Sizonje usichanganyikiwe, Mambo bado!!

Sizonje usichanganyikiwe, Mambo bado!!

Hivi wale "Forbes" waliotushindanisha na "peoples of Rwanda" hawawezi kutuletea mpambano kati ya Sizonje na Lusungo wa jf?Maana bandiko hili kama sizonje akilisoma kwa unyenyekevu linaweza kumsaidia na kumpatia fursa ya kujisahihisha.
 
Tatizo lenu mpo kama watoto walioachishwa ziwa kunyonya huwa wanalia usiku kucha wakiona wanaonewa na ni haki yao kunyonya siku zote kumbe hawajui kuna hatua zinazofuatia mbeleni pengine zitakuwa nzuri au mbaya huo ni mfano tatizo sio Magufuli tatizo ni mfumo na maisha tuliozoeya kuishi ya wizi, ulaghai ,rushwa, dhuluma na mengine yafananayo nayo, sasa Rais anajitahidi kurudisha katika misingi na mfumo uliobora wa kuyafikia malengo watu mnaona taabu ,

Hii nchi jama hata angelishuka malaika kwa hali iliyokuwa imefikia hangeweza kuiongoza humu kila mtu msemaji kila mtu mjuaji cheusi kita takatishwa kuwa cheupe inabidi kujitoa ufahamu tu kuiongoza hii nchi watanzania hatubebeki ,

Mmesahau kuna mikataba ya miaka mia moja humu hembu tuwe na utu jama tumsaidie Rais kuendesha hili gurudumu la maendeleo tuache kulia lia Mungu hapendi namalizia kusema asiyefanya kazi na asile na mikono milegevu hujenga paa bovu.
mkuu naona kuna kitu unatafuta... kuna mtu kamtaja magufuli hapa? samahani lakini
 
SIZONJE sijui anapeleka wapi timu.....

Alafu mbona Sizonje amepewa majina mengi this time?.......

Mala Juma Ponda Mali ,Mala Nyampala,Tembo, Sasa nasikia anaitwa Trump ......

Kuna ukweli juu ya majina ya Shizonje?.......
Kwa Mara ya kwanza katika historia Tz mpaka aondoke atakuwa ana majina zaidi elfu ,
 
Sizonjeee uyuoooo anakwenda na mpira ...anampiga chenga matata vasco ..huku winga wa timu maembee akiambilia kanzu ..huyoooo huyooo sizonje katuliza kwenye upara ......kampiga kanzu eduardo ndani ya kumi na nane kaachia shuti matata sana na inakuwa ni gooooooooooooooli ayaaa kapaisha
 
Back
Top Bottom