Somalia kuna vocation marriage

Somalia kuna vocation marriage

Nikisema Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote hayupo kwa sababu kimantiki dhana ya kuwepo kwake inajipinga yenyewe, unaelewa nasema nini?
Naelewa mfano wako wa pembe tatu.

Dhana ya kuwepo kwake haijwahi kujipinga. Wewe unatumia mfano wa pembe tatu, vipi unamfananisha Mungu na pembe tatu ulioitengeza wewe? kiumbe ambae ukikosa oxygen tu umekwisha

Abaa, lini utatuthibitishia kuwa ulimwengu ulikuja wenyewe bila Muumbaji? hebu nipe exact date nijue hilo jibu utalileta lini? maana naona unalikimbia tu... Kwani unaogopa nini hasa? Wewe si ushasema kuwa hakuna Mungu wala Muumbaji? Sasa sie tunataka ututhibitishie tu kuwa ulimwengu ulikuja wenyewe!
 
Wewe hujaweza kuelewa kwamba sijawahi kuandika kwamba ulimwengu ulikuja wenyewe.

Hujaweza kuelewa kwamba ulimwengu unaweza usije wenyewe na wala usije kwa kuwa na muumbaji.

Jifunze hayo ya nsingibkwanza kabla ya kurukia magumu zaidi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hujathibitisha Allah yupo, hujaeleza inakuwaje Allah mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote anawaziba watu mioyo masikio na macho wasimjue, halafu anawahukumu kwa kutomjua.
Nimekujibu post ya juu hapo.... Amekuonesha dalili, amekuonesha ushahidi, wewe umeamua kuukataa, basi anakuziba macho na masikio. Upendo wake hujauona alipokuonesha dalili kuwa yupo?

Nikupe mfano wa kiubinaadamu basi, au tuseme wa Kiranga maana Humans dont exist au sio 😀

Mfano mzee wako anakupa Milioni 100 hizi mwanangu fungua biashara, wewe badala ya kufanyia biashara ukaamua kulewea tu. Baada ya kuona ivo, mzee akaamua kukuacha tu. Je utasema mzee hakupendi ikiwa kila wakati unamtia hasara kwa upuuzi?
 
Kwaio Je, Ulimwengu una Muumbaji au Hauna Muumbaji? Tuanzie hapa basi
 
Nimekujibu post ya juu hapo.... Amekuonesha dalili, amekuonesha ushahidi, wewe umeamua kuukataa, basi anakuziba macho na masikio. Upendo wake hujauona alipokuonesha dalili kuwa yupo?

Nikupe mfano wa kiubinaadamu basi, au tuseme wa Kiranga maana Humans dont exist au sio 😀

Mfano mzee wako anakupa Milioni 100 hizi mwanangu fungua biashara, wewe badala ya kufanyia biashara ukaamua kulewea tu. Baada ya kuona ivo, mzee akaamua kukuacha tu. Je utasema mzee hakupendi ikiwa kila wakati unamtia hasara kwa upuuzi?
Narudia.

Hujathibitisha Allah yupo, hujaeleza inakuwaje Allah mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote anawaziba watu mioyo masikio na macho wasimjue, halafu anawahukumu kwa kutomjua.
Huo mfano wako unaonesha hujui hata kanuni ya kufananisha mambo.

Huyo Mzee wangu ana uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote?
 
Ndomana nimekwambia mwambie Alie kusomea hiyo aya akusomee sura yote utapata majibu yako alaf usi sikilize sana ushuhuda utakuharibu kisaikolojia kuwa mchunguzi usipende kutafuniwa madhara yake ndio haya kasome sura yote uje Na mrejesho wanajamvi wanakusubir

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Narudia.

Hujathibitisha Allah yupo, hujaeleza inakuwaje Allah mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote anawaziba watu mioyo masikio na macho wasimjue, halafu anawahukumu kwa kutomjua.
Huo mfano wako unaonesha hujui hata kanuni ya kufananisha mambo.

Huyo Mzee wangu ana uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote?
Lete basi hio aya ulioiquote hapo tuone
 
Kwanza unakubali Mungu anayesema hivyo si wa kweli?

Sent using Jamii Forums mobile app
Unajua unaponishangaza mie ni pale unapojifanya mjuaje na kukosoa wenzako eti nakuuliza irrelevant question, eti sifahamu unachonielewesha kumbe ni opposite. Nimekwambia LETE HIO AYA ULIOIQUOTE HAPA TUONE.
imehusiana vip na mimi kukubali uwepo wa Mungu au kutokuwepo kwake? Lete aya sasa nakusubiri KARANGA
 
Logical non sequitur.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Utaleta hio aya au pia na hili utalikimbia?
Ikiwa kweli Allah kasema kwamba atawaziba watu mioyo , macho na masikio, ili wasimjue, na hawa msihangaike nao, na kisha atawahukumu kwa kutomjua, utakubali kwamba huyo Allah si Mungu ni hadithi za watu tu?

Tukubalianehilo kwanza, kabla sijaleta aya.

Nisije kuleta aya ukanibadilishia kibao hapa.
 
Uongo Kivipi?

Umeshajikita kwenye "muumbaji" kabla ya kuwa na ushahidi wowote kwamba kuna "muumbaji".

Nikama umekuta janila muembe limeanguka mlangoni mwako, limepeperushwa na upepo kutoka kwenye mti.

Halafu unaanza kuuliza "aliyelileta jani hili mlangoni mwangu ninani?"

Kama vile ushajua jibu lazima litakuwa kwenye mtu/ kitu chenye uhai na utashi wa kuleta jani kwenye mlango wako.

Wakati janilinawezakuwa limepeperushwa na upepo tu.

Sualazima la "muumbaji" limetokana na fikra zenye msingi mbovu kama huo.
 
Wasomali wanaotoka Ulaya na Marekani wakienda likizo kwao huoa wasichana bikra na baada ya likizo huwatelekeza na kurudi kwa wake zao huko watokako.

Waje bongo tuwaoe, wana akili ya biashara sana hao watu. Waje tuwapumzishe.
 
Umeshajikita kwenye "muumbaji" kabla ya kuwa na ushahidi wowote kwamba kuna "muumbaji".

Nikama umekuta janila muembe limeanguka mlangoni mwako, limepeperushwa na upepo kutoka kwenye mti.

Halafu unaanza kuuliza "aliyelileta jani hili mlangoni mwangu ninani?"

Kama vile ushajua jibu lazima litakuwa kwenye mtu/ kitu chenye uhai na utashi wa kuleta jani kwenye mlango wako.

Wakati janilinawezakuwa limepeperushwa na upepo tu.

Sualazima la "muumbaji" limetokana na fikra zenye msingi mbovu kama huo.
Mjomba we unaamini nini?
 
Back
Top Bottom