Snitch ndiye mtu hatari zaidi🙌

Snitch ndiye mtu hatari zaidi🙌

Kitu siwezagi ni ushoga sijui bff
Watu wengi washajisogeza tuwe mashosti ila nakaza
Sasa hivi jirani yangu kachoka alikua kutwa anakuja kwangu ananiambia siri zake ila mimi nakaza ushosti na mtu sitakii
Tatizo sio hatupendi ushost...kuna mtu hapendi marafiki jamani? Jibu ni hakuna....tatizo la wadadaz, ukiwa best yake lazima akuchunguze, akuzoee, ajue weakness yako..basi hapo anatafuta njia ya kukuangamiza! Na usiombe aone vitu unamzidi, Kwisha habari yako!
 
Umemaliza! Alianza maswali ya kijinga umezaliwa mwaka gani nikamtajia, umefika chuo? Nikamjibu
Huyu mume wako mmefunga ndoa?

Mambo ya majirani wengine ananiletea hapo ndo nikamtilia alama ya X! Kama ya wengine ananiletea, yangu je?
 
Hebu andika tena nisome
 
Umemaliza! Alianza maswali ya kijinga umezaliwa mwaka gani nikamtajia, umefika chuo? Nikamjibu
Huyu mume wako mmefunga ndoa?

Mambo ya majirani wengine ananiletea hapo ndo nikamtilia alama ya X! Kama ya wengine ananiletea, yangu je?
Ulimuweza, alitaka akuzoee huyo, akienda huko kwa wenzie anajifanya anakujua vilivyo, badae kunatokea maugomvi yasiyoisha, ndo na kuloga kunaanzia hapo!....Aaah wanawake shikamoo🙌🙌
 
Hajui kua urafiki huwa unakuja automatically bila kuforce
 
Kitu siwezagi ni ushoga sijui bff
Watu wengi washajisogeza tuwe mashosti ila nakaza
Sasa hivi jirani yangu kachoka alikua kutwa anakuja kwangu ananiambia siri zake ila mimi nakaza ushosti na mtu sitakii
Nenda hivyo wala hakuna utakachopungukiwa mimi dada yako nimeishi hivyo na niko good sana, kwasababu nina roho ndogo kwahiyo mtu akinikosea naumia sana na haitoki akilini na nakuwa mbaya sana huwa najitahidi kutofanya urafiki wa pika pakua, wengi wananishangaa ila najiona kuwa salama zaidi kuliko wao,
 
humu kila mtu atakuja kusema yeye ni mwema na amekua akisnichiwa🤣🤣,,, ila asilimia kubwa tunayaishi hay maisha kila uchwao,,, anyway hata sijui nataka kusema nini
Najua tu wewe sio snitch🤣🤣🤣

ShesRise_1 mjukuu pole sana kwa kukutana na watu wa aina hiyo, labda uwe unakuwa na watu waliokuzidi uwezo kiuchumi, huenda usnitch usiwepo.
 
ukiwa na ukaribu na snitch hali ya kuwa unamfaham kwamba huyu ni snitch akija kukuharibia mambo yako usimlaumu jilaumu mwenyewe..kwa yule ambaye hukumfaham kabla unatakiwa uache kabisa mazoea ya ukaribu...Kwa upande wangu nilivo mimi kabla ya kuwa mtu wangu wa karibu lazima nikufaham ndani na nje nasio jambo la siku au miezi, inategemea na mission, Lazima nikuchezee maigizo nafikiri nikisema maigizo unaelewa mfano , naweza nikajifanya na mimi ni snitch kabla ya kukonesha uhalisia wangu na tabia zangu...Hapo unahitaji kuwa na utimamu wa akili, utulivu wa hali ya juu na kutosahau mambo ya nyuma, kudhibiti hasira na mihemko na kumuacha awe huru zaidi kwako bila kuhofia chochote hzo ni baadhi ya mbinu..Hata ukifaulu siwezi kukuamini 100% yapo mambo hutoweza kuyajua kutoka kwangu.Hizo ndo baadhi ya mbinu za kupambana na masnitch..Nimechoka kubofya.
 
Sawa kaka umeeleweka 🙏
 
Back
Top Bottom