Hujaelewa nini? Jana Pombe Mlizidisha? Ulevi noma! Sirudii!Jamani mmeniacha Gizani.sizonje ndo nani
hahahaaaSizonje pengine angepewa kazi ya kufua jezi kila baada ya mechi lakini si ukocha, ona sasa timu inashuka daraja.
mkimsemasema sana mtasikia yuko ziarani chatu kuweka betri mpyaHata kamati za ufundi anazishauri yeye sio yeye ashauriwe nao!!
Hata mkiimba nyimbo gani MTU wenu asahau kwenda Ikulu kabisaaaa!Mpendwa Sizonje habari za siku.... natumaini u buheri wa afya kibaiolojia japokuwa kiroho u tofauti...
Rafiki yangu Sizonje nakumbuka enzi zile tukijadili mpira ulivyokua hodari kumlaumu kocha!! Kwamba kocha wa timu yetu hawezi... kocha mzembe na anafuga uvundo....
Kadiri tulipokutana kila baada ya sentensi tatu lazima umseme kocha kila siku ikawa hamkani si shwari!!
Sizonje utakumbuka kocha alikuvumilia sana japokuwa ulikua huwezi!! Mdomo na maneno mengi yalikubeba kwa mashabiki lakini wachezaji wenzio walikujua!! Ulikua bingwa wa kukariri tarakimu za mchezo bila ujuzi na weledi wa mchezo!! Hata kocha alipoonywa sana juu ya kiwango chako kibovu bado alikubeba ingawa ulimsogoa!!
Hayawi hayawi yakawa Sizonje!! Kauli zako zikalipa!! Kocha akastaafu na ukocha ukapewa wewe!! Kila mtu ndani ya timu akiduwaa mashabiki waliolewa kauli zako tamu ziso kifani walikubeba hatimaye ukawa kocha!!
Awali ulionesha uwezo wa kukonga mashabiki kwa sifa na vitimbi kemkem!! Siku zikasonga mashabiki wakaona timu inarejea nyuma kuliko ilikokuwa kwa kocha mzembe!!
Nakujua Sizonje!! Hupendi kukosolewa na wala hupendi kimya cha sifa!! Vigelegele vya mashabiki na vifijo vimekoma!! Mbinu zote za michezo ulizotumia zimebuma!! Timu inarudi nyuma kwa kasi na wachezaji wameshapoteza mori!! Kila ugusapo sasa hapagusiki!! Wachezaji wanaonesha ari machoni pako tu lakini uwanjani wamedorora!!
Sizonje usichanganyikiwe... mambo bado ndio kwanza safari inaanza!! Ishike ngao na kigao kuyahimili majira!!!
Kwa leo naishia hapa Sizonje nikija mjini ntakutembelea tule maboga ya enzi zetu.
duh........Sizonje amejenga Nyumba amesahau kuweka mlango na madilisha alafu yeye yuko ndani
hahahaaaa.....kuna harufu ya m7 humu!
mpoto amzawadie sizonje yale magunia anayovaagaSIZONJE sijui anapeleka wapi nchi.....
Alafu mbona Sizonje amepewa majina mengi this time?.......
Mala Juma Ponda Mali ,Mala Nyampala,Tembo, Sasa nasikia anaitwa Trump ......
Kuna ukweli juu ya majina ya Shizonje?.......
Ndugu msikilizaji nilikosea kumbe ndo kwanza mpira upo katikati ya dimba tunasubiri kocha sizonje afanye mabadiliko mengine.Sizonjeee uyuoooo anakwenda na mpira ...anampiga chenga matata vasco ..huku winga wa timu maembee akiambilia kanzu ..huyoooo huyooo sizonje katuliza kwenye upara ......kampiga kanzu eduardo ndani ya kumi na nane kaachia shuti matata sana na inakuwa ni gooooooooooooooli ayaaa kapaisha
Umeelewa nn hapo mpaka useme hivo kaka au imepenyaaaaAwamu hii mtatunga hadithi za kila aina! Na bado!

naona sizonje analalamika,anasema ukawa wako wengi,wamezidi kumi na mojaNdugu msikilizaji nilikosea kumbe ndo kwanza mpira upo katikati ya dimba tunasubiri kocha sizonje afanye mabadiliko mengine.