...ninakwambia hili taifa tumefika mahali tunatka sheria sio ukweli wa kamati za foolishness, .... Sophia, anapopora waume wa wenziwe ni sababu muhimu sana na kubwa ya kujiuzulu
Mkuu,hapa unanambia kuwa CCM ni wapumbavu...au?
Kwasababu kamati hii ni ya chama,kutoka kikao na maazimio halali ya chama...narejea tena maisha binafsi ya Mama Simba,ambayo hayahusu hoja yoyote katika kamati ya Mwinyi...ni kelele za kiuwenda wazimu na kuchachawa...habari za kuiba waume za watu na kamati ya Mwinyi ni wapi na wapi(irrelevant)! Mama Simba,kasema issue zinazohusiana maisha binafsi ya Kilango na Malecela, relevant to the issue on the table...na kaeleweka.
...Sophia ameanza sasa ni zamu yake kupokea na huu ni mwanzo tu!
Mkuu,vita havina mshindi,ukizingatia kuwa hakuna mwenye immunity ya mashambulizi ya kivita...na vita ni propaganda na yenyewe ni uwongo...Mama Sophia ameanza na ww unasema ni zamu yke kupokea,unahakika kuwa keshamaliza? si yeye tu ajitayarishe kupokea na Kilango...ana madhambi yake binfsi kuliko ya Sophia na yanajuulikana kuliko anavyoyajuwa yeye au wewe...yakianza kufika huko Mkuu patakuwa hapakaliki...vita utakuwa chungu hii...Neville Chambaline,aliyekuwa PM wa Uingereza wakati vita kuu ya pili ya dunia inataka kuanza,alimwambia Hitler kuwa, "usianzishe vita, vita havina mshindi...sote tutapata vilema na vifo.."
...Sophia amegombea ubunge viti maalum akashindwa, akajaribu kina mama akashindwa, akajaribu viajana akatupwa, unasema rais alimchagua kwa sababu ya ushauri uliompa wewe au?
...Unalia nini mkuu kumbe unamjua vizuri Sophia, huyu kibaka changudoa anaweza kujua ukweli?
- Ameyaanza mwenyewe, sasa ukweli wote ni lazima uwekwe wazi mkuu...
- Unasema uchangudoa kama wa Sophia sio ufisadi?
With due respect,Talk some sense plz,ww hutakubali Mzazi wako aitwe
changudoa...(provided kama na yeye mambo yake yanajuulikana vilevile,japo ww inawezekana ikawa huyajuwi) hasa katka forum kama hii,haya ni matusi na ukosefu wa heshima kwa mtu anayeweza kuwa mzazi wako kabisa.
Kugombea si issue, hata kuna watu wamegombea kiti cha urais wametupwa nje, au hapa unataka kuthibitisha madai ya mama simba kuwa,kelele za Kilango ni nongwa za kuukosa u-first lady na mumewe kukosa urais, usiwe kama Amos Makala...badala ya kupima nini Mzee Warioba anaongea,yeye anaibuka na hoja za kugombea. Mkuu,usikatae kuwa rais asingeweza kumteuwa mama Simba bila ya PM na VP...kushauri lolote katika uteuzi wake...ndo ninapo shangaa madai yako ya busara ya JK kumteuwa mtu eti unadai ni mgojwa wa akili.