sister
JF-Expert Member
- Nov 23, 2011
- 9,014
- 6,852
Teja kafunga ilipofika mchana swaumu ikambana akawa anasikiliza redio kipindi cha kuchagua nyimbo, akapiga simu redioni maongezi yakawa hivi;
DJ: nani mwenzangu, unaongea toka wapi na unataka nyimbo gani?
TEJA: yote hayo siyataki naomba unipigie adhana ya magharibi nifuturu toka asubuh sijashtua!