Mr.genius
JF-Expert Member
- Feb 20, 2012
- 1,372
- 1,205
Mkuu, kwa ninavyosikia eti kocha mkuu na benchi lake la ufundi 'halishauriki' (inasemekana lakini)Kwa nn kocha wa zamani hampi ushauri?
Mkuu, kwa ninavyosikia eti kocha mkuu na benchi lake la ufundi 'halishauriki' (inasemekana lakini)Kwa nn kocha wa zamani hampi ushauri?
Habari ndio hiyo hutaki unaachaSasa na wewe mbona unajifanya mjuaji?
Acha kulia wewe kama unaona Tanzania imekuelemea kwa makosa yako mwenyewe hamia somalia hatuja kufunga kamba asiyefanya kazi na asileUsituchafulie uzi mkuu unaweza pita tuu.
Ninaelia mimi au wanachama wa timu ya Lumumba FC anakotoka kocha Sizonje? Hujaona Shigongo alivyotapikwa kama chatu atapikavyo mzoga?Acha kulia wewe kama unaona Tanzania imekuelemea kwa makosa yako mwenyewe hamia somalia hatuja kufunga kamba asiyefanya kazi na asile
Wanafiki tu wale wanauma na kupuliza tena hao ndio wakukaa nao mbali kama Ukoma Rais hana shida wenye shida wao kwa madhambi yao waliojifanyia ndio yanawatafuna sasa kaza buti Rais wangu nyeupe itabaki kuwa nyeupe tu .Ninaelia mimi au wanachama wa timu ya Lumumba FC anakotoka kocha Sizonje? Hujaona Shigongo alivyotapikwa kama chatu atapikavyo mzoga?
Halafu wafuta vioo vya ofisi ya Lumumba fc wanakomaa (akina LIZABONI).Nawashangaa hao wachambia upupu wanaokesha hapa kutetea upuuzi huku wenzao akina Shigongo waliojitoa kukibeba chama kwa media zao wakilia kilio cha mamba!!
Laana ipi sijala cha mtu tatizo lenu mnataka mambo mazuri kwa wakati mmoja wakati hata kodi kulipa kwa mijeledi fanya kazi lipa kodi stahiki tulia usubiri mavuno kazi kulia lia tu .Umetafunwa na laana wewe.
Hahahahahah!kuna harufu ya m7 humu!
Nimeipenda bure!Sizonje amejenga Nyumba amesahau kuweka mlango na madilisha alafu yeye yuko ndani