Somo la 'Historia ya Tanzania' alilotaka Magufuli lasitishwa

Jamaa alitaka wautengeneze mtaala wa kuharibu watoto akili wawaze kiporipori tu kwenye ulimwengu wa dunia ya utandawazi.

I hope wangefundisha pia namna ambavyo nchi ilizima mitandao wakati wa uchaguzi kisa kuogopa wapinzani na namna watubwaliokuwa wanatoa mawazo tofauti na bwana yule walivyokuwa wanapotea katika mazingira ya ajabu ikiwemo wengine kutekwa na kuuawa.
 
Dahh mwendazake alizingua kinoma, hadi historia ya wadanganyika nayo alikuwa mbioni kuichakachua?
Mungu kweli fundi
 
Back
Top Bottom