SMS hizi! Ungefanyaje?

SMS hizi! Ungefanyaje?

mtu na mkewe wamelala katikati ya usiku mke akakurupuka! "Wewe amka! tena uondoke mume wangu anakuja" mara mume ghafla akakurupuka akanyakua nguo na kurukia dirishani! Mara akakumbuka kumbe leo nimelala nyumbani!! KWA MAONI YAKO NANI MSALITI WA MWENZAKE??
________________________________________________________________________________________________

Ilikuwa mara ya kwanza bi mkubwa wa kichaga kujivinjari hotelini, basi akajikuta ameketi karibu na wazungu, Waiter alipofika na kuulizia awahudumie nini... Mzungu wa kwanza mwanaume akajibu JOHN WALKER-SINGLE.... Wa pili akaagiza CAPTAIN MORGAN-SINGLE, wa tatu ambaye alikuwa mwanamke akasema JACK DANIEL-SINGLE.. Bi mkubwa alipotazamwa hata kabla ya kuulizwa kitu akajidai wa mjini kitambo akasema AIKAELI MASSAWE-MARRIED.
 
Nimeiona: mtoto alikuwa anaoga akicheza na baba yake, alipomrukia babaye shingoni akateleza kabla ya kuanguka akadaka uume...mtoto akamshukuru baba. Baba akamwambia una bahati, ungekuwa na mama yako ungekoma!
 
dushelele ya dulla
mhudumu wa mochwari alipokea maiti ya kiume ina bonge la dushelele, akaamuaaikate hiyo dushe ili akamwoneshe mkewe jinsi marehemu alivyokuwa kajaaliwa !! mkewe kuiona tu akaangua kilio uuu yani Dula kafa...!
 
Uvumilivu Umenishinda

Habari yako. Uvumilivu umenishinda, kuna kitu umekifanya kimenikera kweli...!! Nimeambiwa habari zako, yaani sikuamini...! mpaka sasa hainiingii akilini, naona kama naota vile! lakini hizi ni habari toka kwa mtu ninayemuamini sana. Nikaona nikuulize mwenyewe kwa sababu labda ni chuki binafsi kuchafuliana majina. Sasa naomba uwe muwazi na mkweli uniondoe katika utata huu na kurudisha heshima yako. eti ni kweli UNATEMBEA na simu yako?
pumbavu
 
Kuna SMS nyingi zimekuwa zikitumwa zenye vituko. Tupia yako hapa. Baadhi ni:

****************************
Mke: Naomba tuongee mume wangu
Mume: Ongea
Mke: Ni kuhusu huyu house girl wetu
Mume: Hilo ni tatizo lako, halinihusu
Mke:Ana mimba
Mume: Hilo ni tatizo lake, halinihusu
Mke: Kasema ni yako
Mume: Hilo ni tatizo langu, halikuhusu

****************************

Jamaa alikuwa anasafiri kwenda ulaya, akamwambia dereva wake ampeleke airport. Wakiwa njiani akakumbuka kuna document amesahau, akamwamuru dereva ageuze gari. Alipofika nyumban akamkuta mkewe akiwa bafunianaoga, akaamua kumnyemelea na kumshika kiuno. mke akiwa na mapovuusoni akalitaja jina la dereva, "We Hancy, umeshamfikisha yule ms**ge Airport? Acha nikuoshee utafaidi mwezi mzima. Je, ungekuwa wewe ungefanya nini?

****************************
Maongezi ya mama mkwe na binti wa kileo
Mama mkwe: Binti samahani lakini, kusema ukweli mtoto hafanani na kijana wangu
Binti: Bila samahani mama, huku chini nina njia ya uzazi na sio mashine ya photocopy! Tena ukome kunifatilia

****************************
Leo watoto kuanzi miaka mitatu kushuka chiniwameandamana kuelekea ustawi wa jamii kudai kuibiwa jina kao la BABY na kupewa watu wazima na mindevu yao na matiti yao wanaitana BABY. Vipi wewe unahusika na unyanyasaji huo?

****************************

Mapendhi kidhungu dhungu
 
[QUOTEamaa: Unasoma?
Demu: Hapana sisomi, vipi wewe unasoma?
Jamaa: Ndo nipo form 4 Jangwani
Demu: Jamani hiyo si shule ya wasichana?
Jamaa: Ah! sorry nimechanganya nipo Kisutu
Demu: Mwee mbona nayo ya wasichana
Jamaa: Haa! Nilikuwa nakutania nachukua PhD IFM
Demu: Mh! Ina maana IFM imeanza kutoa PhD?
Jamaa: Ishia zako. Demu mwenyewe hulipi wala nini! Unauliza maswali kama tupo uhamiaji? KWA TAARIFA YAKO NACHUKUA DEGREE YA UDAKTARI CBE! [/QUOTE]

hII NIMEIKUBALI MBAYA TE TE HE
 
Haaaaaaaahaaaaaaaaahaaaaaaaa mkuu hiyo ni nomaaaaaaaaa!!!!!!!!!
 
Wanandoa na wapenzi waliodumu zaidi ya miaka 20 wamebainika kuwa na ugonjwa wa KISUKARI. utafiti unaonyesha kuwa wanaugua ugonjwa huo kwa sababu ya majina wanayojiita, kama vile my HONEY, my SWEET, my SUGAR, my BANANA, my hot CHOCOLATE. Mkinge mpenzi wako na KISUKARI kwa kumwita my PIRITON, my CHOLOROQUINE, my CHILL SAUCE, my SHUBIRI. Imetolewa na WIZARA YA YA WAPENDANAO.

Imetolewa na wizara ya mavi na mashuzi ya ghafla na utalii ktk chupi za kike.
 
Jamaa aliopoa shoga na kwenda kudo nae, wakati wa game yule shoga akaharisha. Jamaa akakasirika sana akaanza kumchapa makofi, shoga akaanza kulalama, " we dula unanionea kwa sababu mimi ndo nimeanza kukojoa. "
 
Mchaga mmoja alikua katika shuguli zake za kumwagilia mboga ghafla akadumbukia kisimani akapiga yowe mkewe akaja akamwagiza aende fasta dukani kununua kamba aje amrushie ajiokoe. Punde mkewe akarejea na kumrushia ila kabla hajapanda akamuuliza mkewe kanunua wapi, mkewe akamjibu kwa shirima buk 1500, dah jamaa akahamaki akamwambia arudishe fasta akanunue kwa chuwa shs 500.
 
Je wajua kuwa vitu vitamu huanza na herufi "K"?
Mfano keki, kiazi, kitumbua, kacholi, kalimati, kababu, kachumbari, karanga nk,
na hicho unachowaza wewe kichwani mwako ni kikubwa na kitamu zaidi ya vyote.
Sio kingine soma hapo chini
Najua hata ww unakijua.


"KUKU"

Alafu uache tabia ya kuwaza matusi Ww!

vipi kuhusu sukari,asali??..
 
Mhindi alienda ofisi za ATC kwa ajili ya kuulizia tiketi ya kwenda BombayMhindi: Kufika Bombay nachukua dakika ngapi?Mhudumu: (Akiwa anaongea na simu) Just a minuteHaraka akampigia simu mke wake na kumwambia "Huwezi kuamini mama Kanjibai, ATC is the fastest flight, nachukua JUST A MINUTE kufika Bombay"
 
Mwalimu: Mjumbe wa nyumba kumi anaitwaje kwa kiingereza?Nunda: Ambassador of house ten ten
 
Mtoa pepo: Pepo TOKA?Pepo: Sitoki!Mtoa pepo: (kwa ukali zaidi) Nimesema TOKA!Pepo: Nimesema sitokiMtoa pepo: Kwa nini hutoki?Pepo: Kwa sababu nimemwandalia ushindi wa bahati nasibu shs milioni 50 huyu mtu, akishapata nitatokaMtoa pepo🙁Kwa sauti ya upole) Kama ndiyo hivyo basi toka kwake uje kwangu
 
PESA INA MAJINA MENGI SANA
  • Kwenye Ibada Sadaka /zaka
  • Kwenye Misiba inaitwa Rambirambi
  • Kwenye Mashuleni/ Vyuoni inaitwa ada /Karo
  • Kwenye vyombo vya Usafiri inaitwa Nauli
  • Kwenye kudai upendeleo Mahakamani au POLISI inaitwa Rushwa Hongo.
  • Kwenye Kumdhamini Mtu Mahakamani au POLISI inaitwa Dhamana
  • Kwenye Mapenzi pesa inayotolewa kununua / kulegeza / kulinda Penzi inaitwaje?
 
Mchaga mmoja alikua katika shuguli zake za kumwagilia mboga ghafla akadumbukia kisimani akapiga yowe mkewe akaja akamwagiza aende fasta dukani kununua kamba aje amrushie ajiokoe. Punde mkewe akarejea na kumrushia ila kabla hajapanda akamuuliza mkewe kanunua wapi, mkewe akamjibu kwa shirima buk 1500, dah jamaa akahamaki akamwambia arudishe fasta akanunue kwa chuwa shs 500.
Duuuh huyo noumer
 
PESA INA MAJINA MENGI SANA
  • Kwenye Ibada Sadaka /zaka
  • Kwenye Misiba inaitwa Rambirambi
  • Kwenye Mashuleni/ Vyuoni inaitwa ada /Karo
  • Kwenye vyombo vya Usafiri inaitwa Nauli
  • Kwenye kudai upendeleo Mahakamani au POLISI inaitwa Rushwa Hongo.
  • Kwenye Kumdhamini Mtu Mahakamani au POLISI inaitwa Dhamana
  • Kwenye Mapenzi pesa inayotolewa kununua / kulegeza / kulinda Penzi inaitwaje?
Inaitwa HONGO tehe tehe
 
Mchaga mmoja alikua katika shuguli zake za kumwagilia mboga ghafla akadumbukia kisimani akapiga yowe mkewe akaja akamwagiza aende fasta dukani kununua kamba aje amrushie ajiokoe. Punde mkewe akarejea na kumrushia ila kabla hajapanda akamuuliza mkewe kanunua wapi, mkewe akamjibu kwa shirima buk 1500, dah jamaa akahamaki akamwambia arudishe fasta akanunue kwa chuwa shs 500.
Hahahaaa mchaga halisi
 
Back
Top Bottom