SALAMA JABIR NA MIKASI
Salama Jabir sijui ana MATATIZO gani. Kila AKIMUHOJI mtu lazima AFE. Kamuoji KANUMBA kafa. Kamuoji SHARO kafa. Kamuhoji SAJUKI kafa. Kamuoji MARIAM KHAMIS kafa.Kamuhoji NGWAIR kafa. Kweli ule MKASI wa WASANII na utawakata wote mpaka waishe.
Vipi nimpe NAMBA yako nawe AKUHOJI?
please read my signaturenani mwenye makosa?
Mwanamke aliyelala na mumewe akawa anaota, ghafla akapiga makelele, "jifiche mume wangu kaja", au mumewe aliyesikia hivyo akanyakua nguo na kukimbia akidhani amelala na mke wa mtu? Nahitaji mawazo yako.
Jamaa mmoja alienda kuomba kazi ya ulinzi
Bosi: Umesoma?
Jamaa: Ndio!
Bosi: Unajua kuongea kiingereza?
Jamaa: Kwani wanaokuja kuiba ni WAZUNGU?
Bosi hoi
MC anamsifia Bi. Harusi
"Sasa nawapa sifa kubwa ya Bibi harusi. Tangu namfahamu huwa havai nguo za ndani!"
Watu wakaduwaa
MC "Narudia tena kwa msisitizo na sijakosea. Bi. Harusi huyu huwa havai kabisa nguo za ndani. Yeye anavaa za kutoka Italy, England na USA. Si za Tanzania. Hebu mshangilieni!"
Kila mtu "Ahaaaaaa...!"
hata kama hakujiumba,habari ndo hyoHakujiumba mwenyewe, acheni ushamba wa personal attack, mind ur businness
teh teh teehDINI IMANI BWANA:kuna jamaa aliingia msikitini na panga akakuta watu wanaswari,akauliza oya kuna muislam humu ndani,watu wote kimya akamchukua mmoja akaenda nae nje kumbe alikua anataka akamchinjie mbuzi,baada ya muda kidogo akarudi na panga lenye damu akauliza tena kuna muislam humu ndani jamani,watu wote mikono kwa shehe anaye swalisha,shehe nae akasema hivi jamani kuswalisha siku mbili tu mnaniita mwislam mie mwenyewe najifunza jamani,mwenyepanga akasema hivi nilikua ntaka wa kusaidia kuchuna ngoz ya mbuzi maana mwezenu kachinja,wote ahhhh,kisa panga unaikataa din duh
Mbavu zangu miyeeeeeeeeeeeee!:israel:Mlevi mmoja alizamishwa majini akibatizwa ikawa hivi:
Mchungaji: Tangu sasa hautaitwa RAHIM utaitwa YOHANA, umekuwa kiumbe kipya.
Mlevi akaondoka, alipofika nyumbani akachukua bia moja akaizamisha kwenye ndoo akasema "Tangu sasa hautaitwa CASTLE LAGER bali utaitwa FANTA ORANGE". Akainywa.