SMS chochezi: Timu ya IT ya Miraji Kikwete yaanza kazi

Ndugu zangu Ile timu ya kijana Miraji Kikwete na wa IT wake wameibuka na mbinu ya kutuma SMS kwa kila mtu anayemiliki simu ya mkononi ili kumfanya Mh Slaa asikubalike kwa wananchi, Moja ya sms hizo ambazo zipo njiani zinakuja ni nii..

Sms kutoka No. +3588976578
Slaa ni mropokaji na mgomvi anayelumbana na vyombo vya ulinzi na usalama vya nchi. Anataka damu imwagike ili mradi ashinde. Tusikubali nchi yetu iwe kama Burundi, Congo au Somalia. Hana uwezo wala sifa ya kuwa Rais. Tumuepuke Slaa kama ukoma, Tusidanganyike.

Kwa muono wangu huu ni uchochezi, na tusikubali kuingizwa katika chuki zidi ya mgombea wetu

Hii sms ni sawa na kelele za chura hazimzui tembo kunywa maji. Ingekuwa wame - hack NEC system ningestuka sana. Na huu ni uchochezi kwa sasa namba zimesajiliwa hivyo itabidi Chadema wamshitaki mwenye namba hiyo baada ya kui-track. Ikishindikana TCRA watawajibika!
 
Ndugu zangu Ile timu ya kijana Miraji Kikwete na wa IT wake wameibuka na mbinu ya kutuma SMS kwa kila mtu anayemiliki simu ya mkononi ili kumfanya Mh Slaa asikubalike kwa wananchi, Moja ya sms hizo ambazo zipo njiani zinakuja ni nii..

Sms kutoka No. +3588976578
Slaa ni mropokaji na mgomvi anayelumbana na vyombo vya ulinzi na usalama vya nchi. Anataka damu imwagike ili mradi ashinde. Tusikubali nchi yetu iwe kama Burundi, Congo au Somalia. Hana uwezo wala sifa ya kuwa Rais. Tumuepuke Slaa kama ukoma, Tusidanganyike.

Kwa muono wangu huu ni uchochezi, na tusikubali kuingizwa katika chuki zidi ya mgombea wetu

Huu ni upuuzi mtupu,mimi tayari nimetumiwa sms hiyo.Wajue wazi watz wameshabaini mbinu hizi chafu dhidi ya Dr Slaa,na wameshajua pumba na mchele ni upi.Binafsi SIDANGANYIKI kura yangu ni kwa Slaa(PhD)na CHADEMA!
 
Mambo yapo makubwa yanakuja,tutasikia mengi sana na mwisho wake member hapa jf tutabaki wachache sana kwani walio wengi watatimka mara baada ya matokeo kutangazwa
 
Jamani watu hawa wakidhamiria kweli tutapoteza kura nyingi kama tusipolikabili jambo hili mapema, chakufanya ni IT members wa CHADEMA kwenda kwenye mashirika yote ya cm hasa voda na tigo na zain, kutoa maelezo ambayo yataizuia hii sms isipite kwa faida ya watu na c chama, hawa wanatumia computer kuptia shirika la cm lililopendekezwa watatuma kupitia matandao, au kuanzia sasa, CHADEMA waende kwenye mashirika hayo watoe sms nyingi ya kuzuia watu wasiukubali ujumbe wowote wakuleta uchochezi au kuwachagulia viongozi end moth 2010.
Wana JF fanyeni muwezali mtume e mails kupitia portals za cm nilizo zitaja hapo juu ili kuusabaza ujumbe huu kwneye cm za watu mbalimbali popote walipo tz,
""Mungu si mwanadamu aseme uongo wala si mtu hata ajute, akisema ndiyo mwanadamu ninani aseme hapana, akisema ndiyo mtu ninani""
 
Hata mimi nimeipata asubuhi hii nimewambia vodacom wasiponiambia imetoka kwa nani lazima niwapeleke polisi
 
hata mimi nimeipata asubuhi hii nimewambia vodacom wasiponiambia imetoka kwa nani lazima niwapeleke polisi
good mi tafadhali wasinitumie kabisaa. Tigo na voda tafadhali block hiyo namba kwangu, msg ikija tu nitawahama
 
Mambo yapo makubwa yanakuja,tutasikia mengi sana na mwisho wake member hapa jf tutabaki wachache sana kwani walio wengi watatimka mara baada ya matokeo kutangazwa

Kumpa kura mgombea mwenye ugonjwa wa kuanguka anguka na kupoteza fahamu ni hatari kwa nchi, na wewe utakayefanya hivyo ni mpuuzi
 
Database ya namba za simu wanatoa kwa nani? Haya mashirika ya simu lazima nao wabanwe!!!! Yale yale ya changia CCM?
 
Kumpa kura mgombea mwenye ugonjwa wa kuanguka anguka na kupoteza fahamu ni hatari kwa nchi, na wewe utakayefanya hivyo ni mpuuzi

Tena hii wataje na Jina kabisa kuwa kikwete anaanguka anguka
 
mashirika ya cm yasikubali uchafu huu upite kwenye mitandao yao.
 
Watu wa ajabu sana. Siku zote Emails na SMS zinasambazwa za kumpigia debe Slaa zinaenezwa na watu waliojazana Kimara na Mbezi hamkuona tatizo. Ila tatizo ni pale CCM inapojibu mapigo right?

Halafu upumbavu mwengine, kutuma SMS za propaganda haihitaji utaalamu wowote wa IT. Huu ni ujinga uliovuka mipaka ya ujinga!
 
Mimi nimepata SMS lakini kwa kweli nime-ignore...

Hata hivyo Dr. Slaa analipa alichopanda, Amri Jeshi Mkuu mtarajiwa huwezi kujadili vyombo vya usalama kwenye majukwaaa .... that was tooo cheap!!!
 
Watu wa ajabu sana. Siku zote Emails na SMS zinasambazwa za kumpigia debe Slaa zinaenezwa na watu waliojazana Kimara na Mbezi hamkuona tatizo. Ila tatizo ni pale CCM inapojibu mapigo right?

Halafu upumbavu mwengine, kutuma SMS za propaganda haihitaji utaalamu wowote wa IT. Huu ni ujinga uliovuka mipaka ya ujinga!

Wewe umechoka kiakili, yaani huwezi kuona msg hii ya ccm inauchochezi?, M-p-u-m-b-a-v-,,u!, wao wanatakiwa watume messeji za sera si uchochezi.
 
upumbavu ni upmbavu tu wala hauondolewi kwa elimu,
hiyo famulia ya miraji tangu baba mpaka watoto ni vilaza tu
 
Halafu upumbavu mwengine, kutuma SMS za propaganda haihitaji utaalamu wowote wa IT. Huu ni ujinga uliovuka mipaka ya ujinga!
Another ndondocha la Shekhe Yahya kwa CCM yamefanywa bila yenyewe kujijua.
 
Hatoki mtu safari hii!! Kula CCM KURA KWA CHADEMA nyambaf kabisa huyo sijui MIraji sjui nani atashangaa mwisho wa OCt 31. CHADEMA OYEEEEE
 
Ndugu zangu Ile timu ya kijana Miraji Kikwete na wa IT wake wameibuka na mbinu ya kutuma SMS kwa kila mtu anayemiliki simu ya mkononi ili kumfanya Mh Slaa asikubalike kwa wananchi, Moja ya sms hizo ambazo zipo njiani zinakuja ni nii..

Sms kutoka No. +3588976578
Slaa ni mropokaji na mgomvi anayelumbana na vyombo vya ulinzi na usalama vya nchi. Anataka damu imwagike ili mradi ashinde. Tusikubali nchi yetu iwe kama Burundi, Congo au Somalia. Hana uwezo wala sifa ya kuwa Rais. Tumuepuke Slaa kama ukoma, Tusidanganyike.

Kwa muono wangu huu ni uchochezi, na tusikubali kuingizwa katika chuki zidi ya mgombea wetu
Hiyo country code ni ya Finland. Nimejaribu kupiga ikawa inaita, halafu ikakatwa. Kupiga tena ikawa engaged.
 
mwaka huu kazi kweli kweli, hadi ifike 31 oktoba 2010 tutaona na kusikia mengi tu!! Hii namba iliyotuma ujumbe yaonekana si ya hapa nchini, ina maana mtumaji message anaishi huko nje au yuko hapa nchini kwenye roaming akaunt? hivi +358 ni suffix ya nchi gani?

finland
 
atudanganyiki kweli ccm maji yapo shingoni zote hizi ni dalili tosha kabisa
 
Back
Top Bottom