Tabrett
JF-Expert Member
- Jun 5, 2013
- 521
- 338
Ha ha ha haaaaaaaaaaaaa!Jamaa mmoja alienda kuomba kazi ya ulinzi
Bosi: Umesoma?
Jamaa: Ndio!
Bosi: Unajua kuongea kiingereza?
Jamaa: Kwani wanaokuja kuiba ni WAZUNGU?
Bosi hoi
Ha ha ha haaaaaaaaaaaaa!Jamaa mmoja alienda kuomba kazi ya ulinzi
Bosi: Umesoma?
Jamaa: Ndio!
Bosi: Unajua kuongea kiingereza?
Jamaa: Kwani wanaokuja kuiba ni WAZUNGU?
Bosi hoi
duu nimecheekaZuzu alikuwa anaumwa. Akaamua kuweka picha ya Daktari kwenye ukuta wa chumba anacholala.
Akaulizwa na Mama yake: "kwa nini umeweka picha ya Daktari ukutani?"
Zuzu akamjibu: "Nimeambiwa maumivu yakizidi nimuone Daktari!"
hii kalii yaomtoto: baba baba sheli inaunguwa
baba: kwa mshtuko akauliza sheli gani
mtoto; sheli na bela sheli na ngai ai mama
baba: pambafu
Zuzu alikuwa anaumwa. Akaamua kuweka picha ya Daktari kwenye ukuta wa chumba anacholala.
Akaulizwa na Mama yake: "kwa nini umeweka picha ya Daktari ukutani?"
Zuzu akamjibu: "Nimeambiwa maumivu yakizidi nimuone Daktari!"
SIMU YA MCHINA
Njia ya kujua simu ya mchina
- Betri inajaa baada ya dakika 3
- Ina TV, tochi, mswaki, kiberiti cha kuwashia sigara
- Ndege ikipita inaandika 1 MISSED CALL
- Karibu na jiko inaandika CHARGER CONNECTED
- Ukipita karibu na mchina MWENYEWE inaonyesha NEW DEVICE FOUND