Sio Somalia tu unaweza kutembelea nchi yoyote ambayo imekumbwa na vita kwa mda mrefu na kuleta dhiki na njaaNgoja nikatembelee Somalia nami nipate ka bikira .
Kwani wewe kwa sasa unaishi wapi mkuu? Kama vipi na sisi tulianzishe!Wasomali wanaotoka Ulaya na Marekani wakienda likizo kwao huoa wasichana bikra na baada ya likizo huwatelekeza na kurudi kwa wake zao huko watokako.
😀 😀 😀 Mungu hayupo kwa sababu Pembe tatu haiwezi kuwa duara sio?Na hapo ndipo mimi ninaposema Mungu hayupo, hizi zote ni habari za watu tu, angekuwepo, kusingekuwa na utata wote huu katikahabari zake.
Swali lako lina ushamba wa ufahamu.😀 😀 😀 Mungu hayupo kwa sababu Pembe tatu haiwezi kuwa duara sio?
Basi twambie wewe kama kiumbe, muumbaji wako nani?
Proof?Haya mambo yapo sehemu nyingi tu kwenye Uislamu na Mtume mwenyewe alishayabariki.
Let’s Talk About Mutah, or Temporary Marriage in Islam
Swali lako lina ushamba wa ufahamu.
Wewe ni kama kipofu ambaye ameshazoea kujua vitu kwa sauti. Anahadithiwa kuhusu rangi za bendera ya taifa ya Tanzania, anaambiwa ipo bluu, hajui bluu ni nini, anauliza " hiyo bluu mlio wake ukoje?". Kwa sababu katika ulimwengu wake finyu ambao vitu havitambuliki kwa rangi, vinatambulika kwa sauti, anaona kila kitu ni lazima kiwe na sauti.
Hapa umenifanya nifurahi... na hasa hapo ulipoandika hio bluu mlio wake ukoje 😀 😀 hii ni clear reflection of you. Unaambiwa Mungu sio Creation wewe unamfananisha na Creation 😀 😀 😀
ukaendelea kujitolea mfano mwenyewe, ulimwengu wako wambao uko limited unaona na mungu yupo limited 😀
Umebuma!
Hakuna Mungu astahiliye kuabudiwa ila Yehova pekee!!!! OVA.Hata analogy huna uwezo wa kuielewa.
Thibitisha Mungu yupo.
Acha longolongo.
Kusema Mungu si creation si uthibitusho kwamba yupo.
Thibitusha yupo.
Hata analogy huna uwezo wa kuielewa.
Thibitisha Mungu yupo.
Acha longolongo.
Kusema Mungu si creation si uthibitusho kwamba yupo.
Thibitusha yupo.
Kama all that is comolex has a creator, God is comolex too.Hilo nimekujibu kitambo sana. Kuwa your existence proves that there is a creator. na nikwambia everything complex has a creator tena kwa herufi kubwa! Ukaja kufurahisha baraza, ukasema sisi sio Binaadamu, nikakuletea tafsiri ya google transaltion ya neno HUMAN, sijakuona tena. Sasa kama wewe unakataa kuwa wewe sio creation yake, twambie wewe ni kiumbe wa nani? Nani Muumbaji wako basi?
Kama all that is comolex has a creator, God is comolex too.
Therefore God has a creator.
But if he has a creator, he is no God.
Your own principle proves God cannot exist!
Hujathibitisha huyo Mungu yupo.Hahahaha.... Unapofeli wewe sasa GOD is not a THING..... while Everything has a creator God doesnt have a creator because he is not a thing. Huwezi kumfananisha na pembe tatu, huwezi ku disapprove him kwa kutumia your limited mind which mpaka sasa, unashindwa to enlighten us, how the universe came from Nothing to something. Na kwanini hadi sasa, binaadamu hawezi kuibuka from nowhere wakati kuna kila element of life on earth, badala yake eti tunazaliana?
Hata huyo Yehova ni hadithi tu.Hakuna Mungu astahiliye kuabudiwa ila Yehova pekee!!!! OVA.
Soma.Proof?
😀😀😀 huna hoja.... nshakujibu tayari. ila wewe hadi leo hujaprove binaadam amekuja mwenyewe na hakuwa created.Hujathibitisha huyo Mungu yupo.
Umejitungia hadithi tu.
Thibitisha yupo.
Wewe ni mwanamke au mwanaume?Hata huyo Yehova ni hadithi tu.
Kama unasema yupo, thibitisha.
😀😀😀 huna hoja.... nshakujibu tayari. ila wewe hadi leo hujaprove binaadam amekuja mwenyewe na hakuwa created.
Umebakisha uj.inga tu kichwani