- Waziri wa ofisi yako anapoambiwa ana kichaa, maana yake ni kubwa sana, sasa ni wakati wa Rais na Sophia kuchukua ushahidi walionao na kuwafikisha kwenye sheria, Mzee na mkewe Mama Kilango na kuthibitisha kwamba Sophia waziri wake sio kichaa, au? Ingekwua mimi ndiye Rais, by saa hizi Mama na mzee wangekua Segerea tayari maana ningechukua ushahidi alionao na kuwarundika mara moja, waziri wangu hawezi kuwa kichaa anapofanya kazi yake yaani ya taifa, unless otherwise!
- Hapa the burden ipo kwa Rais na waziri wake wa Takukuru, ndio maana ninasema hii ngoma sasa inaogile nasubiri kuona miwsho wake! Hivi Kikwete yupo au amesafiri?
Respect.
FMEs!