Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 85,758
- 145,532
Proof ni nini?HIYO SIO PROOF IN SCIENCE WE BELIEVE.
Proof ni nini?HIYO SIO PROOF IN SCIENCE WE BELIEVE.
Kwani wewe una credential kubisha uwepo wa Mungu? 😀 tena ukiwa upo limited.Hakuna mwanadamu, mwanadamu ni hadithi tu.
Kwa sababu, wataalamu wenyewe wa hizo habari za Wayahudi kama Professor James L Kugel,wanaosomahizo habari za mwanzo wa "mwanadamu" na kuumbwa kwa huyo Adam, katika lugha ambayo hizo habari iliandikwa originally, bila kuchakachuliwana tafsiri lukuki, kwa uchambuzi uliopitia chekecheo za kuelewa tamaduni na historia za jamii ambazohizi habari zimetokea, ambazo nijamii zao, sio zako wewe Mndengereko wa Rufiji, wanasema huyo Adam si mtu wakwanza na hizo habari zake nyingi sana ni hadithi tu ambazo hazikutokea katikaukweli.
Huyo ni Professor James L Kugel aliyefundisha mpaka Harvard hizi habari.
Wewe una credentials gani kubisha? Una mantikigani kubisha ikiwa hata huyo "mwanadamu" huwezi kum define?
Huo sio ushahidi wa kutokuwepo Allah! Huo ni ushahidi wa kuwepo kwa Allah, kwamba hakuna alie perfect zaidi yake. Hao watu wangekuwa wapo perfect wangekuwa waungu na waoAllah angekuwepo, kusingekuwa na mgawanyiko katika watu wake kuwa Sunni na Shia.
Wote wangemjua Allah sawa, bila mgawanyiko.
Kuwepo mgawanyiko huo ni ushahidi Allah ni hadithi tu, hayupo.
PROOF KAMA HAYO MANENO HUYO YA JAMAA KWENYE HUO UISLAM ALIYASEM. MAANA HUYO ALIYASEM HAYO PIA ALISEMA KUNA ALLAH AMBAYE HAIZEKANI KUMDHIBITISHA BY PROOFProof ni nini?
Ni kweli atawaislamu tunaamini hamna Mungu isipo kua "Allah" tu. Hiyo ndo "kilimah shahadah" ndo ufunguo wa kuingia uslamu
HAPA NDIO PALE UNAPONA WENZAKO WAJINGA HALAFU WAO WANAKUONA WEWE MPUMBAV MAANA KILA MWAMBA NGOMA........MAANA NA HATA WAO WANAONA HIYO INJILI YAKO NI USHENZIAina ya imani ya dini waliyonayo(Uislamu), umaskini na ujinga ukivichanganya pamoja unapata hayo mambo ya ndoa za muda mfupi. Tena dini yao inaruhusu huu uchafu unaoitwa ndoa za muda mfupi.
Matokeo yake wanazalisha kizazi cha magaidi na wajinga siku baada ya siku, kuna kazi kubwa sana ya kuhubiri INJILI dunia nzima ili watu waondokane na huu upumbavu. Kwenye INJILI hakuna ujinga kama huu wa Waislamu!
Katika uislamu hatuna ndoa yoyote ya mkataba....hizo nipandikizi za Ulaya na Marikani, Talaka yenyewe ni halali ila mtume kasema ndojambo halali linalo chukiza zaidi mbele ya allahUnajua kuna watu wanajifanya wana elimu na kujua mambo hali yakuwa ni watupu kichwani?
Maana hata kama tukijaalia hio habari ni kweli, basi pia ilikuwa ina masharti, na masharti hayo yakikamilika, mwanamke hawezi kulalamika kuwa katelekezwa.
Kwanza kunakuwa na makubaliano baina ya mme na mke kuwa wanafunga ndoa kwa muda gani, na vipi wanataka iwe. sasa kama umesema mfunge ndoa kwa miezi miwili, ikifika miezi miwili akikuacha, haki ya kulalamika unaitoa wapi?
Mi ningemshauri karanga atafute fani anayoiweza, maana mwenyewe ndio ameona ametoa hoja kumbe kioja!
Sikatai kama hawafungi ndoa, ni kweli wanafunga ndoa kabisa, lakini lengo la hizi ndoa ni kwa ajili ya kufanya NGONO tu basi! Ndoa hizi ni chafu maana baada ya Mwanaume kumaliza likizo yake ya NGONO na ndoa inaishia hapo. Tatizo ni imani ya dini potofu ndiyo inayochangia uchafu huu.Ninakubali kuwa hawapendi kufanya zinaa hivyo wanafunga ndoa kabisa. Tatizo ni hili la kutelekeza wake na watoto. A damu hakumuacha Hawa pamoja na yote aliyoyafanya. Any way hili tatizo limejitokeza na limekuwa highlited ndiyo maana nimeliweka hapa.
Ni kweli kabisa mkuu.Sikatai kama hawafungi ndoa, ni kweli wanafunga ndoa kabisa, lakini lengo la hizi ndoa ni kwa ajili ya kufanya NGONO tu basi! Ndoa hizi ni chafu maana baada ya Mwanaume kumaliza likizo yake ya NGONO na ndoa inaishia hapo. Tatizo ni imani ya dini potofu ndiyo inayochangia uchafu huu.
MUNGU aliweka ndoa duniani ili ndoa iwe ni kitu cha kudumu kwa maisha yote ya wanandoa husika. Lengo la MUNGU kuweka ndoa siyo ili watu wafanye ngono na kujiburudisha miili yao kwa muda mfupi kisha waachane, hapana, lengo la ndoa ni kuanzisha familia kwa kuzaa watoto na kuwalea pamoja(baba na mama) katika misingi na maagizo ya MUNGU.
Duh, nimekwambia habari za mtu mwenye credentials unaniuliza mimi tena credentials?Kwani wewe una credential kubisha uwepo wa Mungu? 😀 tena ukiwa upo limited.
Enhe, tuendelee, kwaio wewe unakuwa nani kama sio Human au Binaadamu kwa kiswahili?
Hapana,Huo sio ushahidi wa kutokuwepo Allah! Huo ni ushahidi wa kuwepo kwa Allah, kwamba hakuna alie perfect zaidi yake. Hao watu wangekuwa wapo perfect wangekuwa waungu na wao
Mkuu hata ukikasirika mimi huwa sijali, siku zote huwa nasema kile kilicho kweli bila kumung'unya maneno. Imani ya Dini ya Kiislamu ni tatizo sana kwa jamii hapa duniani.HAPA NDIO PALE UNAPONA WENZAKO WAJINGA HALAFU WAO WANAKUONA WEWE MPUMBAV MAANA KILA MWAMBA NGOMA........
Do you mean "prove" ?PROOF KAMA HAYO MANENO HUYO YA JAMAA KWENYE HUO UISLAM ALIYASEM. MAANA HUYO ALIYASEM HAYO PIA ALISEMA KUNA ALLAH AMBAYE HAIZEKANI KUMDHIBITISHA BY PROOF
Imani ni kukubali kitu bila uthibitisho.Imani ni nini?
Tusiharibu uzi wa watu wa mabikra.
Unacho sema nikweli wanawake wengi wanatelekezwa sio somalia tu, hapa kwetu wanawake wanao zalishwa nakuaachwa ni wangapi? kati ya wanawake watatu hapa Tz wa wili ni "single mother" tafouti eliopo ni kwamba hao wanatoka Dar nakutafuta vibint vya mikoani au wenye shida na ndoa au na pesa wanarubuniwa nakuzalishwa kisha wanaachwa hata bila ndoa. Angalau wa somali wanafunga ndoa lakini hapa tuna zini tu.Ninakubali kuwa hawapendi kufanya zinaa hivyo wanafunga ndoa kabisa. Tatizo ni hili la kutelekeza wake na watoto. A damu hakumuacha Hawa pamoja na yote aliyoyafanya. Any way hili tatizo limejitokeza na limekuwa highlited ndiyo maana nimeliweka hapa.
YAANI HAPO NAKUUNGA MKONO 100%Mkuu hata ukikasirika mimi huwa sijali, siku zote huwa nasema kile kilicho kweli bila kumung'unya maneno. Imani ya Dini ya Kiislamu ni tatizo sana kwa jamii hapa duniani.
Kwenye Ukristo hata siku moja huwezi kukuta huu uchafu wa ndoa za muda mfupi zikikubaliwa kwenye Biblia. Lakini ukienda kwenye Quaran utakuta kuna aya zinaruhusu huu uchafu wa ndoa za muda mfupi(Nikah mut'ah). Matokeo yake ni kuleta mateso hasa kwa watoto wanaozaliwa kwenye ndoa hizi. Kamwe huo siyo mpango wa BWANA MUNGU, ndoa hizi za muda za kujiburudisha "nikah mut'ah" ni mpango wa Lusiferi Ibilisi.
Hapana mkuu "Allah" imanishe Mungu kwa kiarabu fanya utafiti plzAllah ni kwa kiarabu
Mungu ni kwa kiswahili
God ni kwa Kiingereza.
Unataka kuniambia tuache kumuita kwa lugha zetu tumuite kwa iarabu!!!!???
Kaka..... there is nothing similar to that in the holy Qur'an or in the teachings of the holy prophet (pbuh) it's mere fublications of the critics of islam.Mkuu hata ukikasirika mimi huwa sijali, siku zote huwa nasema kile kilicho kweli bila kumung'unya maneno. Imani ya Dini ya Kiislamu ni tatizo sana kwa jamii hapa duniani.
Kwenye Ukristo hata siku moja huwezi kukuta huu uchafu wa ndoa za muda mfupi zikikubaliwa kwenye Biblia. Lakini ukienda kwenye Quaran utakuta kuna aya zinaruhusu huu uchafu wa ndoa za muda mfupi(Nikah mut'ah). Matokeo yake ni kuleta mateso hasa kwa watoto wanaozaliwa kwenye ndoa hizi. Kamwe huo siyo mpango wa BWANA MUNGU, ndoa hizi za muda za kujiburudisha "nikah mut'ah" ni mpango wa Lusiferi Ibilisi.