special forces!

special forces!

Thubutu...hawa
wa bongo sijui..

Hawa wa Bongo ambao wameingia humo kupitia KAMLETE, walioenda just
3months pale Mbweni na muda wote wako baa wanakunywa na kujisifu, hamna
kitu, tuna watu ambao ni usalama kwa JUST jina lakini sio opetational...
 
Jambo usilolijua ni usiku wa giza. Mchango wangu mimi mdogo tu. Komandoo wa Tanzania ukimpeleka kupigana Siberia kwenye nyuzi joto hasi 20 atakufa kama kuku. Kumbuka wajerumani walivyokufa kule Urusi kwenye vita vya pili vya dunia. Na komandoo wa Marekani ukimpeleka Somalia anakufa kama kuku. Hakuna mtu anayeweza kufundishwa kupigana kwa hali zote duniani. Pasaka njema.
 
By principle HAKUNA chombo cha ulinzi kinachoweza kusema kinafanya au kimefanya kazi yake vyema kwenye huo ulinzi, wote wanaboronga na wameboronga.
Huo ulinzi wa mipakani upo hovyo tu, sina haja ya kueleza. pia ulinzi wa ndani ndio hatari kabisa, mimi binafsi ningeshukuru kama ningezaliwa nchi nyingine, kwani hawa polisi badala ya kutulinda ndio wanachora michoro ya kutudhuri na kutupora kile kidogo tulicho ki save. Mungu awalaani.
Turudi kwenye mada. Inakupasa kutambua, ninapozungumzia SFs sio their establishment, nazungumzia operational,
nazungumzia Professionalism.
Hivi wewe, inawezekana vipi huyo komandoo wako wa ngerengere aende kwenye operatios huku;
(1) Mtoto wake wa kwanza kumzaa anaanza form 1 huku hajui kuandika.
(2) Mke wake anafariki wakati wa kujifungua au
(3) mama yake anashindwa kufanyiwa operation kwa sababu umeme haupo kwenye hiyo hospital au
(4) rafiki yake ametoka kuzikwa kutokana na ajari ya ndege kama iliyotokea mwaka jana, namaanisha kurusha ndege mbovu....

Mkuu,
You have spoken the REALITY!
Salute.
 
Jambo usilolijua ni usiku wa giza. Mchango wangu mimi mdogo tu. Komandoo wa Tanzania ukimpeleka kupigana Siberia kwenye nyuzi joto hasi 20 atakufa kama kuku. Kumbuka wajerumani walivyokufa kule Urusi kwenye vita vya pili vya dunia. Na komandoo wa Marekani ukimpeleka Somalia anakufa kama kuku. Hakuna mtu anayeweza kufundishwa kupigana kwa hali zote duniani. Pasaka njema.

Salute!
 
Jambo usilolijua ni usiku
wa giza. Mchango wangu mimi mdogo tu. Komandoo wa Tanzania ukimpeleka
kupigana Siberia kwenye nyuzi joto hasi 20 atakufa kama kuku. Kumbuka
wajerumani walivyokufa kule Urusi kwenye vita vya pili vya dunia. Na
komandoo wa Marekani ukimpeleka Somalia anakufa kama kuku. Hakuna mtu
anayeweza kufundishwa kupigana kwa hali zote duniani. Pasaka
njema.

Je na yule askari wa TZ aliokufa kwenye dimbwi la mto wa maji kwa hiyo nao ile condition ilikuwa mpya kwao??
 
Askari
wa nchi gani huwa hawafi mkuu?

Your question is VAGUE... Pls just ask specific question... Au unauliza
mfano wa US SEAL Solder aliyekufa kama yule TZ-AMISOM solder...
 
wakuu hivi tz hakuna special force kama green beret,army rangers & navy seals.
Wapo sana mkuu wanaitwa GREEN GUARD!!!!!:frusty::frusty::frusty::frusty::frusty::frusty::frusty::frusty::bange::bange::bange::bange::spit::flock::flock::flock:Umewaona wanatembea hao????
 
Wapo sana mkuu wanaitwa
GREEN
GUARD!!!!!:frusty::frusty::frusty::frusty::frusty::frusty::frusty::frusty::bange::bange::bange::bange::spit::flock::flock::flock:Umewaona
wanatembea hao????

Tatizo la TISS, wao wako makini kuakikisha usalama wa JK and family...
 
wacha dharau mkuu,wale jamaa wanaokua wamemzingira jk huku wamevaa suti nyeusi ni hatari sana..most of them wamekua trained israel,cuba,usa na egypt kwa kazi hyo..na hata hao wa ngerengere sio wa kubeza,wako vizuri sana,ukitaka kujua mziki wao wachokoze tu.

Jambo usilolijua....nawashangaa wanaodharau wapiganaji wetu
 
Jambo usilolijua....nawashangaa wanaodharau wapiganaji wetu

Wapiganaji???? Je Lt Gen Shimbo ni mpiganaji??? Wapiganaji wetu hao wapi unaowazungumzia.
Hold your back....
 
Kwa hiyo ni nchi gani hiyo mkuu ambayo ungependa uzaliwe ambayo haina matatizo/changamoto za maji,afya, elimu,hakuna ajali za barabarani wala za kwenye military operation nk! Nahisi kwa busara na uelewa wako utaniambia ungependa uzaliwe Marekani
By principle HAKUNA chombo cha ulinzi kinachoweza kusema kinafanya au kimefanya kazi yake vyema kwenye huo ulinzi, wote wanaboronga na wameboronga.
Huo ulinzi wa mipakani upo hovyo tu, sina haja ya kueleza. pia ulinzi wa ndani ndio hatari kabisa, mimi binafsi ningeshukuru kama ningezaliwa nchi nyingine, kwani hawa polisi badala ya kutulinda ndio wanachora michoro ya kutudhuri na kutupora kile kidogo tulicho ki save. Mungu awalaani.
Turudi kwenye mada. Inakupasa kutambua, ninapozungumzia SFs sio their establishment, nazungumzia operational, nazungumzia Professionalism.
Hivi wewe, inawezekana vipi huyo komandoo wako wa ngerengere aende kwenye operatios huku;
(1) Mtoto wake wa kwanza kumzaa anaanza form 1 huku hajui kuandika.
(2) Mke wake anafariki wakati wa kujifungua au
(3) mama yake anashindwa kufanyiwa operation kwa sababu umeme haupo kwenye hiyo hospital au
(4) rafiki yake ametoka kuzikwa kutokana na ajari ya ndege kama iliyotokea mwaka jana, namaanisha kurusha ndege mbovu....
 
mkuu,ebu tembelea pale monduli siku moja ujionee vijana wanavyopikwa.

kupikwa sawa acha wapikwe na tunataka wapikwe vizuri ili waje wafanye kazi vizuri zaidi, lakini mbona hatuon application ya kile wanachofundishwa? Inamaana hawajui au wamesahau majukumu yao? Ni vipi tuseme ni wazuri wakati hatuoni walicho/wanachokifanya? Tunataka kuona kazi bana na sio maneno
 
I salute md25,wwe ni noma umetoa darasa lakutosha kuhusu mambo ya special force.Hivi bongo hamuijui nni?md25 ni kweli ssi bongo ni full usani kila mahali kuanzia kwenye elimu mpaka kwenye vyombo vya ulinzi ni bomu2
 
Mkuu, hapa bongo secret service unaweza kuifananisha na TISS kitengo kinachomlinda JK. Ila tofauti kati ya hao SS na hawa TISS wetu ni kubwa mno. (1) Secret Service ni wanajeshi from US Forces, wanakua either in active combat duties or not. Yani ni lazima uwe umeshapitia uaskari. (2) TISS wa bongo wengi wao ni watoto wa mjomba au shangazi... "KAMLETE". Ndio maana JK alikuwa na kashfa ya kujaza ndugu zake huko. (3) SS ni taasisi inayojitegemea, ikiwa na kazi ya KUMLINDA RAIS ili aweze kutekeleza majukumu yake kikatiba (4) TISS wao kazi yao ni kama yule mbwa wako pale nyumbani, ukimwambia bweka... anabweka. wao hawako kusimamia katiba, wao ndio matapeli hapa mjini, wezi, majambazi na kila aina ya uchafu unaoujua wewe.
Kitengo kinachomlinda Rais wa Tanzania na Viongozi Wengine Wakuu kinaitwa Kitengo cha Usalama wa Viongozi(Presidential Protection Unit - PPU).Ni moja ya vitengo vilivyoko chini ya TISS. Kumbuka TISS haina kitengo hiki tu, viko mbalimbali. Hawa jamaa wa PPU hupewa mafunzo mengi ya hali ya juu yakiwamo Kushambulia,Kuhami,Kudhibiti Umati na Kutumia silaha mbalimbali.
Yule Afisa wa Jeshi anayesimama nyuma ya Rais siyo mlinzi bali ni Msaidizi wa Rais (Aide-de-Camp - ADC).
 
Back
Top Bottom