Songea: Waumini wachoma Kanisa kwa hasira baada ya Padre kukataa kwenda kumzika muumini

wamekosea sana kuchoma nyumba ya ibada.
maana hiyo sio nyumba ya Padre.
Ni kosa kujichukulia sheria mkononi.
ni bora wangemtenga Padre kwa kususia kwenda kanisani badala ya kuchoma.
Siku hizi wanajali sana pesa acha wawaonyesha
 
Duu!!! Mleta mada tusaidie kujua sababu za baba Paroko kugoma kuendesha ibada ya mazishi ili tutoe maoni yetu.
Japo sio mleta mada!!

Roman Catholic wana utararibu flan wa kibabe kwa wasiokuwa waumini madhubuti, uumini madhubuti ni ule wa kutoa sadaka dhaka , na michango kadha wa kadha ya kikanisa , ikiwemo pia michango ya jumuiya za mitaa, sasa inapotokea muumini akashindwa kuchangia au kuhukwepa majukumu hayo kwa namna flani, adhabu ndo inakuwa hiyo , kutozikwa na misa ya padri!! Sehemu zingine ni mbaya zaidi maana padri pia anaweza kuamuru marehemu asihudumiwa na hata katekista au muumini wa kawaida .
 
Nyie ni wahuni.
Maparoko wanajiona wajukuu wa mungu, waendelee kushikishwa adabu na huku kitaa.

Mwaka jana kuna padre tulimdaka na dem wa mshikaji tukacharaza bakora na kumrekodi kwa simu yake. Na alitoa muamala wa milioni mbili kiulaini sana.
 
Back
Top Bottom