SMS chochezi: Timu ya IT ya Miraji Kikwete yaanza kazi

MIRAJI na wenzake wa it wako kama 10 wanacheza na daftari la wapinga kura, mtashangaa wenyewe maana pia wanacheza na server ya NEC.
wameongeza namba ya wapiga kura kutoka mil 16.5 mpaka mil 19. kama mna uwezo ofisi yao iko ukipita jkt mlalakuwa turn left nr keys hotel
 
Ndondocha? Fanya kosa la kuni-offer mgongo halafu ndiyo utaona kama utataka kurudi kwa mumeo... Hata kutamka kashata utashindwa utabaki kuishia kashaaaa, kashaaaa, kashaaaa...
like father like son....

Swali gumu hilo. SMS za kupelekwa polisi ni zile za CCM tu, zile za CHADEMA usizipeleke. Ahadi za kupigwa vita ni zile za CCM, zile za Chadema za kujenga treni ya umeme Dar-Mwz masaa matatu na mfuko wa cement buku tano zisiguswe. UNAFIKI wa kiwango cha juu kabisa! :hand:
hehehe upupu

Message nyingine zimetumwa kutoka +3588108226
kudadadeki
 
dawa ni kuiripoti hiyo number kwenye tume lakini pia kwenye international forum ili mwenyewe ajulikane... ni lazima iwe registered somewhere

alternatively, ni chadema/cuf nao kufungua like kama hizo na kusambaza ujumbe wenye mantiki hiyohiyo ili ku-neutralize the effects
Sasa siku hizi sio lazima ziwe registered maana naona watu wananunua tu sim cards na wanatumia halafu wanazitupa na kununua nyingine hivyo inakuwa ngumu sana kumfuatilia.
 
MIRAJI na wenzake wa it wako kama 10 wanacheza na daftari la wapinga kura, mtashangaa wenyewe maana pia wanacheza na server ya NEC.
wameongeza namba ya wapiga kura kutoka mil 16.5 mpaka mil 19. kama mna uwezo ofisi yao iko ukipita jkt mlalakuwa turn left nr keys hotel
Very Sad
 
Kuna umuhimu sana wa kufuatilia hii namba +3588108226, ninachofikiria huu ni ufukara wa akili, huwezi kutuma maneno uchochezi halafu unasema Tanzania ni nchi yenye Amani. Huu ni unafiki. Tanzania sio Nchi yenye amani maana tunaburuzwa na kulazimishwa kuchagua kiongozi asiye na uchungu na Taifa letu.
 
miraji kikwete ni teja mkubwa na alipelekwa india kusoma kama sehemu ya kikwete kupata nafuu tokana na tabia za kijana wake,sasa teja limeingizwa kwenye kampeni,ndio ameshaanza kuonyesha uteja wake,lets unite our forces against them,pamoja tutashinda

Sindo hapo mkuu mi nashangaa huyu naye kaingia kumsaidia baba? Kweli Chama Cha Familia Ya Kikwete hiki huyu bwa mdogo ni teja la kutupwa huyu bana nani asiyemjua huyu?
 
Ndugu zangu Ile timu ya kijana Miraji Kikwete na wa IT wake wameibuka na mbinu ya kutuma SMS kwa kila mtu anayemiliki simu ya mkononi ili kumfanya Mh Slaa asikubalike kwa wananchi, Moja ya sms hizo ambazo zipo njiani zinakuja ni nii..

Sms kutoka No. +3588976578
Slaa ni mropokaji na mgomvi anayelumbana na vyombo vya ulinzi na usalama vya nchi. Anataka damu imwagike ili mradi ashinde. Tusikubali nchi yetu iwe kama Burundi, Congo au Somalia. Hana uwezo wala sifa ya kuwa Rais. Tumuepuke Slaa kama ukoma, Tusidanganyike.

Kwa muono wangu huu ni uchochezi, na tusikubali kuingizwa katika chuki zidi ya mgombea wetu

Mi nadhani ingetumiwa mitandao ya simu hiyo hiyo kukanusha hizo taarifa. kwa kukanusha hapa sidhani kama itasaidia sana maana sio wote wenye simu wana access ya internet. Ila ni habari ambayo mimi binafsi imenisikitisha sana. huu ni uchochezi
 
Wanaangalia na watu wa kuwatumia? Hii msg naisikia tu

subiri inaenda kwa list maana hata mimi nilikuwa nasema hivyo...ghafla kwenye cm yangu leo imeingia msg kutoka # +3588108226....naomba niulize....hakuna sheria yoyote inayoweza kuishtaki TCRA kuhusiana na haya matumizi ya simu zetu bila ridhaa maalumu ya mmiliki wa simu?...nimekuwa nikipata pia msg za usumbufu kama hizi kutoka CCM, Mainjinia wa mawasiliano tunaomba ushirikiano wenu....tufanyeje ili tuweze kukomesha tabia hii......tusaidiane jamani
 
Preta, kuna siku nilipata sms toka CCM sasa nikaanza kujiuliza "hivi kuna mtu niliwahi kum-save kwa jina la ccm?" maana sms imekuja na jina kabisaaaaaaaaaaaaa. mi hata sikupata jibu. nika-delete na kuendelea na shughuli zangu
 
wanakera sana na kujisumbua pia....waTZ tumeamka...hakuna aliyelala
 
Ukiona hivyo, ujue mafisadi wamebaini kwamba ushindi safari hii ni hatihati. Ndiyo maana kikwete anahaha kwa kutumia silaha zote ikiwa ni pamoja na hiyo ya kuchafua jina la Dr. Slaa anayeonekana kuwa ni tishio kwake. Ndugu zangu tusidanganyike. Mapambano lazima yaendelee tena kwa nguvu zaidi ili hatimaye tuudondoshe utawala wa mafisadi. Itafika hatua ataanza hata kutumia wajukuu zake kumkampenia. Ama kweli siku za kufa nyani .........
 
Kampeni chafu za CCM kupitia +3588976578
Leo asubuhi, watu wengi wamelalamika kupokea sms kutoka namba +3588976578 ikiwa na ujumbe huu “Usimchague Dr. Slaa kwa sababu anabishana na vyombo vya Usalama na ni mropokaji” chagua Kikwete.

Baadhi ya maswali niliyonayo kuhusiana na ujumbe huu: kama-
  1. Ujumbe huu ni kwa ajili ya watanzania, kwanini anatumia namba ya nje ya nchi?
  2. Dr. Slaa amebishana na vyombo vya usalama wapi?
  3. Dr. Slaa ni mlopokaji kwa vipi?
  4. Kwa hiyo Kikwete tumchague kwa lipi? Maana hajasema kikwete achaguliwe kwa sifa zipi!
Namba zetu CCM wanazipata wapi? Ina maana mitandao inatoa namba zetu kwa CCM ili watutumie sms za kijinga? Au Tume ya mawasiliano ndiyo inatoa namba zetu? Kama ndivyo, nini kifanyike?

Karibuni kwa michango, nawasilisha
 
hapo wapo akina Mwamvita Makamba wa Vodacom na Miraji Kiwete hao ndo waliouza namba zetu, PamB%$^&vu kabisa
 
Kampeni chafu za CCM kupitia +3588976578
Leo asubuhi, watu wengi wamelalamika kupokea sms kutoka namba +3588976578 ikiwa na ujumbe huu "Usimchague Dr. Slaa kwa sababu anabishana na vyombo vya Usalama na ni mropokaji" chagua Kikwete.

Baadhi ya maswali niliyonayo kuhusiana na ujumbe huu: kama-

  1. Ujumbe huu ni kwa ajili ya watanzania, kwanini anatumia namba ya nje ya nchi?
  2. Dr. Slaa amebishana na vyombo vya usalama wapi?
  3. Dr. Slaa ni mlopokaji kwa vipi?
  4. Kwa hiyo Kikwete tumchague kwa lipi? Maana hajasema kikwete achaguliwe kwa sifa zipi!
Namba zetu CCM wanazipata wapi? Ina maana mitandao inatoa namba zetu kwa CCM ili watutumie sms za kijinga? Au Tume ya mawasiliano ndiyo inatoa namba zetu? Kama ndivyo, nini kifanyike?

Karibuni kwa michango, nawasilisha

Umesahau zoezi la kusajili nnamba? Ulikuwa hujalishtukia??
 
Ndugu zangu Ile timu ya kijana Miraji Kikwete na wa IT wake wameibuka na mbinu ya kutuma SMS kwa kila mtu anayemiliki simu ya mkononi ili kumfanya Mh Slaa asikubalike kwa wananchi, Moja ya sms hizo ambazo zipo njiani zinakuja ni nii..

Sms kutoka No. +3588976578
Slaa ni mropokaji na mgomvi anayelumbana na vyombo vya ulinzi na usalama vya nchi. Anataka damu imwagike ili mradi ashinde. Tusikubali nchi yetu iwe kama Burundi, Congo au Somalia. Hana uwezo wala sifa ya kuwa Rais. Tumuepuke Slaa kama ukoma, Tusidanganyike.

Kwa muono wangu huu ni uchochezi, na tusikubali kuingizwa katika chuki zidi ya mgombea wetu

mimi pia nimepata msg zaidi ya moja leo from the above number na jana nilipata
 
subiri inaenda kwa list maana hata mimi nilikuwa nasema hivyo...ghafla kwenye cm yangu leo imeingia msg kutoka # +3588108226....naomba niulize....hakuna sheria yoyote inayoweza kuishtaki TCRA kuhusiana na haya matumizi ya simu zetu bila ridhaa maalumu ya mmiliki wa simu?...nimekuwa nikipata pia msg za usumbufu kama hizi kutoka CCM, Mainjinia wa mawasiliano tunaomba ushirikiano wenu....tufanyeje ili tuweze kukomesha tabia hii......tusaidiane jamani

mimi nandani TCRA wanatakiwa watoe maelezo kutokana na huu ujinga unaoendelea
 
Mimi nimepokea hii message sasa hivi na ninatumia vodacom. Najaribu kuwapigia customer care niwagombeze lakini namba 100 iko busy

Mwalimu bwana............... unapenda sana kugombeza? ha haaaaaaaaaaaaaaaa. imenichekesha hii
 
Back
Top Bottom