Sizonje usichanganyikiwe, Mambo bado!!

Sizonje usichanganyikiwe, Mambo bado!!

Laana ipi sijala cha mtu tatizo lenu mnataka mambo mazuri kwa wakati mmoja wakati hata kodi kulipa kwa mijeledi fanya kazi lipa kodi stahiki tulia usubiri mavuno kazi kulia lia tu .

Kodi inahusiana vp na uhuru wa kufanya siasa??
Kuna madai ambayo hayahitaji hata sent moja toka kwa serikali. Ila kwa ubabe wa sisonje kazuia
 
Naona mashabiki wa timubya sizonje wameanza kung'oa viti sasa, kocha kapagawa mashambulizi kila konaa, inapigwa majaro moja kali paleeeeeeeeeeeeeeeeeeee viungo wanakatika kwelikweli wanaonekana kama hawana mazoezi yakutosha, masudi ananidokeza hapa kiwa wachezaji wengi wamesajiliwa kutoka ndondo cup.....

Kocha anajaribu kuvua koti na kinywa maji kidogo, mvua kibwa sana inanyesha wasilikizaji, giza limetanda uwanjani hapa shamba la bibi mmakonde, taa zinawaka zinazima, umeme hakuna, jenereta halina mafuta mishumaa imekwama bandarini. Taharuki kubwa sana mashabiki wanataka kumpiga kocha, viti vimevunjwa uwanja mzima....

Mpira bado ni dakika ya 20 tope limejaa uwanja mzima, kila anyegusa mpira anateleza kwa kasi ya umeme, kocha sizonje anatamani kucheza yeye kila namba.... Anapangua safu ya ushambuliaji, mabeki nao wengi majeruhi.... Hali inatisha ..... Tunarudi studio kwa matangazo ya wadhamini tutareje hivi punde... Kwako chunha runza studio hapo.....
 
Ndiyo kwanza dakika ya 20 afu mchezo ndio huu...
Hatari sana
 
Nimecheka sana kwa comments za wadau ktk hii post kwakweli,kuna jamaa ofsini mbishi mbishi anamteteaga sana Sizonje nitambatiza hili jina kwani nimelipenda sana.
 
Kocha sizonje kama mourinho vile, team inafanya vibaya yeye ana walaumu wachezaji kwa kucheza hovyo, chini ya kiwango. Kumbe tatizo ni kwamba anatumia mbinu za kizamani zilizopitwa na wakati, 4 2 3 1 haisomeki siku hizi lakini hataki kubadilisha formation.
 
Wanafiki tu wale wanauma na kupuliza tena hao ndio wakukaa nao mbali kama Ukoma Rais hana shida wenye shida wao kwa madhambi yao waliojifanyia ndio yanawatafuna sasa kaza buti Rais wangu nyeupe itabaki kuwa nyeupe tu .
Kaka mbona umekazania kwenye tafsiri? Unataka kuuaminisha umma kuwa Rais ndio Sizonje?
 
Naona mashabiki wa timubya sizonje wameanza kung'oa viti sasa, kocha kapagawa mashambulizi kila konaa, inapigwa majaro moja kali paleeeeeeeeeeeeeeeeeeee viungo wanakatika kwelikweli wanaonekana kama hawana mazoezi yakutosha, masudi ananidokeza hapa kiwa wachezaji wengi wamesajiliwa kutoka ndondo cup.....

Kocha anajaribu kuvua koti na kinywa maji kidogo, mvua kibwa sana inanyesha wasilikizaji, giza limetanda uwanjani hapa shamba la bibi mmakonde, taa zinawaka zinazima, umeme hakuna, jenereta halina mafuta mishumaa imekwama bandarini. Taharuki kubwa sana mashabiki wanataka kumpiga kocha, viti vimevunjwa uwanja mzima....

Mpira bado ni dakika ya 20 tope limejaa uwanja mzima, kila anyegusa mpira anateleza kwa kasi ya umeme, kocha sizonje anatamani kucheza yeye kila namba.... Anapangua safu ya ushambuliaji, mabeki nao wengi majeruhi.... Hali inatisha ..... Tunarudi studio kwa matangazo ya wadhamini tutareje hivi punde... Kwako chunha runza studio hapo.....
Hahahaha nimecheka sana!!
 
Back
Top Bottom