Na š» haiongopiYuko zake Nairob huko sijui karudi. Ila siku akinipigia namchana tukutane bar atakoma. "Kinambi pro max"
Mimi sinywi na yeye hanywi kbs, mwishoni alianza kuvaa hijab. Kwa hiyo tutakuwa wakavu km samaki wa kukaushwa na moto.Tunakula nyama na Pepsi huku tunakataana. Atajuta hataamini km sikamkaribisha home.Na š» haiongopi
Au kama vp mpotezee
Wakavu kama samaki wa kukaushwaMimi sinywi na yeye hanywi kbs, mwishoni alianza kuvaa hijab. Kwa hiyo tutakuwa wakavu km samaki wa kukaushwa na moto.Tunakula nyama na Pepsi huku tunakataana. Atajuta hataamini km sikamkaribisha home.
Aaah pole bwana si unajua Miye siyo wa kishua.Wakavu kama samaki wa kukaushwa
Una mpango gani na mbavu zangu š¤£š¤£
Mi pia ni bush girlAaah pole bwana si unajua Miye siyo wa kishua.
Mbona unashangaa misemo ya pwani hiyo. Ulishafunga mlango na mti wewe au mabua.Mi pia ni bush girl
Kwenye ushoga umefika mbali bibieWivu huzaa chuki _chuki huzaa roho mbaya
Hivi hitu ni mashoga wa kutupwa
Wala sishangai mie nafurahiMbona unashangaa misemo ya pwani hiyo. Ulishafunga mlango na mti wewe au mabua.
š¤£š¤£ sawaKwenye ushoga umefika mbali bibie
Shida ya wanaume ni papuchi lazima aombe umnyime akukunjie, au umpe biashara ziishie kitandani, dunia uwanja wa fujoBado mnaendekeza ushost na wanawake tu? Hamkomi
Mi wanawake wenzangu nishawakatia laini zamani Sana,wivu roho mbaya, husda, uchawi...wanini mimi aku!
Wanaume wako poa sana,hata michongo ya hela asee ndo wananivuta na kunipa ramani
ExactlyBinadamu anabqdilika muda wowote usiweke matarajio au imani kubwa sana,
Usiharibu kwa watu wasio na hatia lakinimi mwenyewe saiv nimebadilika baada ya maswahibu mengi nimejifunza kuwa snitch tu, nikipata nafasi ya kuharibu naharibu huku nakuchekea,
yan mm nilikuaga kimbelembele sana kumwamini mtu wa karibu, baada ya kupigwa matukio kadhaa nikajifunza kutake risk kama anayebetia liverpool saivš„, yan mtu mnafk %kubwa nd wenye wivu, waongo, wachoyo.......... !Nashukuru Mungu unafiki huwa siuwezi kama sikukubali utajua tu, kwetu huwa wananisema sana juu ya kupuuza huwa silembi! Sijui kumnafikia mtu ukizingua nakuchana!
Hawana tofauti sana na mchawiyan mm nilikuaga kimbelembele sana kumwamini mtu wa karibu, baada ya kupigwa matukio kadhaa nikajifunza kutake risk kama anayebetia liverpool saivš„, yan mtu mnafk %kubwa nd wenye wivu, waongo, wachoyo.......... !
wachaw kwa matendo yao kabisa, unakuta ni rafk yak unampend san anakupig tukio ad unamwonea huruma na yeyešHawana tofauti sana na mchawi
hii si sawa kabisašŖnikipata nafasi ya kuharibu naharibu huku nakuchekea,
You have a good heart, but you're trading that to vampires. Pole sana, angalia mtu sahihi, anaye kichallenge na asiye kupaka mafuta. People are usersWahenga wanasema ni bora kuishi na mchawi kuliko mnafiki usiyemjua
Hivi umewahi kuishi na snitch na unajua kabisa ana kunafikia?
Then ukawa una mchora tu na unafiki wake anavyojimaliza?
Mara zote mnafiki ni mtu wako wa karibu sana, pengine unayemuamini zaidi na ku mkubari sana
Mtu hawezi kukufanyia unafiki kama hakujui vizuri, never
Wanaotuuza ni wale wanaotujua nje ndani, wanajua makazi yetu wanajua mishe zetu, wanajua siri zetu, time ya kutoka na time ya kurudi
Kisa changu, nilikuwa na rafiki yangu hivi mzurii wa muonekano
Yule rafiki yangu ukitoka naye out ukasifiwa wewe, alikua anaumia mno yaani unamuona kabisa uso unabadilika
Ukifanya vizuri anakusifia, ila maneno na uso havina ushirikiano
unaona kabisa ananyongea
Mimi nilimpenda mno na kumsifia, ila siku ikitokea akahisi nimependeza kuliko yeye alikua anachukia
Kipindi hicho alikua jobless, nikasema hapana ngoja nimvute niwe naye sehemu ninapofanyia kibarua
Aisee nilijuta šš kwa sababu alinijua nje ndani basi alinifanyia figisu kazini, karibu nianguke na pressure
Wewe binti popote ulipo nimekusamehe ila nimejifunza
Na ajabu sasa niliona dalili zake za wivu mapema japo zilikuwa ndogo nikawa nazipuuza najidai mtakatifu na mama huruma
Kilichonikuta ni fundisho
Issue ni kwamba bado sikomi, kuna muda najikuta tena naamini mtu haraka pamoja na kwamba nilishawahi kuumizwa( sijui kwanini)
Je wewe umewahi kuishi na mnafiki huku anajua hakupendi/hakufurahii/hakukubali?
Ulifanyaje mwisho ilikuwaje?
Ni namna gani ya kum escape snitch unaemjua kabra hajakusabahishia madhara?
ShesRise_1 š
people are usersāYou have a good heart, but you're trading that to vampires. Pole sana, angalia mtu sahihi, anaye kichallenge na asiye kupaka mafuta. People are users