Somalia kuna vocation marriage

Somalia kuna vocation marriage

Ni kweli atawaislamu tunaamini hamna Mungu isipo kua "Allah" tu. Hiyo ndo "kilimah shahadah" ndo ufunguo wa kuingia uslamu
Bwana Mokaze nimeifuma hii Muislamu mwenzio huyu anasema hakuna Mungu ila allah na kule nilisema neno kali kidogo kumuhusu huyo allah umeshaanza kunielewa sasa? Zurri unaweza kutia neno mnijuze allah ni nani?
 
Swali zuri,kiitikadi kusema "Mungu" ukiwa unamkusudia Allah ni makosa,sababu tamko "Mungu" lina wingi. Lakini ukija kwa Waswahili wanapo mkusudia yule mwenye kupaswa kuabudiwa kwa haki,wao humuita "Mwenyezi Mungu" kwa maana ya "Allah".

Lakini mintarafu kauli ya uliye mrejea kwa kusema anakataa ya kuwa hakuna Mungu,bila shaka wewe umemuelewa vibaya. Muhusika ameinukuu kalima ya Shahada kwetu sisi Waislamu inatamkwa hivi "Hapana Mola apasae kuabuduwa kwa haki isipokuwa Allah". Kauli hii ina pande mbili,upande mmoja unakanusha na upande mwingine unathibitisha. Kwa maana hawa wote wanao abudiwa kinyume na yule aliye umba wanakosea na wanafanya ushirikina,kwani apasae kuabudiwa ni Mola muumba.
 
Zurri shukrani kwa kuja, lakini bado hujanijibu swali langu sawasawa je ni Allah ni nani na Mungu?

Niliyemrejea kasema ni vitu viwili tofauti ndio maana nimepata ukakasi
 
Uliye mrejea umemuelewa vibaya,kuna wengine wanaposema "Mungu" huwa wanamkusudia Allah,na kufanya hivi kiitikadi ni makosa,na kadhalika wapo wanaosema "Mwenyezi Mungu" wakimkusudia Allah nao pia wanafanya makosa,sababu majina ya Allah ni maalumu na ni yake ambayo amejiita kwayo mwenyewe au aliyoitwa na mtume wake,hii ni kwa mujibu wa Itikadi ya Uislamu.

Kwahiyo Waswahili wanatumia majina hayo pia hasa jina "Mungu" kuwasudia pia miungu wao,sababu Mungu lina wingi na Mwenyezi Mungu halina wingi.

Kiuhalisia ni vitu viwili tofauti,ila kimakusudio wanamkusudia mmoja na kufanya hivyo ni makosa.
 
Zurri nadhani hatuelewani, labda niulize hivi ili unipe jibu rahisi kabisa Mungu na Allah ni vitu viwili tofauti au tofauti ni lugha tu?

Kwa hayo maneno niliyoya bold hapo juu inaonyesha Mungu na Allah ni vitu viwili tofauti ama sio?
 
Back
Top Bottom