SMS hizi! Ungefanyaje?

SMS hizi! Ungefanyaje?

Demu anatoka kuoga akiwa na Khanga moja tu anasikia hodi, kufungua mlango akakutana na jirani yake atambulikanaye kwa jina la John na ni Kipofu
Akamkaribisha ndani ambapo ni chumba kimoja tu kuna kitanda na vingine bila Kochi wala kiti John akakaa kwenye kitanda
Demu akavua kanga moja na kuanza kujipaka mafuta mwili mzima huku akiinama mara akimringishia kimyakimya John mwili wake ulivyo kwa kujua huyo kipofu hata kunusa haoni kitu gani kinaendelea.
Mazungumzo yakawa hivi:
  • DEMU : Vipi John mbona umepotea hivi yaani huonekani siku hizi ulikuwa wapi?
  • JOHN (Kipofu) : NILIENDA INDIA KUFANYIWA OPERESHENI YA MACHO SASA HIVI NAONA VIZURI SANA
sasa kilichotokea nitumie 500 ya sms tu nikendelee
 
Binti wa Kijijini Matombo kaolewa na baada ya fungate wakaenda Jijini Dar ilipofika usiku
  • Mume=panda kitandani
  • Bint= kapanda
  • Mume= vua nguo zote,
  • Binti = akavua hadi pichu
  • Mume= *anua miguu
  • Binti = akatii
  • Mume= akasogea kuangalia akaona msitu wa mavutz marefu kama rasta
  • Mume= mbona msitu wote huo?
  • Binti = nimekuja kwa Mume kut*mb** au kusukwa ebu toka Wanaume wa Dalisalam nasikia huwa mnakulaga kwanza mm nilishakata na *****

Yani post zako uharo mtupu hakuna kichekesho hata kimoja, ni bora ungejifungulia uzi wako mwenyewe kuliko kuleta hizo virus kwenye huu uzi! Upuuzi mtupu!!!!!
 
Demu anatoka kuoga akiwa na Khanga moja tu anasikia hodi, kufungua mlango akakutana na jirani yake atambulikanaye kwa jina la John na ni Kipofu
Akamkaribisha ndani ambapo ni chumba kimoja tu kuna kitanda na vingine bila Kochi wala kiti John akakaa kwenye kitanda
Demu akavua kanga moja na kuanza kujipaka mafuta mwili mzima huku akiinama mara akimringishia kimyakimya John mwili wake ulivyo kwa kujua huyo kipofu hata kunusa haoni kitu gani kinaendelea.
Mazungumzo yakawa hivi:
  • DEMU : Vipi John mbona umepotea hivi yaani huonekani siku hizi ulikuwa wapi?
  • JOHN (Kipofu) : NILIENDA INDIA KUFANYIWA OPERESHENI YA MACHO SASA HIVI NAONA VIZURI SANA
sasa kilichotokea nitumie 500 ya sms tu nikendelee

kwi kwi kwiiiiiiiiii
 
Leo ni birthday ya "Tom & Jerry", ili kuwaenzi tafadhali tuma sms hii kwa katuni mmoja unaemjua, mie nimeshamtumia katuni wangu ambaye anamalizia kusoma sms hii.
 
... Jamani kuna watu wabishi sijawahi kuona, hebu nisaidie na wewe!! eti kati ya nyumba na ndege, ipi ina PAA juu?
 
Jamaa wawili waliiba embe kiroba kizima wakakimbilia chumba cha kuhifadhia maiti bila kujua, wakati wanaingia wakaangusha embe mbili mlangoni na mlinzihakuwaona alikuwa amelala. Aliposhtuka akasikia jamaa wanagawana hii yangu... Hii yako... hii yangu Mlinzi kusikia hivyo akakimbia kumwita doctor njoo usikie malaika na ibilisi wanagawana roho. Walipofika tu mlangoni wakasikia "Na zile mbili tulizoziacha mlangoni tukazichukue". Doctor na mlinzi mbio!!!

Chezea kufa wewe?
 
Rose Muhando baada ya kutembea sana akachoka alimwambia Yesu "Nibebe nibebe nibembeleze nibebe mikononi mwako niwe salama!". Yesu alipombeba Rose akaanza kucheza "Nimeonja utamu wa Yesu!". Yesu si akachukia akamtelemsha. Rose akaanza kulia akasema "Kumbe ndivyo ulivyo ndivyo ulivyoo!!

Chezea Rose wewe?
 
My girlfriend left a note on the fridge "It's not working. I can't take it anymore. I am going to my Mom's place"
I opened the fridge. The light came on. The beer was cold... What the hell is she talking about?

Lazima usome mara mbili hii ndo uelewe btw hahahahahahaha.....
 
Wazo la leo: hata uwe shabiki kiasi gani wa Diamond huwezi kukubali kua na Domo ka lake..!
 
DUA YA KUSOMA UKIWA NA NJAA KALI!

Yaa kabab fil chips kuku minal sosegi, Ya sambusa wali chapati roast maini, Innal pilau wali biriani ya mishikaki, Fil wali nazi maharage, kitumbua fil kalmat, Ya maziwa fil ice cream Wa innal juice bariiiid. AMIIIN.
 
WAZO LA LEO

"Ni ujinga kumwambia mtu "I Love U" na kung'ang'ania jibu wakati hilo sio swali!"
 
KIAPO

...Mimi ninaesoma sms hii nikiwa na akili timamu bila kulazimishwa na mtu yoyote, naahidi kuwa aliyenitumia sms hii nitampenda na nitahakikisha hakosi salamu, sms zangu kila mara, akibip nitampigia, wala haitapita wiki bila kumtumia vocha, na hata nikiwa na salio kwenye M-pesa nitamtumia, always AMEN.
 
Rose Muhando baada ya kutembea sana akachoka alimwambia Yesu "Nibebe nibebe nibembeleze nibebe mikononi mwako niwe salama!". Yesu alipombeba Rose akaanza kucheza "Nimeonja utamu wa Yesu!". Yesu si akachukia akamtelemsha. Rose akaanza kulia akasema "Kumbe ndivyo ulivyo ndivyo ulivyoo!!

Chezea Rose wewe?

dah!teh teh teh teh
 
Jamaa walikuwa wanapiga stor,mambo yakawa iv'Semeni yoote mwisho ni kwa kikwete ninomaaa yaaan anatisha .mpita njia kauliza kafanya nini rais we2.jamaa si kakubali kule yukei hivyo kasain.Hayaa tumeolewa.
 
SWAGA ZA AFANDE

Sikia swaga za afande anapomsomesha demu:

Unajua nakuthamini zaidi ya rushwa na posho, bila ya wewe mimi siwezi kuishi ni sawa na kukosa bunduki eneo la tukio, nakuheshimu kama LINDO, wewe ndio IGP wa moyo wangu... mbona uko kimya? nina RB ya penzi lako, nijibu nifungue jarada lako ndani ya moyo wangu. Usifanye moyo wangu ukaenda mbio kama DIFENDA MPYA, nakuhakikishia nitakuwekea usalama kama MSAFARA WA RAIS, usiniweke roho juu kama MAANDAMANO YA CHADEMA!
 
Back
Top Bottom