SMS chochezi: Timu ya IT ya Miraji Kikwete yaanza kazi

Chadema imeanza kusambaza ujumbe wa sms kwa kutumia namba feki ya TIGO. ujumbe ulikuja kama ifuatavyo:

+255719780033:
'TAFATI SIO MATOKEO WATANZANIA PIGENI KURA KWA DR SLAA TAREHE 31 OCT TUWAONYESHE TAFATI YA UKWELI RAIS MPYA TAIFA JIPYA CHADEMA MWENDO MDUNDO USIDANGANYIKE'

Hivi nyie vyama vya siasa mmeamua simu zetu kuwa dampo la porojo na propaganda zenu eeeeh. hebu shikeni adabu, acheni kutumalizia memory capacity kwenye simu zetu.

halafu kwa nini mnatumia namba feki au kwa kitaalamu zaidi "Dummy Number" ?

walianza CCM na namba ya nje sasa CHADEMA na Dummy number ya hapa hapa...!!!

TCRA ninaamini hairuhusiwi ujumbe kutumwa bila valid number or valid ID. washughulikieni hivi vyama tafadhali vinginevyo hizi siku 18 zitakua ngumu sana kwetu raia na watumiaji wa simu za mkononi.

mmmmh vinginevyo CUF nao wataanza, sasa vyama vyooooote 18 vikianza patakalika hapa kweli????

Pleaseeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee TCRA - do something for subscribers sake.
 
walipotuma CCM ulikenua meno, leo umepata ya Chadema, unaweweseka, hiyo ndo habari, jino kwa jino, hao wataalamu wa CCM ndio haohao wa Chadema
 
Chadema imeanza kusambaza ujumbe wa sms kwa kutumia namba feki ya TIGO. ujumbe ulikuja kama ifuatavyo:

+255719780033:
'TAFATI SIO MATOKEO WATANZANIA PIGENI KURA KWA DR SLAA TAREHE 31 OCT TUWAONYESHE TAFATI YA UKWELI RAIS MPYA TAIFA JIPYA CHADEMA MWENDO MDUNDO USIDANGANYIKE'

Hivi nyie vyama vya siasa mmeamua simu zetu kuwa dampo la porojo na propaganda zenu eeeeh. hebu shikeni adabu, acheni kutumalizia memory capacity kwenye simu zetu.

halafu kwa nini mnatumia namba feki au kwa kitaalamu zaidi "Dummy Number" ?

walianza CCM na namba ya nje sasa CHADEMA na Dummy number ya hapa hapa...!!!

TCRA ninaamini hairuhusiwi ujumbe kutumwa bila valid number or valid ID. washughulikieni hivi vyama tafadhali vinginevyo hizi siku 18 zitakua ngumu sana kwetu raia na watumiaji wa simu za mkononi.

mmmmh vinginevyo CUF nao wataanza, sasa vyama vyooooote 18 vikianza patakalika hapa kweli????

Pleaseeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee TCRA - do something for subscribers sake.

TCRA :A S 13::A S 13::A S 13::A S 13::A S 13::A S 13: MSG YA KAWAIDAAAAAAAAAAAAAAAa
 
No way! this is a strategy to divert attention after the 'UNETHICAL' sms propagation that was sent kumchafua mgombea wa upinzani! the known CHADEMA can not draft such an sms!
 
Too illogical ! hatudanganyiki....SMS umepata peke yako?
 
Kwa hiyo unataka kusema na hapa JF tuchunge kauli zetu? mbona maneno yetu hapa JF hayana tofauti na hayo ya kwenye simu. Mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu.
 
Chadema imeanza kusambaza ujumbe wa sms kwa kutumia namba feki ya TIGO. ujumbe ulikuja kama ifuatavyo:

+255719780033:
'TAFATI SIO MATOKEO WATANZANIA PIGENI KURA KWA DR SLAA TAREHE 31 OCT TUWAONYESHE TAFATI YA UKWELI RAIS MPYA TAIFA JIPYA CHADEMA MWENDO MDUNDO USIDANGANYIKE'

Hivi nyie vyama vya siasa mmeamua simu zetu kuwa dampo la porojo na propaganda zenu eeeeh. hebu shikeni adabu, acheni kutumalizia memory capacity kwenye simu zetu.

halafu kwa nini mnatumia namba feki au kwa kitaalamu zaidi "Dummy Number" ?

walianza CCM na namba ya nje sasa CHADEMA na Dummy number ya hapa hapa...!!!

TCRA ninaamini hairuhusiwi ujumbe kutumwa bila valid number or valid ID. washughulikieni hivi vyama tafadhali vinginevyo hizi siku 18 zitakua ngumu sana kwetu raia na watumiaji wa simu za mkononi.

mmmmh vinginevyo CUF nao wataanza, sasa vyama vyooooote 18 vikianza patakalika hapa kweli????

Pleaseeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee TCRA - do something for subscribers sake.
message derivered kudadadeki, simu hukatwa ila message inaingia tuu hata kama umeikalia simu, dont hate the player hate the game. asante kwa kutusaidia kumwezesha dr slaa kwenda ikulu.
 
hahaha hiii tamu nimeipenda kumbe tunavijana wanajua kufanya kazi safi za IT, Big up ccm big up CHADEMA endeleeni tu TCRA haijui habari hizo imelala!
 
No way! this is a strategy to divert attention after the 'UNETHICAL' sms propagation that was sent kumchafua mgombea wa upinzani! the known CHADEMA can not draft such an sms!

Was thinking of the same.... :A S 13:
 
nani mwingine kapata hiyo msg humu jf jamani..!!?

mimi sijapata ila nalifanyia uchunguzi nipeni muda kidogo

all in all slaaa the great president of tanzania

tcra wamesema hawahusiki sasa sitaki kusikia wakinong'ona kuhusu msg za chadema
 
Bora CHADEMA inaeleweka ni mtandao gan kuliko hao CCM wanao2mia namba ya kigaidi. Shika adabu yako!
 
Chadema imeanza kusambaza ujumbe wa sms kwa kutumia namba feki ya TIGO. ujumbe ulikuja kama ifuatavyo:

+255719780033:
'TAFATI SIO MATOKEO WATANZANIA PIGENI KURA KWA DR SLAA TAREHE 31 OCT TUWAONYESHE TAFATI YA UKWELI RAIS MPYA TAIFA JIPYA CHADEMA MWENDO MDUNDO USIDANGANYIKE'

Hivi nyie vyama vya siasa mmeamua simu zetu kuwa dampo la porojo na propaganda zenu eeeeh. hebu shikeni adabu, acheni kutumalizia memory capacity kwenye simu zetu.

halafu kwa nini mnatumia namba feki au kwa kitaalamu zaidi "Dummy Number" ?

walianza CCM na namba ya nje sasa CHADEMA na Dummy number ya hapa hapa...!!!

TCRA ninaamini hairuhusiwi ujumbe kutumwa bila valid number or valid ID. washughulikieni hivi vyama tafadhali vinginevyo hizi siku 18 zitakua ngumu sana kwetu raia na watumiaji wa simu za mkononi.

mmmmh vinginevyo CUF nao wataanza, sasa vyama vyooooote 18 vikianza patakalika hapa kweli????

Pleaseeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee TCRA - do something for subscribers sake.

is that number fake??
 
Hivi nataka kuuliza nyie mnatumia mtandao gani? Coz cjapa sms kama hiyo.
 
Back
Top Bottom