Kanisa Katoliki laanzisha bima yake ya afya kwa ajili ya waumini wao baada ya kuona wanahangaika

Hivi kwanini Nchi hii wasipewe Maaskofu wa kanisa katoliki ili kuiendesha?
Naamini kwa 100% tungeweza kutoka ktk utumwa huu wa upigaji wa ccm kila uchwao!
Uzuri wa maaskofu katoliki wakiona kuna tatizo mahali kuhusu waumini wao wepesi kutafuta solution upesi

Wameona porojo za NHIF zitaumiza waumimi wao .Wakaona isiwe kesi waanzishe bima ya afya ya kwao Hizo porojo.za NHIF wabaki nazo huko kwao wenyewe NHIF
 
Back
Top Bottom