Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 85,755
- 145,528
Nipe mama yako nilale naye usiku mmoja atakuhadithia.Wewe ni mwanamke au mwanaume?
Nipe mama yako nilale naye usiku mmoja atakuhadithia.Wewe ni mwanamke au mwanaume?
Hujathibitisha kama mwanadamu hakuwa na muumbaji kwa sababu lazima kutakuwa na muumbaji..... na ndio maana unaitwa kiumbe. 😀Hujathibitisha Mungu yupo.
Kwa sababu hayupo.
Kwa nini lazima kuwe na muumbaji? Mwanadamu ni nani? Unajuaje huyu ni mwanadamu na huyu si mwanadamu?Hujathibitisha kama mwanadamu hakuwa na muumbaji kwa sababu lazima kutakuwa na muumbaji..... na ndio maana unaitwa kiumbe. 😀
Jibu nilichokuuliza, mama hausiki na huu mjadala.Nipe mama yako nilale naye usiku mmoja atakuhadithia.
😀😀😀😀😀😀😀😀 nakuomba urudi shule ukasome tena upya utamjua mwanaadamu ni nani, nguruwe ni nani, simba ni nani, pia itabidi urudi ukasome mambo mengi, labda pia utauliza dunia ni nini, utatuuliza tunajuaje kama tunaishi kwenye dunia 😀Kwa nini lazima kuwe na muumbaji? Mwanadamu ni nani? Unajuaje huyu ni mwanadamu na huyu si mwanadamu?
Unakimbia kujibu maswali, kwa sababu huna majibu.😀😀😀😀😀😀😀😀 nakuomba urudi shule ukasome tena upya utamjua mwanaadamu ni nani, nguruwe ni nani, simba ni nani, pia itabidi urudi ukasome mambo mengi, labda pia utauliza dunia ni nini, utatuuliza tunajuaje kama tunaishi kwenye dunia 😀
We jamaa umechacha kweli... nakuona hapo juu jinsi ulivochacha sasa umeamua kukebehi watu kumbe unajikebehi mwenyeo. Unajuaje kama unatype wewe?
Mtu ambae hajui BINAADAMU ni nini anataka kunirudisha shule 😀😀😀 majibu nimekupa mujarrab. Ila wewe hata kubahatisha kujibu umeshindwa na nimekupa nafasi sana na nimekuuliza sana. Unaishia kuniuliza maswali ya nursery UKIEPUKA KUJIBU MASWALI UNAYOULIZWA!!Unakimbia kujibu maswali, kwa sababu huna majibu.
Hujathibitisha Mungu yupo.
Wewe hata shule huelewi maana yake ni nini.
Nakupa nafasi ya kurudi shule hapa JF, huioni.
Wewe huna akili ya kujua Socratic method.Mtu ambae hajui BINAADAMU ni nini anataka kunirudisha shule 😀😀😀 majibu nimekupa mujarrab. Ila wewe hata kubahatisha kujibu umeshindwa na nimekupa nafasi sana na nimekuuliza sana. Unaishia kuniuliza maswali ya nursery UKIEPUKA KUJIBU MASWALI UNAYOULIZWA!!
Mwaga nondo zako kuwa binaadamu hana muumbaji na amekuja tu mwenyewe ivi ivi.... Hujawahi kujibu hili swali tangu nikufahamu humu JF. Na nilikuomba proof kuwa ulimwengu ulikuja wenyewe bila creator, hadi leo hukuleta proof, akisha unakataa existence of GOD! Hakuna kitu complex ulimwengu kinachoweza kuja tu wenyewe kama kipo nipe proof kwa kunielezea icho kitu kimekujaje! khalas....
😀 😀 😀 is that why you cant prove to all of us how the universe came to being without a creator?Wewe huna akili ya kujua Socratic method.
Ndiyo maana hatuwezi kujadiliana.
Mazalia ya magaidi!Wapo wanaokwenda kuoa na kuwachukua na wapo wanaowaacha
Kiukweli ni sehemu nyingi duniani wanafanya hivyo
Na wengine wanapofika retirement zao huwa wanarudi na kuoa wasichana wadogo
Hii ni mbaya zaidi maana hao wazee hufa na kuwaacha watoto yatima wengi na kukosa maisha ya uhakika
Ni mambo ambayo yanahuzunisha sana lakini yapo sana
That is why you cannot discuss anything worth a sack of salt with me.😀 😀 😀 is that why you cant prove to all of us how the universe came to being without a creator?
Is that your excuse why you cant prove to anyone that Humans came to existence without being created?
Poor defense
Vocational Education Training (VETA)Vocation ndio nini?
Ahahahah... kwa sababu hujibu masuali how can you discuss anything with anyone. Ukiulizwa hujibu unakimbia! You are an empty head... its a waste of time discussing anything with you if you cant even try to defend it!That is why you cannot discuss anything worth a sack of salt with me.
duuuhh ..wenzetu wame develop ...hahaaaWasomali wanaotoka Ulaya na Marekani wakienda likizo kwao huoa wasichana bikra na baada ya likizo huwatelekeza na kurudi kwa wake zao huko watokako.
hahaaaNa hapo ndipo mimi ninaposema Mungu hayupo, hizi zote ni habari za watu tu, angekuwepo, kusingekuwa na utata wote huu katikahabari zake.
Aiseee itabidi niende huko nikajioneeSomalia umeenda mbali sana. Mbona haya mambo yanafanyika sana hapo Zanzibar na waarab kutoka Oman.
Wanapofika Zanzibar hupatiwa wasichana mabikra na kuwaoa kwa muda kwa matumizi ya NGONO. Muda wao unapoisha huondoka zao na kuacha watoto wa kike wakitaabika na familia zao.
Zanzibar kuna Mawakala kabisa wa kutayarisha hizo ndoa fake.
hahaaaSwali lako lina ushamba wa ufahamu.
Wewe ni kama kipofu ambaye ameshazoea kujua vitu kwa sauti. Anahadithiwa kuhusu rangi za bendera ya taifa ya Tanzania, anaambiwa ipo bluu, hajui bluu ni nini, anauliza " hiyo bluu mlio wake ukoje?". Kwa sababu katika ulimwengu wake finyu ambao vitu havitambuliki kwa rangi, vinatambulika kwa sauti, anaona kila kitu ni lazima kiwe na sauti.
fact ...nimekupa like mkuuHii mambo ya Mungu sijui yupo au hayupo yamebeba mjadala mzima wa huu uzi. Mbona rahisi tu, anaeamini yupo aendelee na msimamo wake, asiyeamini nae aachiwe uhuru wake.
Au kuna mmoja anamtegemea mwingine kuendesha maisha?
Hapa nilitaraji tuambiane faida za kutembea na mabinti bikira, kitu gani kinapelekea watu wawasakame? Hata baadhi ya matajiri hupenda watafutiwe mabinti bikra wajifurahishe nao.