Leonardmwanja
JF-Expert Member
- Jul 27, 2011
- 236
- 35
Nimependezewa mno nimeongeza maisha kwa kucheka
nimekugongea like kubwa sananani mwenye makosa?
Mwanamke aliyelala na mumewe akawa anaota, ghafla akapiga makelele, "jifiche mume wangu kaja", au mumewe aliyesikia hivyo akanyakua nguo na kukimbia akidhani amelala na mke wa mtu? Nahitaji mawazo yako.
mbavu zangu,kweli izi sms ni tabu tupu sitasahau siku nilituma sms nikajua imeenda kwa mbea mwezangu tuliekua tunachat tukimsema jamaa nikakosea ikaenda kwa mhusika dah!!sitakaa kusahau
inabidi niende hospitali nikapige X- ray nahisi mbavu zimevunjia kwa kucheka, gays you make my day
I won't be impressed with technology until I can DOWNLOAD FOOD
thats great! Keep it up
Daaah hii kali, sipati picha alivyokuuliza ukamjibuje, hahahaaa
mke ndo mwenye makosa...mi nimestuka,,...sikufikiriaNANI MWENYE MAKOSA?
Mwanamke aliyelala na mumewe akawa anaota, ghafla akapiga makelele, "Jifiche mume wangu kaja", au mumewe aliyesikia hivyo akanyakua nguo na kukimbia akidhani amelala na mke wa mtu? Nahitaji mawazo yako.
Mke : kuna nini kwa jirani?
Mume. : itakuwa Birthday
Mke : ya nani?
Mume : Tuyuu
Mke : Tuyuu ndio nani?
Mume. : simui ila wanamwimbiaga Happy Birthday Tuyuu ....
Demu alifariki kwa ukimwi sasa mama yake akawa anaangalia nguo zake akakuta bikini mama akasema, kweli ugonjwa huu ni mbaya umekondesha mpaka chupi!
hii kaliMC anamsifia Bi. Harusi
"Sasa nawapa sifa kubwa ya Bibi harusi. Tangu namfahamu huwa havai nguo za ndani!"
Watu wakaduwaa
MC "Narudia tena kwa msisitizo na sijakosea. Bi. Harusi huyu huwa havai kabisa nguo za ndani. Yeye anavaa za kutoka Italy, England na USA. Si za Tanzania. Hebu mshangilieni!"
Kila mtu "Ahaaaaaa...!"
tehehehe...ukwaju iyo kaliUsiku kucha Singasinga alikuwa akijamba kila aina ya mshuzi
Mkewe akamuuliza na nini leo wewe?
Akajibu : natafuta Ringtone ya Mku**u wangu siku hizi Makampuni ya simu yanalipa kila wimbo
we mkaliMlevi kaanguka toka ghorofani fasta watu wakamfata kumsaidia wakamuuliza VIPI IMEKUAJE? Mlevi akajibu: "HATA SIJUI NA MIE NDO NAFIKA SASA HIVI..."
ameen...dingi kakasi kama nnMtoto: Baba nitumie hela ya matumizi huku shule hali ni mbaya la sivyo nitajinyonga.
Baba: Huku nyumbani hli ni mbaya kuliko huko shuleni, kwa hiyo kama unajinyonga sawa tu kwa sababu utapunguza bajeti. Kopa kamba dukani ntakuja kulipa nikija kuchukua maiti yako. Mungu akulaze mahali pema peponi mwanangu.