Mwalim: ee john, nitajie wanyama kumi wa porini.
John: simba watatu na tembo saba
Mke : kuna nini kwa jirani?
Mume. : itakuwa Birthday
Mke : ya nani?
Mume : Tuyuu
Mke : Tuyuu ndio nani?
Mume. : simui ila wanamwimbiaga Happy Birthday Tuyuu ....
Yupi anajua KUUCHUNA?
Juha:Nilimpgia cm mke wangu akapokea hakusema 'hallow! nikauchuna sikuongea mpk pesa zote zikaisha!
Zoba:Niligonga mlango mke wangu akafungua hakuniambia karibu nikasmama palepale mlangoni mpk kesho yake nikageuza nikaondoka.
Zuzu:Tangu nimuoe mke wangu hajaniita mpenz, nimegoma kulala nae hadi leo miaka 6.
Wote wakamwambia: Wee muongo, mbona una watoto wawili?
Zuzu akajibu: mpaka leo sijamuuliza watoto ni wanani? NIMEUCHUNA tu.!
Mkristo kavamia futari
vyuuuuuuuup! Baada ya kula Sheikh si akamchagua asome dua ya kushukuru! Jamaa akatetemeka sana kwa kuogopa ila akajikaza kiume na kuanza kama ifuatavyo:
Jamaa: Ya Tawfiq
Watu: Amin
Jamaa: Ya Habib
Watu: Amin
Jamaa: Yaa Shabiby
Watu: Amin
Jamaa: Ya Abood
Watu: Amin
Jamaa: Ya Hood
Watu: Amin
Jamaa: Ya Scandnavia
Watu: Mhhhhhhhhhh
Jamaa: Ya Dar Express
Watu: Aaaaaaaaaaaa, kamata tia bakora mwanaharamu huyu!