Somalia kuna vocation marriage

Somalia kuna vocation marriage

Duh, nimekwambia habari za mtu mwenye credentials unaniuliza mimi tena credentials?

Human ni binadamu? Nimekwambia binadamu ni hadithi, umeelewahilo?

Nimekuuliza unipe definition ya huyo unayemuita binadamu, umeshindwa!
Ndio Human ni binaadamu, tafuti kamusi ujifunze karanga! 😀 😀 😀 usijibabaishe... Lete proof basi kama wewe ungeweza kuja Ulimwenguni bila kuwepo yai na sperm 😀
 
Katika uislamu hatuna ndoa yoyote ya mkataba....hizo nipandikizi za Ulaya na Marikani, Talaka yenyewe ni halali ila mtume kasema ndojambo halali linalo chukiza zaidi mbele ya allah
Ndio maana nkasema "TUKIJAALIA KUWA KWELI" basi still hana hoja bado
 
Moja kati ya neema ya Allah ni kila binaadamu akiwa na ufahamu wake, hatupo sawa sote katika masuala ya ufahamu. Vipi Allah ambae sio kiumbe ajiweke wazi mbele ya watu? Macho hayamfikii, tena ajiweke wazi vipi? Chochote ambacho unaweza kukiona basi huwa kina limit, sasa Allah hana limit huwezi kumuona.

Mbona Allah ameweka alama zake kuwa yupo ila ni ubishi wako tu? 😀 wewe ni dalili tosha kuwa muumbaji yupo. Na mpaka leo hujaleta uthibitisho wa binaadamu kuja mwenyewe duniani bila kuumbwa.

Jaribu kujenga hoja zenye maana.... Na narudia tena, huwezi kumfananisha Allah na chochote kile!
Thibitisha Allah yupo na si hadithi za uongo tu.
 
Ndio Human ni binaadamu, tafuti kamusi ujifunze karanga! 😀😀😀 usijibabaishe... Lete proof basi kama wewe ungeweza kuja Ulimwenguni bila kuwepo yai na sperm 😀
Thibitisha Allah yupo kweli na si hadithi za kutungwa na watu tu.
 
Thibitisha Allah yupo na si hadithi za uongo tu.
Hadithi gani nimekuletea? Kuwa wewe umeumbwa ni hadithi? 😀 Mbona mpaka leo hujawahi kuthibitisha kuwa wewe unaweza kutokea from nothingness to something?

Unataka ujibiwe kitu ambacho ushajibiwa long time ago? kuwa Anything complex must have a creator, in fact, Anything must have a creator! sasa kama wewe unabisha hilo, tuoneshe mfano.

Anaetumia hadithi za uongo ni wewe! mimi nimeongea kitu Fact! wewe unaongea theory, which you cant prove!

WanaJF wanakusubiri utuoneshe something coming out of nothingness on its own! 🙂
 
Hujathibitisha kwamba Allah yupo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hujathibitisha kwamba Allah yupo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Huwezi kuthibitisha kuwa hayupo ikiwa huwezi kutwambia human origin!

Siku zote nikikuona unapinga uwepo wa Mungu nilifikiri unamaelezo ya ktetea msimamo wako, kumbe bogus. Unaishia kusema Humans ni story tu. Unafikiri kila kitu ni hadithi kama hadithi zenu mnazoshindwa kuprove?

Thibitisha kama wewe unaweza kutokea from nothingness basi, naona unapotezea watu muda tu.

Mungu yupo na wewe ndio ushahidi wa yeye kuwepo, kama unapinga hilo tolea maelezo basi, ya nini unakimbia kimbia?

Thibitisha kama Hakuna Muumbaji na ulimwengu umejileta wenyewe.
 
Huwezi kuthibitisha kuwa hayupo ikiwa huwezi kutwambia human origin!.

Hapana, hapo unachosema ni kwamba "huwezi kuthibitisha square root ya 2 si 10 ikiwa huwezi kuthibitisha square root ya 2 ni nini"

Huhitaji kujua jibu sahihi ili kujua jibu fulani si sahihi.

Hii ndiyo sababu, katika kutafuta jibu sahihi, kuna method inaitwa "elimination method" ya kuondoa majibu yasiyo sahihi kabla ya kufika kwenye jibu sahihi.

Kama unajua kwamba square root ya 2 ni ndoogo kuliko 2, halafu mtu akakwambia square root ya 2 ni 10, utajua hilo jibu si sahihi hata kabla hujajua jibu sahihi ni lipi
Siku zote nikikuona unapinga uwepo wa Mungu nilifikiri unamaelezo ya ktetea msimamo wako, kumbe bogus. Unaishia kusema Humans ni story tu. Unafikiri kila kitu ni hadithi kama hadithi zenu mnazoshindwa kuprove?.
Msimamo wangu ni upi? Nimeshidwa vipi kuutetea? Mbona hunyambulishi mambo? Unaelewa hata ninachoandika?

Thibitisha kama wewe unaweza kutokea from nothingness basi, naona unapotezea watu muda tu..

Wwapi nimesema mimi nimetokea kwenye nothingness? Nothingness ni nini? Kwa nini unafanya kosa la kimantiki la kuhitimisha kwamba anayesema Mungu hayupo automatically anamaanisha tumetokea kwenye nothingness?

This is a logical non sequitur. Unaelewa hicho ni nini?

Mungu yupo na wewe ndio ushahidi wa yeye kuwepo, kama unapinga hilo tolea maelezo basi, ya nini unakimbia kimbia?.

Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote angekuwepo, asingeumba kiumbe dhaifu anayeumwa na kufa kama mimi. Mimi kuweza kuumwa na kufa ni uthibitisho kwamba Mungu huyo hayupo.

Thibitisha kama Hakuna Muumbaji na ulimwengu umejileta wenyewe.

Wwapi nimesema nimejileta mwenyewe? Mbona unakuwa dhaifu sana katika kufikiria kimantiki?

Tuko sehemu, unasema tumefika pale kwa kuletwa na dereva A, nakwambia dereva A hayupo, kwa sababu dhana ya kuwepo kwake inajipinga yenyewe.

Unanipinga kwa kuniambia nithibitishe kwamba nimejileta mwenyewe.

Hata hujaelewa kwamba ninachokuambia si sawa na kukuambia nimejileta mwenyewe.

Kama huwezi kuelewa hilo, hata nikikuthibitishia Mungu yupo, uthibitisho huo utaweza kuuelewa?
 
Hapana, hapo unachosema ni kwamba "huwezi kuthibitisha square root ya 2 si 10 ikiwa huwezi kuthibitisha square root ya 2 ni nini"

Huhitaji kujua jibu sahihi ili kujua jibu fulani si sahihi.

Hii ndiyo sababu, katika kutafuta jibu sahihi, kuna method inaitwa "elimination method" ya kuondoa majibu yasiyo sahihi kabla ya kufika kwenye jibu sahihi.

Kama unajua kwamba square root ya 2 ni ndoogo kuliko 2, halafu mtu akakwambia square root ya 2 ni 10, utajua hilo jibu si sahihi hata kabla hujajua jibu sahihi ni lipi
Thibitisha kama Hakuna Muumbaji na ulimwengu umejileta wenyewe.
 
Thibitisha kama Hakuna Muumbaji na ulimwengu umejileta wenyewe.
Unaelewa kwamba unaniambia nithibitishe kitu ambacho sijawahi kusema?

Unaelewa kwamba wewe hujui kufikiri kimantiki na hujui kusoma kwa ufahamu?

Unaelewa kwamba unalazimisha nithibitishe hoja ambayo mimi sijawahi kuitaja?
 
Kwaio there is a creator of the universe?
 
Hili hitimisho kutoka hoja zangu nalo linaweza kufikiwa na mtu asiyefikiria kimantiki tu.

Huwezi kufikiri kimantiki.

Huwezi.

Una ugonjwa wa "logical non sequitur".

Huwezi kuunganisha hoja moja na nyingine bila kuiharibu kwa kuongeza hoja yako ya tatu ambayo haina muunganiko wowote na mbili zilizopo.

Logical non sequitur

https://www.logicallyfallacious.com/tools/lp/Bo/LogicalFallacies/136/Non-Sequitur

Non Sequitur

(also known as: derailment, “that does not follow”, irrelevant reason, invalid inference, non-support, argument by scenario [form of], false premise [form of], questionable premise [form of], non-sequitur)

Description: When the conclusion does not follow from the premises. In more informal reasoning, it can be when what is presented as evidence or reason is irrelevant or adds very little support to the conclusion.

Logical Form:
Claim A is made.
Evidence is presented for claim A.
Therefore, claim C is true.

Example #1:
People generally like to walk on the beach. Beaches have sand. Therefore, having sand floors in homes would be a great idea!

Explanation: As cool as the idea of sand floors might sound, the conclusion does not follow from the premises. The fact that people generally like to walk on sand does not mean that they want sand in their homes, just like because people generally like to swim, they shouldn’t flood their houses.

Example #2:
Buddy Burger has the greatest food in town. Buddy Burger was voted #1 by the local paper. Therefore, Phil, the owner of Buddy Burger, should run for president of the United States.

Explanation: I bet Phil makes one heck of a burger, but it does not follow that he should be president.

Exception: There really are no exceptions to this rule. Any good argument must have a conclusion that follows from the premises.

Tip: One of the best ways to expose non sequiturs is by constructing a valid analogy that exposes the absurdity in the argument.

Variations: There are many forms of non sequiturs including argument by scenario, where an irrelevant scenario is given in an attempt to support the conclusion. Other forms use different rhetorical devices that are irrelevant to the conclusion.
False or questionable premises could be seen as errors in facts, but they can also lead to the conclusion not following, so just keep that in mind, as well.
References:

Hyslop, J. H. (1892). The Elements of Logic, Theoretical and Practical. C. Scribner’s Sons.
 
Nimekuuliza swali tu, umeenda kucopy page nzima na kuipaste hapa...

Unapokataa uwepo wa Mungu, bila shaka pia unaamini ulimwengu umekuja wenyewe tu na viumbe vyote hai na visivyo hai vitakuwa havina muumbaji, na kwamba vimekuja wenyewe.

Kama huamini uwepo wa Mungu, bila shaka unaamini ulimwengu umekuja wenyewe pamoja na vilivyomo ndani yake.

Umekuja kujititimua kama ifuatavyo;

Unaelewa kwamba unaniambia nithibitishe kitu ambacho sijawahi kusema? - Umesema hakuna Mungu

Unaelewa kwamba wewe hujui kufikiri kimantiki na hujui kusoma kwa ufahamu? - Wewe ndio hujui kufikiri kimantiki

Unaelewa kwamba unalazimisha nithibitishe hoja ambayo mimi sijawahi kuitaja? - Je, hukatai uwepo wa Mungu? Je kama hakuna Muumbaji manake si itakuwa kila kitu ulimwengu kimekuja wenyewe tu? je hii haikuwa misimamo yako?

Tupe msimamo wako kwa kujibu swali dogo tu.

Ulimwengu unamuumbaji au hauna muumbaji?
 
Nimekuuliza swali tu, umeenda kucopy page nzima na kuipaste hapa...

Kwaio, there is a creator of the universe?

Swali lako limetokana na ufinyu wa mawazo kwamba cause and effect is essential, it is not.
 
Kama hujui ni heri usichangie kuliko kukashifu dini za watu.....usiongee vitu visivyo Na uhakika ukafikir utapata sifa hivyo ni kujishusha status yako....hakuna aliye kutukana Wala kukashifu dini yako Ila umejisikia tu kwasababu unachuki binafsi

Ni ushauri tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Dini ya Kisslamu ilishaanza kujikashifu yenyewe miaka mingi kabla mimi sijazaliwa, kwenye Quran.

Kwa kusema kwamba Allah atawaziba watu macho, masikio na kufanya mioyo yao iwe mizito wasimjue.

Na kwamba hawa hata msihangaike nao.

Halafu hao aliowazuia wasimjue, wasipomjua, atawahukumu vibaya sana kwa kutomjua.

Sasa huyo Mungu anayezuia watu wasimjue, halafu anawahukumu kwa sababu hawakumjua, unaamini yupo kweli?
 
Bado hoja yako nyepesi....

Allah atakuepeleka kule utakapo mwenyewe, hata wahenga walisema, mtoto akililia wembe mpe.
Baada ya ushuhuda wote na dalili zote za uwepo wake, umeamua kutoamini, ndipo na yeye anakufumba macho na masikio, kwa sababu umechagua ivo, tena vipi unamlaumu Allah kwa ujinga wako mwenyewe? amekuletea kila dalili na wewe ukiwa unajua kuwa kweli lakini umeamua kupinga?

Yani ukija kwenye Quran, ndio utafeli asilimia 100. Kwenye post zangu zote sijatumia Quran kuwa reference kwa sababu huko ningekumaliza kwenye dakika sifuri tu.

Tuambie, kama hakuna Mungu ulimwengu ulikujaje?
 
Ndiomana ni kasema kama hujui kitu Huna uhakika ni heri ukae kimnya Na kama kuNa mtu kakusomea hiyo Quran hakukupa maana ya hiyo Aya vizur

Pole sana mi nakusamehe kwasababu hujui unacho kifanya Na siwez kubishana Na wewe unaonwsha dhahir una chuki binafsi Pole sana nguvu

Nikisema Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote hayupo kwa sababu kimantiki dhana ya kuwepo kwake inajipinga yenyewe, unaelewa nasema nini?
 
Ndiomana ni kasema kama hujui kitu Huna uhakika ni heri ukae kimnya Na kama kuNa mtu kakusomea hiyo Quran hakukupa maana ya hiyo Aya vizur

Pole sana mi nakusamehe kwasababu hujui unacho kifanya Na siwez kubishana Na wewe unaonwsha dhahir una chuki binafsi Pole sana nguvu

Sent using Jamii Forums mobile app
Hujathibitisha Allah yupo, hujaeleza inakuwaje Allah mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote anawaziba watu mioyo masikio na macho wasimjue, halafu anawahukumu kwa kutomjua.
 
Back
Top Bottom