MD25
JF-Expert Member
- Jan 28, 2012
- 3,074
- 1,030
unataka
kuniambia wale TISS
wanao mlinda jk sio makomandoo?sitaki kuamini hilo..nijuavyo mimi hakuna
kiongozi mkuu wa taifa lolote lile hapa duniani ambae halindwi na
makomandoo.
JK analindwa na TISS wengi, sasa sijui unamaanisha yule Kanali anayekaa
nyuma yake?... Kama ni yule Kanali, basi si komandoo.
Ila umeshaona Obama ana jamaa amesimama nyuma anamlinda asianguke?
NO.....
Okay, turudi kwenye mada. Komandoo wa Ngerengere usimfananishe na US
SEALs. Never!!! Usifananishe wale wapuuzi wanaokula ugali na maharage na
professional SEALs....