SMS chochezi: Timu ya IT ya Miraji Kikwete yaanza kazi

Ipo mitandao mingi ambayo unaweza kutuma TXT message bila ku-display namba e.g. www.sendsmsnow.com. Vilevile softphone ambazo zinatumia VoIP (Voice over Internet Protocol) kama vile www.poivy.com. Unaweza kuwa UK lakini unasajiri namba ya India au Russia.

Hata Chadema wakiamua kufanya hivyo wanaweza kwa kuwa naamini ina wataalamu wengi wa IT all over the world. But hicho kitendo cha kugombanisha watu is TOO LOW na wala si cha muhimu katika kutunza amani nchini mwetu. Hata Robocalls CHADEMA wakipenda kwa ajili ya kuhamasisha upigaji kura, wanaweza kuwasiliana nami. Nitafanya Free kama mchango wangu katika mageuzi nchini.

Kama mnaweza ku-forward hiyo TXT message indumeyene@jamiiforums.com ninaweza kukupa exactly location ya mtumaji. Hawa hatu lazima tuwaumbue kwa uchafu wao.
Mkuu indumeyene namba ni hii hapa
+3588976578

Na hivyo sioni sababu kwa nini watu wakutumie email. Njoo na jibu tu.
 
mimi nimetumiwa ujumbe huo leo jioni kwa namba nyingine ambayo ni:-

+3588108226

Huenda hizi ni namba za uarabuni au kama ni za hapa nchni TCC ni lazima wamehusishwa katika kasfa hii.

Mimi nimewajibu na kusema GO TO HELL...........Simcheleweshi juha akafikiri nami ni juha vilevile
 
Watu wa ajabu sana. Siku zote Emails na SMS zinasambazwa za kumpigia debe Slaa zinaenezwa na watu waliojazana Kimara na Mbezi hamkuona tatizo. Ila tatizo ni pale CCM inapojibu mapigo right?

Halafu upumbavu mwengine, kutuma SMS za propaganda haihitaji utaalamu wowote wa IT. Huu ni ujinga uliovuka mipaka ya ujinga!

Tumia akili yako vizuri wewe sio unakurupuka tu!!

, SMS nyingi za Dr. Slaa wanazianzisha wapenzi au mashabiki wake na wanazituma kwa kila mtu wanayemjua tena wanaofahamiana then kila anayepokea kwa mapenzi yake mwenyewe anatuma kwa rafiki zake anaofahamiana tu and the list goes on.

Hawa wamekurupuka na namba moja tu tena inatoka nje ya nchi!!!!!
 
mimi nimetumiwa ujumbe huo leo jioni kwa namba nyingine ambayo ni:-

+3588108226

Huenda hizi ni namba za uarabuni au kama ni za hapa nchni TCC ni lazima wamehusishwa katika kasfa hii.

Mimi nimewajibu na kusema GO TO HELL...........Simcheleweshi juha akafikiri nami ni juha vilevile

CCM ni kawaida yao kuonyesha mikanda ya video ya vita vya kuwatisha watu. Sasa wameanza na sms za kutishia watu vita. CCM ni mafia, mafisadi, waongo, wazandiki, ni chama kilichojaa kila kitu kichafu unachoweza kufikiria. JK anataka sana urais kwa kila hali- he is desperate, anakimbilia sana ikulu wakati hafai kabisa. Ndio hawa aliosema Nyerere wanakimbilia ikulu. Hili suala la sms za kutishia watu Chadema lifanyieni kazi haraka sana na mlitolee ufafanuzi haraka na tumieni sms ili kurekebisha hali. Lazima ku-counter sms za vita kama hizi. Hawa CCM wana mambo ya kishetanishetani tu. Mungu ibariki Tanzania tuondelee haya majitu.
 
It is True namimi nimepata hiyo msg, je Dr. Slaa anatakiwa afanye nini maana hiyo message siyo ya kuiacha ieneze hiyo sumu, yes watu wanahitaji mabadiliko lakini kuna wengine roho nyepesi wakisoma hiyo msg na wakilinganisha na zile picha CCM wanasambaza za Somalia na Sudani na zile kauli za mnadhimu wa jeshi zinaweza kuwachanganya. La muhimu Dr atoe maelezo kwenye vyombo vya habari ili watu waelewe kuwa hizo ni njama za CCM. Ikiwezekana basi Chadema nanyi mkalipie sms tigo na zain najua voda ya Rostam hatawakubalia mlipie ili mtoe counterpart ya hiyo msg.
 
wanatuma zaidi kwa vodacom, nadhani Rostam Aziz anatumia hisa zake huko Vodacom
 
\

nafikiri huu ndio muda muafaka wa kuwajibu kwenye kura badala ya mabishano kwenye mobile ama internet.....saa ya ufufuo na uzima ??saaa ya ufufuo na uzima...
wameshindwa wameshindwa wameshindwa kabisa....hawaweziwawezihawawezi kabisa saa ya ufufuo na uzima.....polesana sheikh yahya shuguli imeanza...hatutakiwi kuongozwa na mapepo bali na chaguo la mungu si chaguo la majini
Siku nyingine mpe heshima kubwa kwa kuanza na capital M
 
Mkuu, safi sana sana.

Naomba members kama Mwikimbi mwenyewe na wengine waliopata huu ujumbe basi watume kwako haraka na ikiwezekana basi jitu lifunuliwe limejificha wapi. Kama ni huyu SHOGA Miraji sijui kakaa hapo kwao na anafikiri kajificha basi aumbuliwe na ikibidi CHADEMA waingilie kati kutoka hapo. Mengine nafikiri kwa kuwa wana washauri wa IT basi watawajulisha nini wakifanye.
Mkuu unapotoka sasa
 
Leo wamesha nifuata watu watatu wakilalamika kupokea msg hizo. Tena kupitia mtandao wa voda. Inaelekea Voda wako katika mtandao huu wa kusambaza msg hizi. Kama kuna mtandao tofauti let us know, lakini niliopata malalamiko toka kwao ni wale waliopokea toka Voda. Lazima wabanwe na kushitakiwa kwa kutumika kukashfu watu na kuvunja amani.

Pia nina suspect ni mbinu za wakina Shimbo ili ionekane kwamba zile alizokuwa akiita taarifa za kiinteligensia ndio hizi. Kwani nchi yetu ina inteligensia bado?
 
Watu wa ajabu sana. Siku zote Emails na SMS zinasambazwa za kumpigia debe Slaa zinaenezwa na watu waliojazana Kimara na Mbezi hamkuona tatizo. Ila tatizo ni pale CCM inapojibu mapigo right?

Halafu upumbavu mwengine, ........... Huu ni ujinga uliovuka mipaka ya ujinga!

Arse hole!! weye ndo mjinga !!Ku*@*%#+ zako!
 
Huu ni upuuzi mtupu,mimi tayari nimetumiwa sms hiyo.Wajue wazi watz wameshabaini mbinu hizi chafu dhidi ya Dr Slaa,na wameshajua pumba na mchele ni upi.Binafsi SIDANGANYIKI kura yangu ni kwa Slaa(PhD)na CHADEMA!

Crap
 
Kwa kuwa huu ni uchochezi wa dhahiri, akamatwe yeye na kundi lake na ashitakiwe kwa kuhatarisha amani ya nchi kwa faida ya familia yake. Kinachoonekana sasa hivi suala la urais wa kikwete ni la kifamilia zaidi kuliko inavyopaswa kuwa ni la chama.

Afuatiliwe mtu mwenye no hiyo na afikishwe mahakamani.

Una uhakika na unalosema?
 
Ipo mitandao mingi ambayo unaweza kutuma TXT message bila ku-display namba e.g. www.sendsmsnow.com. Vilevile softphone ambazo zinatumia VoIP (Voice over Internet Protocol) kama vile www.poivy.com. Unaweza kuwa UK lakini unasajiri namba ya India au Russia.

Hata Chadema wakiamua kufanya hivyo wanaweza kwa kuwa naamini ina wataalamu wengi wa IT all over the world. But hicho kitendo cha kugombanisha watu is TOO LOW na wala si cha muhimu katika kutunza amani nchini mwetu. Hata Robocalls CHADEMA wakipenda kwa ajili ya kuhamasisha upigaji kura, wanaweza kuwasiliana nami. Nitafanya Free kama mchango wangu katika mageuzi nchini.

Kama mnaweza ku-forward hiyo TXT message indumeyene@jamiiforums.com ninaweza kukupa exactly location ya mtumaji. Hawa hatu lazima tuwaumbue kwa uchafu wao.

Mimi nimepokea ujumbe sasa hivi unasema " Slaa ni mropokaji na mgomvi anatukana vyombo vya ulinzi na usalama. Anataka damu imwagike ili mradi aingie Ikulu. Tumkatalie kuigeuza nchi yetu Somalia" inatoka kwenye number : +3588108226
 
Vyombo vya usalama alivyovitukana Dr Slaa ni vipi?Kuna mwenye taarifa ama data?Naomba mwenye nazo atuwekee hapa.
 
Wakuu inawezekana hii namba ikawa inafanya roaming. kwa wale walioipata watusaidia kujua Message center namba, hapo tuajua imekuwa attached kwenye Network gani ya hapa nchini
 
WANDUGU LEO ASUBUI NIMEPATA SMS TOKA +358897578, ZINZOMKASHIFU DR. SLAA, ZIMEANDIKWA HIVI; slaa ni mropokaji na mgomvianayelumbana na vyombo vya ulinzina usalama wa nchi, anataka damu imwagike ili mradi ashinde. tusikubali nchi yetu iwe kama burundi....

sasa ninajaribu kujua namba hii ni ya mtandao gani, kwa sasa nipo moshi , najua na wengi mmepata sms hizi. naomba mwenye kuelewa huu ni mtandao gani na uko nchi gani tujue.

isije ikawa kuna nchi zimeamua kuingilia uchaguzi wetu

pili, huwa napata sms za kuisifu ccm toka mitandao yote ya voda na tigo, naomba wanasheria wanisaidie kwani nataka kuwashtaki tigo na voda kwa kutoa namba yangu ya simu bila ridhaa yangu, pengine nitawaunganisha na TCRA kwa kuwa zoezi la kusajili namba za simu halikuwa na maana ya kuanza kutoa namba za watu ili waanze kupelekewa sms za matusi kama hayo juu. naomba kama kuna wanasheria makini huku wani sms nianze mapema mchakacho wa kuwashtaki hawa

hata mimi asubuhi nimepata message kama hiyo kutoka namba hiyohiyo,na nimejaribu kureply imegoma kwenda sasa mimi nasema message zao haziwezi kubadilisha akili yangu damn!
 
Wakuu inawezekana hii namba ikawa inafanya roaming. kwa wale walioipata watusaidia kujua Message center namba, hapo tuajua imekuwa attached kwenye Network gani ya hapa nchini

message center number ni +255780000030 nadhani ni ya hapa nchini
 
Back
Top Bottom