Somo la 'Historia ya Tanzania' alilotaka Magufuli lasitishwa

Awamu ya Tano ingetuharibia sana Elimu yetu. Kwakweli tulikuwa tunaenda kufanya nchi ya Wagagagigikoko
 
Magufuli alikuwa ni kichaa alyepewa rungu. Hii inaonyesha kuwa katika watu million 60, yeye tu ndiye alikuwa tofauti. Mtu mmoja tu alikuwa anatuendesha watu mil 60 kwa mawazo yake ya kijinga.
Hayati Magufuli naona kaangukia pua tena

Somo la historia ya Tanzania lasitishwa

Katibu mkuu wizara ya elimu amesema syllabus hiyo imesitishwa haraka na haitafundishwa kokote.

Source ITV news

==============

Waziri wa elimu Prof. Ndalichako amesitisha maboresho ya mtaala wa somo historia ambao ulianzishwa na Magufuli. Mtaala huo wa somo la historia ungeanzisha kufundisha somo la historia kwa kiswahili tangu madarasa ya awali hadi chuo kikuu. Waziri Ndalichako ameagiza kuendelea kutumia mtaala wa zamani hadi mtaala mpya utakapoandaliwa kwa kushirikisha wadau.

Source: ITV

Sijui Magufuli anajisikiaje huko aliko kwa sababu maagizo yake yanatupiliwa mbali kila kukicha!
 
NIMEAMINI WAFUASI WA JF ni mambumbumbu, nilujuaga humu wengi ni watu wanaojitambua ama watu wanaojielewa ma great thinkers, kumbe maboya na mapumbv, yaan ktk koment karbia 200 hakuna mtu hata mmoja aliejarbu kuonesha umuhim wa somo la history, hiv humu kuna wasomi kwel??? ama nyote ni wale lasaba failure ambao bado hawajajua vzr umuhim wa elimy, ama ni chuki za kisiasa znawafanya muchukie kila jambo hata lililofanywa kwa faida za watoto zenu, mnaleta siasa, kwanzia leo sitowahi waita great thinkers kwenye hili jukwaa la siasa, maana wote mnaonesha udhaifu, na ndyo ninyi mnaopigia kelele katiba mpya na wakat hamtaki marekebisho ya somo la history, maana hii ya sasa ni uongo mwingi sana umejaa, hiyo katiba haina umuhimu, maana hata umuhimu wa historia yenu hamuitak, ...UPINZAN WA TZ NI OVYO KABISA, ..simply nitawapa short stories za mambo ambayo ni makubwa na hayajaandikwa ktk hivyo vitabu ama takataka mnazoita history iliyokamilika
,Hiv mnajua kuwa Tz kulkuwako na wanyama wakubw walioishi hapa hapa east afrika ama Tz? , hiv mnajuwa kuwa the origin black Israelites were living in Tz?, hiv mnajuwa kuwa mnara mrefu(pyramid) ilijengwa east afrika na wana dini wanaita mnara wa babeli, huu ulijengwa hapa hapa east afrika kwa malengo ya kufungua mlango wa kuingia ktk dimension nyingne ya maisha kwa lengo la kwenda kuonana na Nguvu ya asiri inayo control dunia nzima,,hiv mnajuwa kuwa uko iringa kuna mabaki ya waisrel weusi ambao walipamban vita na mkolon kutetea rasilimali zisipolwe? jiulize, wale mnaowabariki uko palestina ikawaje historia yao ionekane mapangoni hapa Tz tena iringa? japo vitabu vya dini vinaeleza tofaut? jibu unalipata simple tuu baada ya mzungu kuja afrika na kuitawala aliarbu kila kitu, kuanzia elimu yetu, na kuwaletea colonia education inayowataka kujaza takataka , kichwan zisizo na msingi,.swal lingine, je mnajuwa kuwa swahil language was the among of tje best language toka ktk ile lugha ya mtu wa mwanzo? i mean watu wakale kabla hata hizo takataka za kiarabu, kigiriki,kiebrania azijatokea?, mnajua kuwa elimu ya nyota, na ugunduz wa sayar zile9 ikiwepo na solar system zmevumbuliwa hapa hapa afrika?? lkn hamjifunz haya, bado nawauliza mnajuwa kuwa umeme umetumika zaman kabla hata mzungu hajajua kuvaa chupi?,
bado naendelea, mnajuwa kuwa ndege vyombo vya angan vimeshatumika sana afrika b.c ??, mnajuwa kuwa ktk historia ya afrika aliwai kuzaliwa jemedari mwenye uungu na alizaliwa bila baba, yaani alitoka ktk uzao wa mama tu, na huyu alifanya ukomboz kwa waafrika kipindi hiko, alikuwa na nguvu za miujiza, ikiwepo uponyaji na kipawa cha kufundisha, huyu aliuwawa na hao hao waliowaandikia vitabu vya kikolon, wakaiba historia yake na kutunga vitabu vya iman na kumuita yesu ktk biblia na ktk quran akaitwa issa bin marium,,
hiv mnajuwa kuwa ramani ya dunia nzima ipo hapa hapa afrika? na ilichorwa na muafrika kabla hata mzungu hajajua kuvaa chupi, jiulize ni technology gani ilitumika, pia kuna historia ya mabara kugawanyika, hii wanasayans wameeleza uongo mkubwa hawataj sabbu ni nini, na ilianzia wapi, hii sabbu ya mabara kugawanyika ilianzia hapa hapa east afrika, ama babiloni ya kale,..hiv mnajuwa kuwa kibantu ikiwepo kiswahili ndyo ilkuwa lugha ya mtu wa mwanzo kabisa?? yaan lugha kongwe kupita zote, ushahidi upo,
Hiv mnajuwa kuwa viongoz wa afrika ktk jamii, historia imepotosha vyeo vyao kwa kuwapa majina ya vyeo vya chini sana , mfano kumuita kiongoz wa kabila kubwa kwa kumuita chief ilo ni kosa kubwaa sana, kiongoz wa jamii yeyote ile alitakiwa kuitw King na si vinginevyo, haya yote , hamuyajui, alafu mmekazana kuleta siasa kwenye uhalisia, watanzia ukolon bado unawatafuna, yaan utumwa wa akili bado umewakamata mnashindwa kujitambua, jitu lnafikia hatua ya kusema eti historia inamsaidia nn mtu wa kawaida, hiv hii ni akili au upumbv??? watu kama hawa ndyo tuwape nchi watuongoze si watatuuza, mbwa hawa,, kuna meengi yakueleza, inshort kwa serkali hii HAKUNA MWENYE UCHUNGU NA MAISH YA MTANZANIA, WOTE NI WAUZA SURA NA WATETEA MATUMBO YAO,View attachment 1834159
Hakuna aliyekataa historia, wengi tulipinga kile kilichoitwa watoto kufundishwa somo la historia ya Tanzania kuanzia shule msingi na iwe compulsory, historia siyo lazima MTU akae darasani wewe andika vitabu vya historia watu watakaohitaji watasoma Tu, ni mambo mangapi umeyasoma ambayo haukuwahi kufundishwa darasani? Historia ya Tanzania itamsaidia nini MTU Katika Maisha ya kila siku.
Wale wanaojiita wazalendo ndo mafisadi wakubwa WA nchi hii. Wanafundisha maji huku wao wanakunywa mvinyo. Mfano ni akina Sabaya, kila siku walihubiri uzalendo huku wakihujumu huo uzalendo wenyewe
 
Katika masuala niliyomuunga mkono Magufuli na hili la ulazima wa somo la Historia kwa ngazi zote Tena kwa Kiswahili!!hapa nilimfananisha na Osagiefo kwame nkrumah kabisa🤔

Kama hujui ulikotoka, utajuaje unakokwenda?!!
Wasomi uchwara tu ndiyo hawawezi kufahamu umuhimu wa HISTORIA
Utumwa hautatuacha kwa kuwa tunadharau historia yetu.
 
Mw
Ningeshangaa sana kama huo utopolo ungepita,binafsi hata historia hii wanayofunsishwa wanafunzi mashuleni inachukua muda mwingi kufundishwa tena kwa kurudiwa rudiwa,mfano historia ya o_level na advance utofauti ni mdogo sana,somo hili lingewekewa ukomo wa level,mathalani form four inakua mwisho wa kusoma historia vinginevyo mhusika aamue kujiendeleza kwenye fani itakayohusika na somo la historia.
Tunawapotezea muda watoto kwa masomo mzigo ambayo kwa dunia ya sasa akiwa mtaani hayamsaidii kupambana na changamoto za maisha baada ya shule kuisha,habari za mjerumani na mwarabu kutesa babu zetu hazina impact mtaani,ni heri masomo kama kilimo,ufundi na sanaa yakatiliwa mkazo kuanzia level za chini kabisa kwani yanamwandaa mhitimu kujiajiri baada ya maisha ya shule,inashangaza kuona vijijini ambako kilimo ndio kila kitu,99% ya wakazi ni wakulima ila wanafunzi hawasomi juu ya kilimo,tungefundisha kilimo kwenye shule zetu za kata hata wazee wangeipata elimu hiyo kupitia kwa watoto wao kwani ni ukweli usiopingika watoto hawa huambatana na wazazi inapofika miezi ya kilimo( kabla ya masika na baada ya masika),tumekifanya kilimo kisomwe kuanzia level ya chuo tu
Elimu yetu inahitaji reform,curriculum developers na wadau wanapaswa kuketi na kuja na mtaala utakaokua suluhu kulingana na dunia tuliyopo,elimu ilenge kumpa mhitimu maarifa ya kujiajiri/kujitegemea,kuwa mvumbuzi na kutatua changamoto mbalimbali za jamii yake...
Mwanafunzi hatoweza kujua kukabiliana na mazingira ya Sasa kabla hajajua watangulizi wake waliwezaje kukabiliana na mazingira kipindi hicho?!!-huu ndo msaada wa historia kwenye maisha yetu!
Chief mkwawa alipigana kufa na kupona na Wajerumani ili alinde historia na tamaduni za wahehe,raisi Samia asipoifahamu Historia nakuapia atauza nchi kwa Wachina
 
Hakuna aliyekataa historia, wengi tulipinga kile kilichoitwa watoto kufundishwa somo la historia ya Tanzania kuanzia shule msingi na iwe compulsory, historia siyo lazima MTU akae darasani wewe andika vitabu vya historia watu watakaohitaji watasoma Tu, ni mambo mangapi umeyasoma ambayo haukuwahi kufundishwa darasani? Historia ya Tanzania itamsaidia nini MTU Katika Maisha ya kila siku.
Wale wanaojiita wazalendo ndo mafisadi wakubwa WA nchi hii. Wanafundisha maji huku wao wanakunywa mvinyo. Mfano ni akina Sabaya, kila siku walihubiri uzalendo huku wakihujumu huo uzalendo wenyewe
Mkuu unatumia historia bila wewe mwenyewe kufahamu?!!unajua ni kwann huwezi kumuoa Dada yako wa damu?!!
 
Mkuu unatumia historia bila wewe mwenyewe kufahamu?!!unajua ni kwann huwezi kumuoa Dada yako wa damu?!!
Uwezo wako umefikia hapo, dadangu hawezi kuwa historia kwangu Leo hii, na sihitaji kwenda darasani ili kutambua huyu ni dadangu.
Bado nasimama pale pale, wewe umeisoma historia ya Mkwawa nambie imekusaidia nini ktk Maisha ya kila siku? Siamini Katika kusoma historia Kwa lazima, iachwe atakayehitaji akasome mwenyewe, siyo watu wote tukawe ma-histori teller
 
Ukisoma ukaelewa anamaanisha nini kichwa ulichoandika ni potofu...waziri anamaanisha mchakato ukamilike kwanza kwa kushirikisha wadau
 
''Mheshiwa raisi SSH tunakusihi sana sana UJENGE TAASISI IMARA ya uraisi, hatutegemei katka karne hii ya 21 tuwe na mtawala anaetumia nguvu nyingi kama zile za Shakha Zulu'':D:D:D:DBwana yule hata wakatoliki wenzie walisha mchoka.
 
Hayati Magufuli naona kaangukia pua tena

Somo la historia ya Tanzania lasitishwa

Katibu mkuu wizara ya elimu amesema syllabus hiyo imesitishwa haraka na haitafundishwa kokote.

Source ITV news

==============

Waziri wa elimu Prof. Ndalichako amesitisha maboresho ya mtaala wa somo historia ambao ulianzishwa na Magufuli. Mtaala huo wa somo la historia ungeanzisha kufundisha somo la historia kwa kiswahili tangu madarasa ya awali hadi chuo kikuu. Waziri Ndalichako ameagiza kuendelea kutumia mtaala wa zamani hadi mtaala mpya utakapoandaliwa kwa kushirikisha wadau.

Source: ITV

Sijui Magufuli anajisikiaje huko aliko kwa sababu maagizo yake yanatupiliwa mbali kila kukicha!
Kiranja wa malaika anapigwa kwelikweli,
 
Wizara ya Elimu inahitaji viongozi makini na wabunifu na si wa ndio Mzee.
 
Hayati Magufuli naona kaangukia pua tena

Somo la historia ya Tanzania lasitishwa

Katibu mkuu wizara ya elimu amesema syllabus hiyo imesitishwa haraka na haitafundishwa kokote.

Source ITV news

==============

Waziri wa elimu Prof. Ndalichako amesitisha maboresho ya mtaala wa somo historia ambao ulianzishwa na Magufuli. Mtaala huo wa somo la historia ungeanzisha kufundisha somo la historia kwa kiswahili tangu madarasa ya awali hadi chuo kikuu. Waziri Ndalichako ameagiza kuendelea kutumia mtaala wa zamani hadi mtaala mpya utakapoandaliwa kwa kushirikisha wadau.

Source: ITV

Sijui Magufuli anajisikiaje huko aliko kwa sababu maagizo yake yanatupiliwa mbali kila kukicha!
Noma sana
 
Back
Top Bottom