Sofia Simba na Sakata la Mafisadi na Wapiganaji!

Sofia Simba na Sakata la Mafisadi na Wapiganaji!

Mengi aliumbuliwa na RA, lini hapo?

Huyu ni the same RA wa richmond, Kagoda, EPA, Dowans, etc?

Walichosema dailynews kilihitaji majibu gani? kama ambayo nasubiria toka kwako kuhusu pesa za madawati ya mtakuja?

Unauliza lini wakati kila mtanzania mfuatiliaji wa maswala ya ufisadi anajua kwamba familia ya Mengi imekula hela za wawekezaji wa NICOL na mwenyewe amekiri!!!!!

Ni huyo RA (King maker), who else angeweza kumuweka Mengi hadharani kama RA alivyofanya?

wewe hata kukiri kwamba alaikwepua fedha za watu bado hutaki kukubali wakati kuna video on yuotube anakiri fedha zilikwepuliwa on his watch!!!
 
Wanaume hao wanaokupumulia ni pamoja na Masanilo na Mwafrika au unataka wengine zaidi?

Ona ulivyotafsiri sentensi, utajitapa kweli una moral wewe!

Mkuu unaaibika kimbia humu

sasa nani kamtaja mwafrika na masanilo tena! bado wamekukaa akilini, lazima ujikombe kwao huna ujanja wa kujisimamia mawazo yako

maada za zito zikiondoka humu huna la kuandika

hivi hujajigundua kila wakati wewe bifu tua

ona trend ya hii thread halafu ujiexamine!

Unalo

nimeshakimbiza wengi kwanza nikukimbize

Sasa Mengi nani yako??
 
Hata mini nina kadi yangu ya CCM tangu 18 Aprili, 1977 na kadi yangu ni B124594 lakini sijailipia tangu mwaka 1977 na bado ni mwanachama wa CCM halali. Sina risiti za malipo ya ada kwa muda wa miaka 32 na badi ni mwanachama wa CCM.

Kwa mantiki ya Mengi kuwa na kadi ndiyo maana ya kuwa mwanachama. Ningependa ammalize Sophia Simba kwa kuzitoa risiti zake za malipo ya ada kwa muda hiyo miaka 32 au basi risiti za miaka mitano iliyopita angalau ili Sophia aumbuke zaidi amasivyo ataambiwa kadi yake aipeleke makumbusho ya taifa.

Nini hasa dhana ya Ada ya uanachama?. Ni kuendesha chama, sasa kama hajachangia shs12 za uanachama ila kachangia Shs 300 Million, yupi ni mwanachama bora?. Mtoa Shs 12 ili akipata uongozi aibe Billioni 12 au mtoa Mill 300 asiye na mpango wa kugombea uongozi ili awaibie watanzania. Ukweli ni kwamba 99% ya wana-CCM waliopo katika uongozi, wanachukulia nafasi hizo kama ni sehemu za kujineemesha badala ya kusaidia chama na nchi yao na ndiyo chanzo cha marumbano yote haya tunayoyaona sasa, Struggle for daily breads, survival for fittest with money and ability to invite Muungwana on your side. Je muungwana yupo upande gani?, jibu kila mtu analijua kuwa ni kamati ya maandilizi ya kumuingiza ikulu (Mtandao)
 
Nimesema taja jina la Mungu wako nikuletee picha ya mama yake, hukutimiza sharti la mimi nikuletee picha ya Mungu wako amevaa hijab!!

Well,

Exodus 3:13-14

13 Moses said to God, "Suppose I go to the Israelites and say to them, 'The God of your fathers has sent me to you,' and they ask me, 'What is his name?' Then what shall I tell them?"

14 God said to Moses, "I am who I am . This is what you are to say to the Israelites: 'I AM has sent me to you.' "

Nakusubiria na picha zako.
 
Yaani naisoma hii habari siku ya tatu leo na wala haina hayo maneno yaliyoombwa na takriban kila msomaji....Muheshimiwa kasemaje?? Nimeona mahala fulani kumesemwa watu wataanza kusoma magazetini Ijumaa, sasa kumbe hii ilikuwa ni promo ya magazeti tu?? Haya bwana, ngoja niende maskani nikasome hayo magazeti nieone kama kweli kuna mtu kathubutu kusema maneno ya closed door meetings...

Mbona yako kwenye magazeti ya tangu Alhamis. Mpaka HabariLeo gazeti la serikali limeandika bado huamini?

Huwa inategemeana ni closed door meeting ya namna gani. Unajua kama ni mambo yanayowahusu mafisadi ndani ya mtandao huwa yanaandikwa na magazeti machache. Ila kama mafisadi wanajibu mapigo kwa kundi jingine ndo utakuta mpaka HabariLeo wanaandika.

Hii ni Tanzania bana, nchi inayotawaliwa na wana mtandao mafisadi. Wako nje ya Ikulu lakini nguvu waliyonayo ni kubwa kuliko ya Rais, Makamu wa Rais na PM.
 
Unauliza lini wakati kila mtanzania mfuatiliaji wa maswala ya ufisadi anajua kwamba familia ya Mengi imekula hela za wawekezaji wa NICOL na mwenyewe amekiri!!!!!

Ni huyo RA (King maker), who else angeweza kumuweka Mengi hadharani kama RA alivyofanya?

wewe hata kukiri kwamba alaikwepua fedha za watu bado hutaki kukubali wakati kuna video on yuotube anakiri fedha zilikwepuliwa on his watch!!!

Hao watanzania unaosema ni walioko kwenye kijiwe chako cha kahawa. Huwezi kuleta tu hisia kuwa kila mtanzania anajua kitu wakati si kweli.

Je utajibu swala la madawati?
 
Hata kama huyo mama ni kichaa lakini si anaweza akawa amesema ukweli? Muhimu hapa ni kuchambua hoja za huyo mama. Kumuita kichaa na kuendelea kukaa kimya bila kumchukulia hatua kutafanya wengine tuamini alichosema huyo mama ni kweli.

Malecela toka clean, vipi ulitumia pesa za mafisadi kuendesha harusi yako?
 
ASANTE WILLIAM

Umesikika William

LIMBANI WEWE!!

MSITUCHANGANYE HAPA.

- unajua tatizo lako ni moja kama ulivyomwambia yule kijana aliyekuomba umsaidie kutafuta Lawyer wa Accident, ni kwamba umetoka kwenye umasikini wa ajabu kama sisi wengine wote ila wewe mpaka leo bado unakushinda kukutoka, umeuruhusu kukuingia mpaka kwenye ubongo,

- unasema ulimzoea Marehemu Ippy, which is a big lie na a pure nonsense, Ippy amefariki akiwa na umri wa miaka 28, wewe leo una miaka 61 sasa tizama tofauti ya umri wako na kijana mdogo unayedai ulimzoea, ulimzoea wapi? Wewe umezaliwa Bukoba yeye hajazaliwa, wakati anazaliwa wewe uko Russia, tena mtuzima sana,

- Wakati anafariki wewe uko US, sasa ulimzowea wapi ndio maana huwa ninasema ndugu yangu unasumbuliwa na online syndrome, unakaa sana humu na Ma-ID mengi mno, hivi unapata faida gani mkuu? Kuandika kila thread na kujijibu exactly unachopata ni nini? Ndio maana unafika mahali unandika sana pumba, huku ukiongozwa na chuki na wivu mimi nilifikiri baada ya ile aibu iliyokukuta kwenye ile party ya wananchi nyumbani kwa balozi mpaka ukalikimbia lile jina lako maarufu la Dilunga/Kuhani, kwamba sasa umejifunza kumbe bado ni yale yale,

- Kama ni ufisadi Mboma aliyemuoa Mama yako mdogo na aliyekulea maisha yako yote ndiye fisadi na wewe ni mshiriki mkubwa sana wa hela zake za ufisadi, kuanzia Meremeta mpaka Kiwira, na mpaka mtoto wake amemsomesha akiwa nyumbani kwako na hela hizi hizi za ufisadi, it is about time sasa ukanyamaza na ishus za ufisadi kwa sababu zinaanzia nyumbani kwenu mkuu! unless unataka kututajia mafisadi wote mlioshir!kiana nao!

- Mkulu William ni ngoma kubwa humuwezi, kuanzia int he real life mpaka humu mitandaoni, umekuja majuu na minguo yako ya purple kama Kanda-bongoman, tunakuona unaanza na kazi ya kulea wazee na matahira tunakuona, sasa all over sudden eti na wewe mjanja wa kutukana watu humu acha kaka, bado una kamba mguuni bado hujalijua vizuri jiji, Ippy hukumzoea wala humjui ila umemsikia tu humu JF, maana umri wako ni mkubwa mno kumzoea au kuwa rafiki yako just out! Bwa! ha! ha!

- Haya huwa hatupendi ila huwa unayataka mwenyewe!

Respect.

FMEs!
 
Malecela yuko sahihi ila amemsahau SOLOMO DAVID, naye ana matatizo ya akili huyu

Kajaa majungu, fitina , chuki, kila kitu too personal! ugomvi kila dakika, anachotaka yeye kila mtu akubaliane na yeye.

Solomon David tafuta hospital atakayoenda huyu mama na wewe uende

Nashangaa credibility yako ya kukubali alichosema malecela 100%

Kwani katika upumbavu wa Simba hakuna la ukweli?? mbaona hawakanushi

nataka nikukuze dogo ujue kuchambua mambo, sio kusema watu sema watu, kama watu wa vijiweni , JF was not meant for that.

Nimekuahidi kukukuza na kukushughulikia mpaka ukue, inabidi uulize dogo

Haya ebu tuone uwezo wako wa kuchangai maada , kujibu post na kuanalyse mambo kama great thinker
 
Ona ulivyotafsiri sentensi, utajitapa kweli una moral wewe!

Mkuu unaaibika kimbia humu

sasa nani kamtaja mwafrika na masanilo tena! bado wamekukaa akilini, lazima ujikombe kwao huna ujanja wa kujisimamia mawazo yako

Aliyemtaja Mwafrika na Masanilo ni huyu hapa

Painstruth said:
Kuna watu mnaboa humu, Solomon David, kila post zako lazima uandike kuhusu Zito?

wewe, mwafrika, masanilo n.k msipoandika kuhusu Zitto mnawashwa? mbona mnajiweka low hivyo , mnahisi inferior? kwa Zitto.

mara Zito, mara Omarlyas, hatuna rekodi wala serikali ya Tanzania hairuhusu ndoa za mashoga! wamewakataa?

ndio nimesema, mnaboa,

jadilini Idea vijana kumsemasema huyu jamaa mnajiweka chini sana

duh

JF imeharibika siku hizi

sio mimi tu, kuna watu wanaboreka na post zenu za hatred

Wewe - painstruth ndiye umewataja mwafrika na masanilo. Je wanakupumulia bado au wamemaliza?

maada za zito zikiondoka humu huna la kuandika

hivi hujajigundua kila wakati wewe bifu tua

ona trend ya hii thread halafu ujiexamine!

Unalo

Kama sijakosea, hapa anaongelewa Mengi. Lakini kwa vile wewe unataka sana kumwongelea zitto, basi huwezi kumaliza siku bila kumtaja.

nimeshakimbiza wengi kwanza nikukimbize

Sasa Mengi nani yako??

Painstruth
Join Date: Mon May 2008
Location: USA
Posts: 8
Thanks: 2
Thanked 0 Times in 0 Posts
Rep Power: 0

Wewe una post nane tu, umekimbiza wengi?

Au ndiyo yale yale ya kuja na majina kibao? Uliowakimbiza mara mwisho ulikuwa unatumia jina gani?
 
Ohoooo, ngoja nikichaji hiki kitarakilishi changu hapa kisije kikazimika mid-sentence. Leteni mahabari...

NB: Mkulu FMES...Umetoweka mno .....
 
Hata kama huyo mama ni kichaa lakini si anaweza akawa amesema ukweli? Muhimu hapa ni kuchambua hoja za huyo mama. Kumuita kichaa na kuendelea kukaa kimya bila kumchukulia hatua kutafanya wengine tuamini alichosema huyo mama ni kweli.

Malecela toka clean, vipi ulitumia pesa za mafisadi kuendesha harusi yako?

- Yaaani kichaa amesema ukichaa wake, halafu mtu mwingine aje clean kwa sababu ya maneno ya yule yule kichaa?

- Kwa hiyo una maana ni kweli Mwakalinga alipewa Millioni 400 na Lowassa? Sasa Mwakalinga asipochukua hatua kama unazozisema ina maana kwamba hizi tuhuma uchwara ni za kweli?

- Utaamini aliyosema kichaa? Kweli Kyela kuna kazi sana. Aliyoyasema mzee yanatosha sana, maana huwezi poteza muda na kichaa! Na ni vyejma kwamba Mama K, ameligundua hilo na kukataa kwenda njia ya vichaa! maana wenye akili tungepata taabu sana kujua kichaa ni nani hasa!

Respect.

FMEs!
 
Solomon David tafuta hospital atakayoenda huyu mama na wewe uende

MI NAONA BAADA YA SOLOMON NA SIMBA KUPIMWA NAOMBA WE UKAFWATIE PALE MIREMBE( PAINSTRUTH) NA NATUMAINI UGONJWA WAKO MIREMBE WATAUSHINDWA SIDHANI WATAPATA DAWA.....

AMA NDIO JINO LA DHAHABU
 
Malecela yuko sahihi ila amemsahau SOLOMO DAVID, naye ana matatizo ya akili huyu

Kajaa majungu, fitina , chuki, kila kitu too personal! ugomvi kila dakika, anachotaka yeye kila mtu akubaliane na yeye.

Solomon David tafuta hospital atakayoenda huyu mama na wewe uende

Nashangaa credibility yako ya kukubali alichosema malecela 100%

Kwani katika upumbavu wa Simba hakuna la ukweli?? mbaona hawakanushi

nataka nikukuze dogo ujue kuchambua mambo, sio kusema watu sema watu, kama watu wa vijiweni , JF was not meant for that.

Nimekuahidi kukukuza na kukushughulikia mpaka ukue, inabidi uulize dogo

Haya ebu tuone uwezo wako wa kuchangai maada , kujibu post na kuanalyse mambo kama great thinker

Mnaona na nani?
 
Hata kama huyo mama ni kichaa lakini si anaweza akawa amesema ukweli? Muhimu hapa ni kuchambua hoja za huyo mama. Kumuita kichaa na kuendelea kukaa kimya bila kumchukulia hatua kutafanya wengine tuamini alichosema huyo mama ni kweli.

Malecela toka clean, vipi ulitumia pesa za mafisadi kuendesha harusi yako?

Engineer,

wewe maoni yako ni yapi?
 
wote naona mmelewa ..hivikama macelela alipewa hela isisemwe?ushabiki mwingine wa ovyo ovyo sana
 
Malecela toka clean, vipi ulitumia pesa za mafisadi kuendesha harusi yako?

HIYO MICHANGO MLIOPOKEA KWENYE HARUSI ZENU MNAJUA ZILITOKEA WAPI...SASA KAMA MTU ANAJIPENDEKEZA KWENYE HARUSI KWA NINI NISICHUKUE??WAPI WAMEANDIKA TUSILE PESA ZA MAFISADI...BIBLIA YENYEWE INASEMA TUTAKULA PESA ZA WAMATAIFA ......KWANZA MAMA K NI WA KUMSHUKURU ANGEEZA KULA HELA NYINGI SANA ZA ROSTAM....
 
MI NAONA BAADA YA SOLOMON NA SIMBA KUPIMWA NAOMBA WE UKAFWATIE PALE MIREMBE( PAINSTRUTH) NA NATUMAINI UGONJWA WAKO MIREMBE WATAUSHINDWA SIDHANI WATAPATA DAWA.....

AMA NDIO JINO LA DHAHABU

Unadhani ataweza kupimwa huyo, kwenye ile thread nyingine anajitapa kuwa kafukuza watu wengi sana hapa JF - wakati ana post nane tu. Kama kupimwa akili nadhani huyu hata haitaji kupimwa- apewe dozi moja kwa moja.
 
Ohoooo, ngoja nikichaji hiki kitarakilishi changu hapa kisije kikazimika mid-sentence. Leteni mahabari...

NB: Mkulu FMES...Umetoweka mno .....

- Hapana ndugu yangu nipo sometimes sipo, lakini wiki yote hii nimekuwepo na bado nipi mpaka mwisho wa wiki, ngoja tuvine hapa JF ngoma ya wachawi, sujakuona ndugu yangu vipi upo?

Respect.

FMEs!
 
Back
Top Bottom