Snitch ndiye mtu hatari zaidi🙌

Snitch ndiye mtu hatari zaidi🙌

pole aisee , ila jitahidi sana anayekuumiza usifanye kama fimbo ya kumchapia mwingine asiye na hatia, ni kujifunza kujifunza tu kuishi na kila aina ya watu (mtu asikufanye ubadili tabia njema uliyonayo)
Au hata kujiumiza ww mwenyewe Kuna watu wameaumua kujidharau Kwa sababu ya kuumiza na watu. Mara nyingi Huwa ni maumivu ya ndani Kwa ndani so una project Kwa wengine
 
Au hata kujiumiza ww mwenyewe Kuna watu wameaumua kujidharau Kwa sababu ya kuumiza na watu. Mara nyingi Huwa ni maumivu ya ndani Kwa ndani so una project Kwa wengine
Neno Maumivu ✍️
Kuna watu wameumizwa mpka namba ya mwisho 🙌
 
Wewe kila siku lazima upinge mtu anachosema so amini uvyotaka

Watu wameshaumia hakuna maumivu mapya tena 🤝
Duuh kumbe nafuatiliwa, mbona sijakupinga? Nimetoa mtazamo tu.

Nilidhani hivyo kipindi Fulani, ila Sasa naanza kuona maumivu haya kipimo, ni jinsi mtu unavyochukulia jambo. So just because you're hurt, usichukulie ndo mwisho wa dunia Kuna watu wamepitia magumu zaid yako na Bado wakaweza kutoka on the other side of pain
 
Duuh kumbe nafuatiliwa,
ufatiliwe kwa sababu zipi
mbona sijakupinga? Nimetoa mtazamo tu
ok
.

Nilidhani hivyo kipindi Fulani, ila Sasa naanza kuona maumivu haya kipimo, ni jinsi mtu unavyochukulia jambo. So just because you're hurt, usichukulie ndo mwisho wa dunia Kuna watu wamepitia magumu zaid yako na Bado wakaweza kutoka on the other side of pain
Hakuna maumivu mapya yote ni marudio halafu mimi ni mtu naacha vitu viende vinavyotaka silazimishi mambo nilishakinai kitambo sana
 
ufatiliwe kwa sababu zipi
I was joking.

Hakuna maumivu mapya yote ni marudio halafu mimi ni mtu naacha vitu viende vinavyotaka silazimishi mambo nilishakinai kitambo sana
Hauwezi kusema tu kwamba ni marudio, maumivu hayakwepeki na kusema kwamba unakinai utakuwa unajiongopea mwenyewe. Issue ni kuyakubali maumivu na kuyaruhusu yakushape kuwa mtu Bora.
 
... kwenye hii Dunia yenye ushindani kupitiliza, kama usipom’snitch' mtu basi jua unaji'snitch' mwemyewe!

IKABHAGI CHEENE! ........ wanasema wazungu wa Gambosh
 
Back
Top Bottom