Sultan_mdosse
Senior Member
- Nov 24, 2013
- 145
- 16
Aisee,,,Sina budi kuwapa pole wote walopatwa na janga hili.
Tusishangae magari ya zimamoto yakachelewa kufika eneo la tukio.
Unaanza kuleta ujinga kwenye mambo ya msingi.Hilo ni chezo la muda mrefu,na huko Machinga complex haendi mtu