Somalia kuna vocation marriage

Somalia kuna vocation marriage

Ahahahah... kwa sababu hujibu masuali how can you discuss anything with anyone. Ukiulizwa hujibu unakimbia! You are an empty head... its a waste of time discussing anything with you if you cant even try to defend it!
Wewe umeshindwa kutoa definitions za kuendeleza mjadala, unaongeleamwanadamu alivyoanza,unaulizwa tuache mwanadamu alivyoanza, mwanadamu leo ni nani? Na unamjuaje huyu ni mwanadamu? Unakimbia swali.

Huwezi kujibu mwanadamu wa leo ni nani, unataka kujishaua kujadili mwanadamu alivyoanza?
 
Hii mambo ya Mungu sijui yupo au hayupo yamebeba mjadala mzima wa huu uzi. Mbona rahisi tu, anaeamini yupo aendelee na msimamo wake, asiyeamini nae aachiwe uhuru wake.
Au kuna mmoja anamtegemea mwingine kuendesha maisha?

Hapa nilitaraji tuambiane faida za kutembea na mabinti bikira, kitu gani kinapelekea watu wawasakame? Hata baadhi ya matajiri hupenda watafutiwe mabinti bikra wajifurahishe nao.
Sitakikuamini, nataka kujua.

Kuaminihata ukiaminimavi yako niMungu unaruhusiwa, nihaki yako ya kikatiba.

Mradi usituambukize kipindupindu tu.
 
Wewe umeshindwa kutoa definitions za kuendeleza mjadala, unaongeleamwanadamu alivyoanza,unaulizwa tuache mwanadamu alivyoanza, mwanadamu leo ni nani? Na unamjuaje huyu ni mwanadamu? Unakimbia swali.

Huwezi kujibu mwanadamu wa leo ni nani, unataka kujishaua kujadili mwanadamu alivyoanza?
Jibu mwanadamu amekujaje ulimwenguni. Hakuna haja ya kuzunguka mbuyu..... usitake kuleta upuuzi wa pembe tatu... kumbuka mijadala ilopita nlikwambia wapi tunafikia, na hatima yake tukafikia pale pale pembe tatu, wakati ungeweza kwenda straight on your point.

DONT WASTE OUR TIME, Tell us how a human came into existence without being created! Mtu kama hajui binaadam ni nani au simba ni nani atasoma baadae, in the mean time, jibu ulichoulizwa straight forward. Hizo mambo za Socratic ni babaisha toto.

Nikikuuliza simba na yanga nganp ngap wakati unasema matokeo unayajua, usiniuliza Yanga ndo nini? Yanga imeanzishwa mwaka gani?... toa majibu tu!
 
Mwanadamu ni nani? Utajuaje huyu mwanadamu na huyu si mwanadamu? Unanijibu mwanadamu amekuwaje ulimwenguni wakati huwezi kunieleza mwanadamu ni nani na utajuaje huyu ni mwanadamu na huyu si mwanadamu?
 
We unamjua mwanadamu au humjui?
 
Wasomali wanaotoka Ulaya na Marekani wakienda likizo kwao huoa wasichana bikra na baada ya likizo huwatelekeza na kurudi kwa wake zao huko watokako.
Weka uthubitisho vinginevyo na wewe utuambie nani katoa bikra yako na jee mkikutana utampa papuchi???
 
Mkuu: Habari za kupotea.

Hiyo si kweli, hizo ni itikadi za ki-Shia. Mtume Muhammad (SAW)hajabariki kitu kinacho itwa Mut'ah.
Usidanganyike na dhana hiyo.
Unajua kuna watu wanajifanya wana elimu na kujua mambo hali yakuwa ni watupu kichwani?

Maana hata kama tukijaalia hio habari ni kweli, basi pia ilikuwa ina masharti, na masharti hayo yakikamilika, mwanamke hawezi kulalamika kuwa katelekezwa.

Kwanza kunakuwa na makubaliano baina ya mme na mke kuwa wanafunga ndoa kwa muda gani, na vipi wanataka iwe. sasa kama umesema mfunge ndoa kwa miezi miwili, ikifika miezi miwili akikuacha, haki ya kulalamika unaitoa wapi?

Mi ningemshauri karanga atafute fani anayoiweza, maana mwenyewe ndio ameona ametoa hoja kumbe kioja!
 
We unamjua mwanadamu au humjui?
Hakuna mwanadamu, mwanadamu ni hadithi tu.

Kwa sababu, wataalamu wenyewe wa hizo habari za Wayahudi kama Professor James L Kugel,wanaosomahizo habari za mwanzo wa "mwanadamu" na kuumbwa kwa huyo Adam, katika lugha ambayo hizo habari iliandikwa originally, bila kuchakachuliwana tafsiri lukuki, kwa uchambuzi uliopitia chekecheo za kuelewa tamaduni na historia za jamii ambazohizi habari zimetokea, ambazo nijamii zao, sio zako wewe Mndengereko wa Rufiji, wanasema huyo Adam si mtu wakwanza na hizo habari zake nyingi sana ni hadithi tu ambazo hazikutokea katikaukweli.

Huyo ni Professor James L Kugel aliyefundisha mpaka Harvard hizi habari.

Wewe una credentials gani kubisha? Una mantikigani kubisha ikiwa hata huyo "mwanadamu" huwezi kum define?
 
Mkuu: Habari za kupotea.

Hiyo si kweli, hizo ni itikadi za ki-Shia. Mtume Muhammad (SAW)hajabariki kitu kinacho itwa Mut'ah.
Usidanganyike na dhana hiyo.
Allah angekuwepo, kusingekuwa na mgawanyiko katika watu wake kuwa Sunni na Shia.

Wote wangemjua Allah sawa, bila mgawanyiko.

Kuwepo mgawanyiko huo ni ushahidi Allah ni hadithi tu, hayupo.
 
Wasomali wanaotoka Ulaya na Marekani wakienda likizo kwao huoa wasichana bikra na baada ya likizo huwatelekeza na kurudi kwa wake zao huko watokako.
Aina ya imani ya dini waliyonayo(Uislamu), umaskini na ujinga ukivichanganya pamoja unapata hayo mambo ya ndoa za muda mfupi. Tena dini yao inaruhusu huu uchafu unaoitwa ndoa za muda mfupi.

Matokeo yake wanazalisha kizazi cha magaidi na wajinga siku baada ya siku, kuna kazi kubwa sana ya kuhubiri INJILI dunia nzima ili watu waondokane na huu upumbavu. Kwenye INJILI hakuna ujinga kama huu wa Waislamu!
 
Ninakubali kuwa hawapendi kufanya zinaa hivyo wanafunga ndoa kabisa. Tatizo ni hili la kutelekeza wake na watoto. A damu hakumuacha Hawa pamoja na yote aliyoyafanya. Any way hili tatizo limejitokeza na limekuwa highlited ndiyo maana nimeliweka hapa.
 
Hahahaha.... Unapofeli wewe sasa GOD is not a THING..... while Everything has a creator God doesnt have a creator because he is not a thing. Huwezi kumfananisha na pembe tatu, huwezi ku disapprove him kwa kutumia your limited mind which mpaka sasa, unashindwa to enlighten us, how the universe came from Nothing to something. Na kwanini hadi sasa, binaadamu hawezi kuibuka from nowhere wakati kuna kila element of life on earth, badala yake eti tunazaliana?
Good
 
Back
Top Bottom