Soka la Tanzania ni la Kubalansi Simba na Yanga kwenye kila Kitu hivyo wenye Akili tulijua bado Nyamlani angekuwa Makamu Rais TFF

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
63,006
Reaction score
126,388
TANGA; RAIS wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Wallace Karia amemteua tena Athumani Nyamlani kuwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa shirikisho hilo.
-
Kwa mujibu wa Katiba ya TFF, Rais anateua wajumbe wanne wa Kamati ya Utendaji ambao wanathibitishwa na Mkutano Mkuu wa TFF na miongoni mwa wajumbe hao anatoka Makamu wa Kwanza wa Rais.
-
Nyamlani ametangazwa leo kushika wadhifa huo kwenye Mkutano Mkuu wa TFF uliofanyika jijini Tanga ikiwa ni awamu ya pili, ambapo mara ya kwanza aliteuliwa mwaka 2021.

Chanzo Taarifa: Habari Leo

Na kwa tunaomjua Nyamlani akiwa Serikalini tungeshangaa kama Serikali isingehakikisha anaendelea tu kuwa Makamu.
 
So what?

Tunasubiri matusi kutoka kwa gwiji wa matusi kutoka mkoa wa Mara
 
Nyamlani ni Yanga damu na Karia ni Coast Union. Simba hatuna mtu hapo TFF uwezo wa wachezaji unatubeba Mura.
 
Back
Top Bottom