SMS hizi! Ungefanyaje?

SMS hizi! Ungefanyaje?

Mtoto: Baba nitumie hela ya matumizi huku shule hali ni mbaya la sivyo nitajinyonga.
Baba: Huku nyumbani hli ni mbaya kuliko huko shuleni, kwa hiyo kama unajinyonga sawa tu kwa sababu utapunguza bajeti. Kopa kamba dukani ntakuja kulipa nikija kuchukua maiti yako. Mungu akulaze mahali pema peponi mwanangu.
 
MC anamsifia Bi. Harusi

"Sasa nawapa sifa kubwa ya Bibi harusi. Tangu namfahamu huwa havai nguo za ndani!"
Watu wakaduwaa

MC "Narudia tena kwa msisitizo na sijakosea. Bi. Harusi huyu huwa havai kabisa nguo za ndani. Yeye anavaa za kutoka Italy, England na USA. Si za Tanzania. Hebu mshangilieni!"

Kila mtu "Ahaaaaaa...!"
 
MC anamsifia Bi. Harusi

"Sasa nawapa sifa kubwa ya Bibi harusi. Tangu namfahamu huwa havai nguo za ndani!"
Watu wakaduwaa

MC "Narudia tena kwa msisitizo na sijakosea. Bi. Harusi huyu huwa havai kabisa nguo za ndani. Yeye anavaa za kutoka Italy, England na USA. Si za Tanzania. Hebu mshangilieni!"

Kila mtu "Ahaaaaaa...!"

Umetisha mkuu..
 
MPARE NA PESA

Binti: Mama, nimemuomba baba hela ya saluni akaninyoa nywele
Mama: Una bahati sana mwanangu. Ungemuomba hela ya whitedent angekung'oa meno!
ahaaa kwi kwi kwiiiiii hi imenimaliza mbavu a kwa kwa kwa uwiiiiii
 
Beware of your ribs coz some of jokes are very jokey
 
MCHAGA NA PESA

Massawe alitumia njia nyingi kumtongoza Haika bila mafanikio. Mwishowe akamwambia kuwa ataweka hela chini akiikota tu shughuli itakuwa imeisha. Haika akaomba ushauri kwa boy friend wake, Chuwa.

Chuwa: Usikatae pesa Haika. Mwambie aweke 30,000/=. Okota hiyo hela haraka kabla hajafungua zipu!
Haika akakubaliana na Massawe. Baada ya nusu saa Chuwa akampigia simu Haika baada ya kuwa kimya muda wote.

Haika: Sijamaliza kuziokota Chuwa, Massawe kasambaza tsh moja moja!
 
TEHEEE...dereva kanichekesha sana...!!
 
NANI MWENYE MAKOSA?

Mwanamke aliyelala na mumewe akawa anaota, ghafla akapiga makelele, "Jifiche mume wangu kaja", au mumewe aliyesikia hivyo akanyakua nguo na kukimbia akidhani amelala na mke wa mtu? Nahitaji mawazo yako.

Huyo dingi ndo kwere!
 
MPARE NA PESA

Binti: Mama, nimemuomba baba hela ya saluni akaninyoa nywele
Mama: Una bahati sana mwanangu. Ungemuomba hela ya whitedent angekung'oa meno!

Najaribu kufikiria angeomba na hela ya kununua viatu je??
 
Padre na sister wakiwa safarini walikosa nyumba ya wageni wakapata chumba kimoja wakalala wote ila wakatenganisha kwa kuweka mto katikati,asubuhi na mapema wanatoka wanakuta geti limefungwa na hakuna mtu,
PADRE; Turuke ukuta!!
SISTER;Nyoooo!!umeshindwa kuruka mto uutaweza ukuta!!
 
Mwanaume mmoja kaenda bar na mkewe wa ndoa.Punde mume akaenda kaunta kuagiza vinywaji,mwanamke mmoja anaejiuza akaenda alipokaa mke wa jamaaa kamwambia "hakikkisha anakulipa pesa yako kwanza kabla hujafanya nae mapenzi maana jamaa hatoagi hela"
 
UWONGO HAUFAI

Jamaa: Unasoma?
Demu: Hapana sisomi, vipi wewe unasoma?
Jamaa: Ndo nipo form 4 Jangwani
Demu: Jamani hiyo si shule ya wasichana?
Jamaa: Ah! sorry nimechanganya nipo Kisutu
Demu: Mwee mbona nayo ya wasichana
Jamaa: Haa! Nilikuwa nakutania nachukua PhD IFM
Demu: Mh! Ina maana IFM imeanza kutoa PhD?
Jamaa: Ishia zako. Demu mwenyewe hulipi wala nini! Unauliza maswali kama tupo uhamiaji? KWA TAARIFA YAKO NACHUKUA DEGREE YA UDAKTARI CBE!
 
padre na sister wakiwa safarini walikosa nyumba ya wageni wakapata chumba kimoja wakalala wote ila wakatenganisha kwa kuweka mto katikati,asubuhi na mapema wanatoka wanakuta geti limefungwa na hakuna mtu,
padre; turuke ukuta!!
Sister;nyoooo!!umeshindwa kuruka mto uutaweza ukuta!!

hahahaaa
 
Mkristo kavamia futari
vyuuuuuuuup! Baada ya kula Sheikh si akamchagua asome dua ya kushukuru! Jamaa akatetemeka sana kwa kuogopa ila akajikaza kiume na kuanza kama ifuatavyo:
Jamaa: Ya Tawfiq
Watu: Amin
Jamaa: Ya Habib
Watu: Amin
Jamaa: Yaa Shabiby
Watu: Amin
Jamaa: Ya Abood
Watu: Amin
Jamaa: Ya Hood
Watu: Amin
Jamaa: Ya Scandnavia
Watu: Mhhhhhhhhhh
Jamaa: Ya Dar Express
Watu: Aaaaaaaaaaaa, kamata tia bakora mwanaharamu huyu!
 
Back
Top Bottom