu hali ni tete zaidi...
 
Last edited by a moderator:
Ni hatari kwa usalama wa nchi yenu, maana kwa hali iendavyo ivi sasa na jinsi mlivyo barikiwa natural resource nyingi huku mmeshindwa kuweka system nzuri ya usalama mjiandae kuingiliwa siku moja.
Kweli kabisa mkuu. Makomandoo walikuwepo enzi hizo, kipindi hicho tukiwa KWELI na JW, lakini sio sasa.

Mkuu, ukiona system ya nchi ime fail, namaanisha Ikulu imefail, usifikiri kuna idara itabaki salama, tena unaweza kuta huku kwa hawa mabaunsa wetu hali ni tete zaidi...
 
Ni hatari kwa usalama wa
nchi yenu, maana kwa hali iendavyo ivi sasa na jinsi mlivyo barikiwa
natural resource nyingi huku mmeshindwa kuweka system nzuri ya usalama
mjiandae kuingiliwa siku moja.

Mkuu unasema "Tujiandae kuingiliwa/kuvamiwa".. Unataka tuingiliwe mara ngapi? Au nikuulize vizuri, unataka nchi iuzwe mara ngapi?

Kipindi kile Bush na Hu Jintao, walivyopigana vikumbo kuja TZ nikajua pale pale hatuna nchi tena.

Mkuu, nchi hatuna. Tumeishaikabidhi kwa wenyewe...
 
Mkuu wale Special Force wenu wa Ngerengere wanaojua kuvunja tofari kwa kichwa, kusema wanakula Ugali maharage ni kashfa au kebehi?
Kuwa au kuunda kitengo na kukiita Special Forces, si kana kwamba hao jamaa wanaweza kufanya wafanyacho special forces.
Ngoja nikupe mfano labda utanielewa: PT kuna kitengo cha forensics kinachotakiwa au kinachopaswa kufanya kazi kama ile waliyofanya FBI zanzibar. Lakini umeona kilichotokea baada ya yule padri kuuli? JK aliwaita FBI kuja kufanya ile forensics ambayo PT wana kitengo chake.
Point hapa ni kwamba kuwa na kitengo ukakiita "special force" na capability ya hicho kitengo ni swala lingine.... take it.

ukitaka kujua capability ya vyombo vyote vya usalama Tanzania wewe fanya tukio linalogusa maslahi yao ndo utaelewa vizuri.kuna matukio yanatokea ambayo nyie raia wa kawaida mnayaona mazito na illegal mkitegemea response kubwa toka vyombo vya usalama bila kujua siri kubwa zinazojificha kwenye matukio hayo na wao wenyewe huwa wanakuwa na habari na wanajua kinachoendelea na wana sababu zao kuyachunia.it's only insiders who knows the real thing.nyie mnabaki kusema tu "mbona wameitwa FBI,wapelelezi hatuna, kumbe ishu iko vingine kabisa..jeshi halina vifaa jamani mabomu ya zamani hadi yana expire na kulipuka",kumbe ishu ni nyingiine,sasa wewe ukiwa kama outsider hebu unda kakikosi kako ka waasi ulianzishe..ndio utajua uwezo wa jeshi la Tz!pia ujue masuala ya utendaji kazi wa vyombo vya usalama Tz ni ya siri sana na hakuna serious problems za kiusalama kuwafanya wajionyeshe.
 
ukitaka kujua capability
ya vyombo vyote vya usalama Tanzania wewe fanya tukio linalogusa maslahi
yao ndo utaelewa vizuri.kuna matukio yanatokea ambayo nyie raia wa
kawaida mnayaona mazito na illegal mkitegemea response kubwa toka vyombo
vya usalama bila kujua siri kubwa zinazojificha kwenye matukio hayo na
wao wenyewe huwa wanakuwa na habari na wanajua kinachoendelea na wana
sababu zao kuyachunia.it's only insiders who knows the real thing.nyie
mnabaki kusema tu "mbona wameitwa FBI,wapelelezi hatuna, kumbe ishu iko
vingine kabisa..jeshi halina vifaa jamani mabomu ya zamani hadi yana
expire na kulipuka",kumbe ishu ni nyingiine,sasa wewe ukiwa kama
outsider hebu unda kakikosi kako ka waasi ulianzishe..ndio utajua uwezo
wa jeshi la Tz!pia ujue masuala ya utendaji kazi wa vyombo vya usalama
Tz ni ya siri sana na hakuna serious problems za kiusalama kuwafanya
wajionyeshe.

Mkuu, kwa hiyo capability ya hizi SFs ili uzione ni mpaka uunde kakikosi chako cha uasi? Kama ndio hivyo basi kazi ipo.

Pia, kama hizi SFs, zinaweza kukaa kimya na kuwaacha wale wahuni wa Magomeni au Mwananyamala wakiendelea kuuza madawa yao bila wasiwasi, kisa tu "sio interest yao" basi kuna mapungufu makubwa, au madhumuni ya kuanzishwa hivo vitengo hakuna. Kama kuna illegal buzz zinaendelea na hivi vitengo vipo kimya, what is that?

Kuna jamaa mmoja yupo DCC, alikuwa ananieleza ni namna gani wanachukua ela kutoka kwa hawa wahindi/waarabu, mfano ni Fida Hussein.

Kwa taarifa yako hawa jamaa wa DCC wanawajua wauza unga wote, na bia wanakunywa nao, ila kwa kuwa wanakatiwa mpunga basi wako kimya.
 
ukitaka
kujua capability
ya vyombo vyote vya usalama Tanzania wewe fanya tukio linalogusa maslahi
yao ndo utaelewa vizuri.kuna matukio yanatokea ambayo nyie raia wa
kawaida mnayaona mazito na illegal mkitegemea response kubwa toka vyombo
vya usalama bila kujua siri kubwa zinazojificha kwenye matukio hayo na
wao wenyewe huwa wanakuwa na habari na wanajua kinachoendelea na wana
sababu zao kuyachunia.it's only insiders who knows the real thing.nyie
mnabaki kusema tu "mbona wameitwa FBI,wapelelezi hatuna, kumbe ishu iko
vingine kabisa..jeshi halina vifaa jamani mabomu ya zamani hadi yana
expire na kulipuka",kumbe ishu ni nyingiine,sasa wewe ukiwa kama
outsider hebu unda kakikosi kako ka waasi ulianzishe..ndio utajua uwezo
wa jeshi la Tz!pia ujue masuala ya utendaji kazi wa vyombo vya usalama
Tz ni ya siri sana na hakuna serious problems za kiusalama kuwafanya
wajionyeshe.

Mkuu, hizi Special Forces/Units hapa bongo hawajui wanachofanya, kazi
yao ni kushinda baa na kunywa bia tu.

Kama hawatekelezi majukumu yao, kuna maana gani ya wao kuwepo? Wamekua
wanadili na kesi za kuku. In short, they are not Professional. Ni
kukundi cha wahuni wachache, wanaolindana na kulinda interest zao.

Turudi ishu ya ZNZ, nakuakikishia, wangeenda vijana wa Manumba, ungesikia
hadithi ambayo ingetengenezwa hapo. Unajua ni kwa nini, kwa sababu they
are NOT professional...
 
Mkuu umeongea sahihi kabisa. Hizo SFs kwa hapa BONGO HAKUNA, kama zipo ni JUST kutimiza matakwa tu ya kimuundo au kisheria.
Kwa mfano, TZ ili adopt ile terrorism Act kama sehemu ya matakwa ya US na UN, lakini adoption ya sheria ni swala moja, operationalization ni swala lingine. Ndio maana, ilipotokea ishu ya ZNZ JK fasta akawaita FBI, si kwamba hajui PT au JW hawana Terrorism units, wanazo, ila sema they are NOT operational entities.

Kuna ishu ya msingi sana. Kwenye jeshi letu la PT kumejaa vilaza tu, wale watu waliofeli either form 4 au 6 ndio wamejazana humu. Sasa katika dunia ya leo ya uhalifu, hawa vilaza watatusaidia nini. haya mambo lazima tuyaangalie kwa mapana yake. ndio maana PT wao wanachojua ni kula rushwa tu, na maisha yanavyozidi kuwa magumu, wameamua kuingia front na kuwa majambazi/wezi, the same to JW tena huko ma-hopeless ndio wamejazana....

huo ndo ukweli mkuu
kwa mfano nchi kama USA utakuta SWAT,US police departments kama LADP,NYPD, wana SHERIFF, Homeland Security,FBI, CTU, CIA,etc So Ukienda kwenye jeshi lazima ukome coz kuna mpaka forces ambazo ni privately owned kama MERCENARIES.. kwa maana hii bajeti yao ni kubwa sana na teknolojia yao ni kubwa kwa bongo hii ni upuuzi mtupu polisi wetu wamefundishwa kupiga mabomu ya machozi na kufuga vitambi kama viroba ya mbolea, kula rushwa in short hatuna well trained polisi sababu polisi wetu wapo kwa ajili ya maslahi ya watu wachache..
 
Special force zipo na zinafanya kazi zake kutokana na matokwa ya watu flani flani na hapo ndipo wanapo haribu maana yake harisi.Upande wa mafunzo, ni kweli wanapata mafunzo lakini yapo nyuma ya teknolojia na hata ukiangalia Makomandoo wanao zalishwa humu wengi ni half bawa ina maana hawajawa makomandoo kamili hadi pale watapo maliza mafunzo rasmi ambapo huenda katika nchi kama China na kwingineko, tatizo linakuja wanaporudi na ujuzi wa dunia ya kwanza hapa kwetu tanzania wanajikuta wapo kwenye mfumo mmbovu ambao hauwaruhusu wao kufanya kama yale walio fundishwa.
sawa kabisa mkuu!unachoongea ni kwelih!
 
huo ndo ukweli mkuukwa mfano nchi kama USA utakuta SWAT,US police departments kama LADP,NYPD, wana SHERIFF, Homeland Security,FBI, CTU, CIA,etc So Ukienda kwenye jeshi lazima ukome coz kuna mpaka forces ambazo ni privately owned kama MERCENARIES.. kwa maana hii bajeti yao ni kubwa sana na teknolojia yao ni kubwa kwa bongo hii ni upuuzi mtupu polisi wetu wamefundishwa kupiga mabomu ya machozi na kufuga vitambi kama viroba ya mbolea, kula rushwa in short hatuna well trained polisi sababu polisi wetu wapo kwa ajili ya maslahi ya watu wachache..
hadi private force(mercenaries) zipo, sijawahi kusikia!labda private weapon industries!
 
Huu uzi ni mzuri sana jamani wajuzi endeleeni kutupa Shule jamani tuelimike na sisi.
 
mkuu,ebu tembelea pale monduli siku moja ujionee vijana wanavyopikwa.

Mkuu vijana wako wa monduli, inavyoelekea wameiva vizuri na kuyaelewa mafunzo ipasavyo.
Jana wametoa demo kwa kuua dereva wa bajaji kawe-dsm. kweli wameiva....
 
Kitengo kinachomlinda Rais wa Tanzania na Viongozi Wengine Wakuu kinaitwa Kitengo cha Usalama wa Viongozi(Presidential Protection Unit - PPU).Ni moja ya vitengo vilivyoko chini ya TISS. Kumbuka TISS haina kitengo hiki tu, viko mbalimbali. Hawa jamaa wa PPU hupewa mafunzo mengi ya hali ya juu yakiwamo Kushambulia,Kuhami,Kudhibiti Umati na Kutumia silaha mbalimbali.
Yule Afisa wa Jeshi anayesimama nyuma ya Rais siyo mlinzi bali ni Msaidizi wa Rais (Aide-de-Camp - ADC).

sawasawa mkuu kwa maelezo yako yamejitosheleza
 
tanzania hakuna special forces kuna vitengo vya ulinzi vya CCM ndo maana watanzania wote hawako salama isipokuwa wale walioko katika inner circle ya CCM.
 
Back
Top Bottom