Songea: Waumini wachoma Kanisa kwa hasira baada ya Padre kukataa kwenda kumzika muumini

Kabisa mkuu, hawa ndiyo waliokuwa wamekaki kama kioo cha ukristo lakini wamekuwa wahuni kuliko wahuni, sijui hata kama hicho kitubio kitazaa matunda
RC imeingiliwa na makanjanja(wasaka fursa), naona ni huku kwetu tu ulaya hawa mapadre hadi ndoa za jinsi moja wanafungisha.
Na pope alisema hawezi kumhukum shoga kama Mungu anasamehe yote yeye ni nani amhukumu.
 
Maparoko wanajiona wajukuu wa mungu, waendelee kushikishwa adabu na huku kitaa.

Mwaka jana kuna padre tulimdaka na dem wa mshikaji tukacharaza bakora na kumrekodi kwa simu yake. Na alitoa muamala wa milioni mbili kiulaini sana.
Mbona mlikubali kiasi kidogo hivyo. Wana hela hao!
 
Bora wachome tu hili kanisa ni la mchongo.Kanisa gani waimini hawaruhusiwi kuhoji maswal kwenye biblia?
 
Back
Top Bottom