Songea: Waumini wachoma Kanisa kwa hasira baada ya Padre kukataa kwenda kumzika muumini

Padre alikataa kwenda kumzika muuamini (sababu bado haijajulikana), waumini wamezika baada ya kumaliza kuzika wakaenda Parokiani wakachoma kanisa kwa hasira.

View attachment 2016428
Chanzo cha mapadri kukataa huwa ni sadaka ya bahasha, kabla ya kuamua kukuzika wanaangalia jina lako kwenye sadaka ya bahasha, kama hauna matoleo hawaji wanakutenga, hukumu hapahapa duniani.
 
They've drawn big attention. They've sent a loud and clear message to the priests who think they deserve the rights to treat church members in bulsh*t ways or in whatever way they think befit them.

And this should be considered as morning trumpet or a wakeup call to mapadre na viongozi wa dini wakusanya sadaka without thinking what Jesus would have done in such circumstance/environment.

Soreeee kwa kimalikia ambacho hakijanyooka
Hii ilitokea Tanzania kwa nyumbi hii bombi hii, siyo ulaya.
 
They've drawn big attention. They've sent a loud and clear message to the priests who think they deserve the rights to treat church members in bulsh*t ways or in whatever way they think befit them.

And this should be considered as morning trumpet or a wakeup call to mapadre na viongozi wa dini wakusanya sadaka without thinking what Jesus would have done in such circumstance/environment.

Soreeee kwa kimalikia ambacho hakijanyooka
Zipo sheria na taratibu zinazoendesha makanisa, siyo hisia.
 
Kabisa..
Wamekosa Hekima na Busara!!
Inawezekana kabisa kuna mengi yako nyuma ya hili sakata na ndiyo yamefanya hao waumini wachukuwe hiyo hatua. Sidhani kama ni tukio la padri kukataa kumzika huyo muumini ndiyo limelipua hasira kama hizi.

Ndiyo maana hata wenye akili wanasema serikali inadhani watanzania ni waoga au wajinga hivyo wanaacha kuwajibika lakini iko siku watu wanaweza kulipuka na majumba yakachomwa moto.
 
wamekosea sana kuchoma nyumba ya ibada.
maana hiyo sio nyumba ya Padre.
Ni kosa kujichukulia sheria mkononi.
ni bora wangemtenga Padre kwa kususia kwenda kanisani badala ya kuchoma.
Mambo kama haya hutokea baada ya kero za muda mrefu kulundikana. Hizi ni hasira zilizojengwa na huo uongozi wa kanisa kwa muda mrefu na kuna uwezakano kuna mambo mengi sana yamejilundika ndiyo yakalipua hasira.
 
Back
Top Bottom