Uchaguzi 2020 Sokoine, Mbeya: Magufuli asema Tulia amemsumbua sana kwa ajili ya maendeleo ya Mbeya, amuomba Joseph "Sugu" Mbilinyi kura

Mgombea anapotoa ahadi ambazo wananchi hawana munkari nazo!! Hapo lazima iwe shidah....

Kuna mambo ambayo watu wanataka kuyasikia...mengi tu kwa mfano katiba mpya...utawala wa sheria...fao la kujitoa..bima ya afya wa watanzania wote, kero za muungano na masulihisho yake nk
 
Jiji la mbeya haliwez kugawika

Labda mbeya vijijini ndio inaweza kugawika Mara mbili
Dar ina Wilaya ngapi zimegawiwa vipi Hadi kuwa na Kanda maalumu za Kipolisi...

Hivi unajua kila Mwaka Mbeya inavunja rekodi za makusanyo ya mapato kupitia TRA..
 
Ndio lakini ukiangalia ni kati ya ahadi nzito sana hasa alivyosema kikao cha kwanza ni kutekeleza hilo.

Hakuna Mwana Mbeya ambaye hapendi kitu kama hiki kitokee.
Mkuu unaijua Mbeya vizuri na aina ya wapiga kura wake?

Hizo ahadi angepeleka sehemu kama Dodoma wangemuelewa ila sio huku. Amuulize Tulia kakopesha bajaji na boda afu alivyo waita vijana kwenye kampeni wakadai hela ya mafuta na posho wakati kwa Lissu na Sugu wanaenda bure.

Tulia kajaa gesi akawaita viongozi wa hao boda/bajaji akawamind, walivo peleka ujumbe kwa vijana wakamjibu huu ni mkopo kwani katupa bure hadi atupangie matumizi?! Kikubwa ye aangalie marejesho yake.
 
Nipo hapa mbeya Sasa sioni Kama hapa mbeya mjini Kuna ulazima wa kugawa wilaya mbili labda angesema mbeya vijijini kwanza sehemu bado ndogo siyo kama Mwanza na Dar ilivyokubwa pili Kama nimapato kuwa juu ninachokiona hapa Mbeya kila stand inasoko kubwa limejaza biashara ndogondogo nyingi zikiwa na vyumba kabisa kwa biashara mbeya nimewavulia kofia.
 
wengi nimejua mnaleta habari bila uthibitisho! mleta mada unasema sokoine! wakati sio sokoni ni airpot ya zaman iyela! na weeengi wanasapoti ni sokoine! msikalili!!
 
Amekiri kuwa yeye hakuwaacha wana Mbeya lakini sasa iwe basi kwani amemleta mtoto msomi ambaye yupo vizuri hili kuleta maendeleo kwa kasi ya ajabu hili kila Masafwa na Mnyakyusa ashangae mwenyewe lakini yule mtu mwenye sugu mwili mzima apigwa srabu mwili mzima awe mlaini kabisa na Mbeya iwe katika mstari...
Wanambeya pigeni spana Kama kawa,nafasi aliyo kuwa nayo alituangusha Sana,hats kujikuta tuliko fika.Tusingefika huku tulipo.
 
We kweli kilaza! piga hesabu kwa watu 10000 kwa malipo ya 5000 ni sh ngapi ? Utawalipa ! Endeeleeni kuweweseka.
Ha ha ha, yaani unapata wapi jeuri ya kuwaita vipanga vilaza au hii imo ndani ya DNA zenu. Una tofauti gani na bwana moja aliyewahi kuwaita watoto wa wengine vilaza kumbe yeye kawafuga kabisa home.

Sasa ngoja nikusaidie, watu 10000 kwa malipo ya 5000 unahitaji tu 50,000,000 sawa na jogoo 50 kulingana na hesabu za jiwe ambaye aliwahi kuahidi 50,000,000 kwa kila kijiji akichaguliwa. Je unajua kuna vijiji vingapi Tanzania?
 
Back
Top Bottom