Somalia kuna vocation marriage

Somalia kuna vocation marriage

IN SOMALIA ~100% NI WAISLAM AMBAO WANAAMINI KUKUTANA KIMWILI MWANAMKE NA MWANAUME NI ZANAA NA NI DHAMBI. WASOMALIA WANAOKAA NCHI ZA MAGHARIBI WA ADOPT TABIA ZA KIMAGHARIBI WANAPORUDI SOMALIA ILI WAKIDHI HAJA ZAO HULETA LAGHAI KWA NDOA ZA UNGO KISHA BADAE HUTELEKEZA WAKE ZAO NA KURUDI UGHAIBUNI. TOFAUTI NA TANZANIA AMBAPO ZINAA SI KITU SENSITIVE SANA KWA WATU WAKE. ILA KUNA IDADI KUBWA YA WANAWAKE WALIOTELEKEZWA TANZANIA HUENDA KULIKO HATA HUKO SOMALIA. MAANA SOMALIA NI MIONGONI MWA NCHI ZILIZO PIGWA BAN WANACHI WAKE KUINGIA MAREKANI HIVYO HUENDA IDADI YA WASOMALIA WAISHIO MAREKANI HAWAFIKII IDADI YA WANAUME WALIOTELEKEZA WANAWAKE WAO MKOA WA DAR PEKEE.
 
Kaka..... there is nothing similar to that in the holy Qur'an or in the teachings of the holy prophet (pbuh) it's mere fublications of the critics of islam.
If it is mere fabrications then why Muslims are adhering to these marriages called "nikah mut'ah" under the name of Allah!! Why the Sheikhs and Imams are allowing these marriages??
 
If it is mere fabrications then why Muslims are adhering to these marriages called "nikah mut'ah" under the name of Allah!! Why the Sheikhs and Imams are allowing these marriages??
YAANI HAPA MFANO, UKISOMA BIBLIA HAKUNA SEHEMU AMBAYO INARUHUSU USHOGA LAKINI KUNA MAKANISA YANARUHUSU USHOGA. HAPO HUWEZI KUSEMA UKRISTO NDIO UMEFUNDISHA ILA NI HULKA ZA WATU ILI KUKIDHI MATAKWA YAO
 
If it is mere fabrications then why Muslims are adhering to these marriages called "nikah mut'ah" under the name of Allah!! Why the Sheikhs and Imams are allowing these marriages??
Kaka...in islam we don't force any one to follow the true teachings of Allah...moreso there pple you call true Muslims but there just Muslim by names similar to Christians all don't practice true Christianity as it's taught in the holy bible...so don't be surprised to see the so called imams doing the opposite of islam.
 
So what's Allah?
Siwezi kukupa maana kamiri Ila niseme hivi Mungu wanaweza wakawa wengi ila "Allah" ni ahadi moja, very unique ana attributes au sifa 99, kwenye Qura'n kazisome uende utamuelewa zaidi,
 
Hakuna mwanadamu, mwanadamu ni hadithi tu.

Kwa sababu, wataalamu wenyewe wa hizo habari za Wayahudi kama Professor James L Kugel,wanaosomahizo habari za mwanzo wa "mwanadamu" na kuumbwa kwa huyo Adam, katika lugha ambayo hizo habari iliandikwa originally, bila kuchakachuliwana tafsiri lukuki, kwa uchambuzi uliopitia chekecheo za kuelewa tamaduni na historia za jamii ambaz
Imani ni kukubali kitu bila uthibitisho.

Unayeharibu uzi ni wewe unayekataa watu wanaochimba mzizi wa mabo.

Kama Mungu hayupo, hizi hadithi nyingine ni za watu tu na hiyo leseni ya "Mungu kasema" inaondolewa.

Tunajua watu wanataka mabikira kwa sababu ya ukware wao tu.

Sasa hapo inakuwaje habari ya Mungu kuwepo iwe kuharibu uzi?

Hususan kama tunaambiwa leseni ya hili jambo ni ya kidini, kama dininzima ni uongo, basi msingi mziama wa leseni ni wa uongo.

Sitaki kujadili matawi ya tatizo kama tunaweza kujadili mzizi wa tatizo.

Mzizi wa tatizo ni watu kuamini Mungu. Ambaye hayupo, wanamtumia kujifurahisha nyege zao za mabikira.

Na hili ni tatizokubwa katika Uislamu.

Hata magaidi wanaambiwa wajiue, wakienda mbinguni watapata mabikira.

Ingependeza mambo ya imani yakabaki kuwa ya kiimani.
 
Ingependeza mambo ya imani yakabaki kuwa ya kiimani.
Mambo ya imani ni yapi?

Mwanamme anapomuingizia dude lake mwanamke bikira kwa ndoa ya muda mfupi ikiyohalalishwa na mtume wa dini, hilo ni jambo la imani au si la imani?
 
Mambo ya imani ni yapi?

Mwanamme anapomuingizia dude lake mwanamke bikira kwa ndoa ya muda mfupi ikiyohalalishwa na mtume wa dini, hilo ni jambo la imani au si la imani?

Mie sipo huko, kama utakumbuka wakati unanikuu mwanzo niliandika sisumbuliwi na anachoamini mtu, alimradi sheria zisivunjwe.

Unapotaka samaki apae hewani kama ndege mwenye mabawa ndio tatizo linaanzia hapo. Ukiambiwa Mungu ni kwao waaminio inamaana kama hauamini haikuhusu, na sio kosa. Tatizo ni kutaka uthibitishiwe jambo la kiimani kwa unavyotaka wewe, kinyume na imani.

Hayo mengine kuhusu mabikra kunaweza kuwa na sababu kadha wa kadha zinazopelekea watu kufikia maamuzi ya kufanya hayo mambo ya ndoa za mkataba.
 
Mungu ni kwao waaminio lakini wasioamini wasipoamini wanahukumiwa?
 
Sema wasomali waarabu hata wazungu wamewafanyia hivyo sana hasa wadada wa kichaga wapenda pesa.Pia video yako ni ya kenya siyo somalia

Sky Eclat
 
Sema wasomali waarabu hata wazungu wamewafanyia hivyo sana hasa wadada wa kichaga wapenda pesa.Pia video yako ni ya kenya siyo somalia

Sky Eclat
Hao wanawake wamekumbilia Kenya baada ya kutengwa na familia zao Somalia na wamerekodiwa wakipatiwa misaada
 
Hapana,

Allah mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote angekuwepo, watu wasingekuwa na tofauti katika kumjua.

Kwa nini kuwe na tofauti katika kumjua ikiwa.

1. Ana uwezo wote wa kujiweka wazi kwa wote, uwezo si shida.

2. Ana ujuzi wote wa kujiweka wazi kwa wote, ujuzi si shida

3. Ana upendo wote wa kujiweka wazi kwawote, upendo si shida.

Sasa kwa nini huyo Allah hajajiweka wazi kwa wote kwa namna ambayo haitaleta mgawanyiko katika viumbe wake, si tu wa Shia na Sunni, bali pia wa Wakristo, Waislamu, Wa Buddha etc?

Kwa nini kuwepo tofauti kubwa sana katikakumuelewa huyu Mungu kamakweli yupo, ana uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote?

Moja kati ya neema ya Allah ni kila binaadamu akiwa na ufahamu wake, hatupo sawa sote katika masuala ya ufahamu. Vipi Allah ambae sio kiumbe ajiweke wazi mbele ya watu? Macho hayamfikii, tena ajiweke wazi vipi? Chochote ambacho unaweza kukiona basi huwa kina limit, sasa Allah hana limit huwezi kumuona.

Mbona Allah ameweka alama zake kuwa yupo ila ni ubishi wako tu? 😀 wewe ni dalili tosha kuwa muumbaji yupo. Na mpaka leo hujaleta uthibitisho wa binaadamu kuja mwenyewe duniani bila kuumbwa.

Jaribu kujenga hoja zenye maana.... Na narudia tena, huwezi kumfananisha Allah na chochote kile!
 
Back
Top Bottom